course

A full-course dinner is a dinner consisting of multiple dishes, or courses. In its simplest form, it can consist of three or four courses; for example: first course, a main course, and dessert.

View More On Wikipedia.org
  1. Hassan heyday

    Occupational therapy jobs

    Hivi course ya occupational therapy Ina marketability kiasi gani kitaa
  2. A

    KERO Course ya Ordinary Diploma in Heavy Duty Equipment Engineering kutokuwepo kwenye mfumo inatukosesha kazi

    Kuna changamoto katika waombaji wa kazi katika mfumo wa ajira.go.tz kutokubaliwa na mfumo na ikitokea ukiitwa interview wakaguzi hawaturuhusu kufanya usaili. Tulivyouliza shida ni nini jibu toka utumishi ni kuwa chuo kitume maombi ya kutambulisha course kwenda utumishi na jambo hilo...
  3. A

    KERO Changamoto ya kutosajiliwa ERB wanafunzi ambao tumesoma course za Technical Education Mbeya University

    Wanafunzi ambao tumesoma Bachelor of Technical Education in Mechanical Engineering, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) tumeshindwa kusajiliwa na Engineers Registration Board(ERB) baada kuhitimu chuo na wakati tuna sifa zote. Na kipindi tukiwa chuoni tuliambiwa tumekubaliwa...
  4. Sifi Leo

    Tanzania tunavyombo vya kuzuia WIZI, havifanyi KAZI analaumiwa Dr Samia ambaye hata course ya Umumugambo Hana so stupid.

    Rais Samia sidhani kama hata course ya Umumugambo anayo lakini analaumiwa. Nchi kila sehemu Ina vijitu vinatwa usalama wa taifa Nyerere aliviwekega mpaka barabarani na vilifanya KAZI nzuri sana , Tuna polisi ofkozi Hawa wapo vituoni kwao hawaingiii hata OFISI yoyote ningumu kujua kama IKULU...
  5. E

    KERO Changamoto ya vyeti vya basic driving VETA-Mpanda

    Kuna Hali ambayo hatuelewi. Tumesoma veta-mpanda basic short course intake ya 14/8/2025 hadi 14/09/2025 lakin kutokana na changamoto tulimaliza karibu mwezi wa 10. Lakin Hadi Leo hatujapata vyeti kila tukiwatafuta wanasema tusubirie kidogo lakini hakuna dalili yoyote Ile. Pia tulilipia...
  6. goldcall

    Tally accounting package Training course

    Jifunze tally package kwa ajiri ya biashara, kwa wewe mhasibu, huwezi kuwa accountant mzuri kama hujui Tally software, japo kuwa kuna mifumo mingi ya kutunzia hesabu za kampuni, mashirika mengi nchini hutumia mfumo wa Tally kaika kuhifadhi na kutunza hesabu za kampuni au mashirika. karibuni...
  7. Q

    African 'one term' presidents: Will Samia take a course?

    Mwaka 2018 miaka mitatu kabla ya kifo cha hayati Magufuli niliandika makala hii ndani ya JF "African 'one term presidents : Will Magufuli take a course?" Leo tena nakuja na makala fupi inayofanana na hiyo kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini. Mimi sio mtabiri bali huwa nalinganisha...
  8. Mumlii

    Short course

    Habari, Hii course Plumbing and pipe fitting mwanza n chuo gani kizuri ambacho, n day
  9. tinWyn

    AUTOCAD COMPLETE COURSE BY MIKE FREEMAN

    Natafuta hii course ya Mike Freeman Autocad Complete (Offline)
  10. B

    Course za science degree

    Jamani nimemaliza Form six comb CBG courses nzuri na marketable zaidi naweza kuxoma na chuo kipi?
  11. FK21

    Yupo course ghafla tu Kaninunia?

