content

Free content, libre content, or free information is any kind of functional work, work of art, or other creative content that meets the definition of a free cultural work.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sisi Content Creators wa JF na Mitandao mingine tunasubiri kwa hamu hayo mabilioni. Chondechonde Makonda tutaonana wabaya

    SISI CONTENT CREATORS WA JF NA MITANDAO MINGINE TUNASUBIRI KWA HAMU HAYO MABILIONI. CHONDECHONDE MAKONDA TUTAONANA WABAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kwenye hii nchi ya Tanzania, moja ya watu wanaofanya kazi kubwa Sana kwenye jamii yetu na serikali ni Sisi Content Creators hasa wa...
  2. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kurudi kumshukuru mtoa mada/comment kutokana na content yake kuwa na msaada, hamasa, hint au suluhisho kwako?

  3. JamiiForums Tanzania Content creator maarufu duniani kijana wa kisenegali Khaby Lame asaini dili la pesa ndefu zaidi ya Trilioni 2.5 hela yenu ya madafu!!

    Khaby Lame ndiye mtu maarufu zaidi kwenye mtandao wa TikTok akiwa na wafuasi milioni 160. Mapema wiki hii, alisaini mkataba wa dola milioni 975 na kampuni ya Rich Sparkle Holdings, akiipa kampuni hiyo haki za kipekee za chapa yake. Ushirikiano huo pia utaunda nakala ya akili mnemba (AI) ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa jinsi ya Kufanya ili Uweze kulipwa na Facebook kila Unapo Post Content Zako

    Watu wengi bado wanatumia Facebook kama sehemu ya kupitisha muda tu, bila kujua kuwa kila siku mamilioni ya dola yanagawanywa kwa creators wanaopost maudhui yanayovutia. Ukweli ni kwamba Facebook siyo tu mtandao wa kijamii ni soko la fursa. Kila unapopost kwenye Facebook, huna post tu kwa ajili...
  5. A

    JamiiForums Tanzania We are hiring, we need a content creator

    🚀 WE’RE HIRING: The Ultimate Content Visionary 🚀 Are you the person your friends call when they need the perfect aesthetic photo? Do you spend more time analyzing TikTok transitions than actually sleeping? We’re looking for a Creative Powerhouse to take over our digital world. We don’t just...
  6. JamiiForums Tanzania Content wanazopenda TCRA ni mapenzi,umbeya wa wasanii na maisha hata siku moja siawahi kuona za kuchunguza wanyama masaa 180

    Hii nchi yani anaweza msanii kukosea ndani ya siku hiyo mpaka wiki inakwenda ni mwendo wa media uchwara kudili na mada hiyo. wajifunze swahili Max kuna jamaa alikufa mara 6 sasa nasikia huyu jamaa anaweza kwenda kimataifa wanasayansi na wenye nguvu zao wakamfata.Sasa tujiulize swahili max na...
  7. JamiiForums Tanzania Ni wana JF gani huwa wanajaribu sana kuandika mara kwa mara ila contents zao asilimia kubwa ni chaii

    Nitaanza na hawa Manfried na Covax
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nisapoti.com Mkombozi kwa Content Creators Tanzania

    So kila siku nimekua nikipata zile “bro unajua sana” nakukubali sana , bro unajua blah blah… Lakini ukweli ni kwamba it takes a lot kuwa consistent kushare #MadiniYaGaby. Na si mimi tu