    Aisee hili limenishangaza Leo siku ya 3 mpenzi wangu aliye course ya haya mambo ya majeshi ghafla tu unfortunately hajibu message Wala hapokei simu Rafiki yake wanawasiliana vizuri tu ila Mimi ni na hakuna nilicho mkosea Wala tulichokwazana Je apo nifanyeje?
  12. Dennis Robert Shughuru

    Serikali ya Tanzania itengeneze world-class golf course pembezoni mwa beach za wilaya ya pangani na kuomba kujiunga na PGA tour

    Katika beach nzuri za Tanzania ukitoa za zanzibar basi nyingine zipo wilaya ya pangani zile beach white sand beach ni nzuri sana Mandhari Pembeni mwa beach ni nzuri sana nini kifanyike Wilaya yote ya pangani ipimwe kisasa Kutengwe makazi ya wananchi wa kawaida Kutengwe makazi kwa ajili ya wale...
  13. Yerusalemu30

    The course of empire

    Painted by Thomas Cole (1801 - 1847) Kila jamii huangamia kutokea ndani mwake. Tanzania ni Moja ya nchi zinazopiga hatua hivi Sasa lakini Nina swali Wadau. SWALI: IKIWA ADUI HUFUNGULIWA LANGO LA JIJI NA MSALITI KUTOKEA NDANI ILI AUTEKETEZE MJI. JE? NINI KITATUANGAMIZA KAMA HATUTACHUKUA HATUA MAPEMA.
  14. Solo Traveller

    Kwa ufaulu huu nataka aende chuo, je akasomee course gani?

    Huyu ni mdogo wangu amepata ufaulu huu Ila Mimi nataka aaende chuo moja kwa moja aanze certificate mpka degree Naona kwenda advance ni kupoteza muda Natamani asome Cyber security Computer engineering science IT and accountancy Micro biology Naomba ushauri wako Benson Civic C history C...
  15. Zekoddo

    Ras Simba English Course

    Eti wakuu... Huyu Ras Simba Mwamba wa kufundisha English language (ung'eng'e) ana vituo DSM pekee Huku mikoani hamna..? Mimi Niko mikoani nataka nijipige msasa kidogo wakuu. Huu mtaa ninaoishi wazungu ni wengi mno. Nataka nipige nao story mwazo mwisho bila kukwamakwama
  16. M

    Chuo cha veta cha mkoa upi kinafundisha short course ya STEEL FIXING/USUKAJI WA NONDO?

    Wakuu chuo gani Cha veta hapa Tanzania wanafundisha kozi fupi ya steel fixing/USUKAJI WA nondo na ada yake ni kiasi gani? NB:Kama Kuna sehemu wanafundisha hata kama sio veta naomba mnielekeze wakuu nitalipia gharama za mafunzo.
  17. D

    MSAADA: Chuo gani kinafundisha short course za FIRE FIGHTING?

    Habari Wana JF, kama kichwa Cha Uzi kinavyosomeka hapo juu. Naomba taarifa kwa wanaofahamu short course yoyote ambayo ni related na maswala ya fire fighting. Natanguliza ahukrani
  18. A

    DOKEZO Mwalimu Farida Washokera wa SAUT-MWANZA Atoe incomplete kwenye matokeo ya (BASIC ENGLISH) kwa Wanafunzi wa Course ya mass Communication

    Na sio Kuwazungusha kwani Wanafunzi Hawa wamekuwa wakilalamika kutoshughulikiwa changamoto Yao ya kutokujaziwa matokeo Yao toka mwaka wa masomo 2023/2024 Semister ya kwanza. Aidha Wanafunzi Hawa wamefatilia kwa viongozi mbalimbali wa chuo akiwemo HOD ya Journalism and Mass Communication lakini...
  19. Mike Moe

    Wadau wa sports naomba kujuzwa namna ya kufanikisha kujiunga na course za ukocha na uamuzi

    Habari za wakati huu ndugu wana jf na wadau wa sports naomba kujuzwa namna ya kufanikisha kujiunga na course za ukocha na uamuzi wa mchezo wa soka kwa hapa kwetu Tanzania. Kwa sasa ambao tunataka kuitumikia football katika nyanja hizo mbili. Kwa mwenye atakuwa na connection ya kufanikisha hayo...
  20. F

    KERO VETA DSM wanawachagulia vijana course wasizotaka

    Kuna kero imejitokeza VETA DSM kwa matokeo ya vijana usaili uliofanyika miezi kadhaa nyuma. Vijana wamefata matokeo na kujikuta wamechaguliwa course ambazo hawakuomba. Mfano kijana aliomba umeme wa magari anajikuta amechaguliwa course ya plumbing na wakijaribu kuomba ufafanuzi wanajikuta...
Back
Top Bottom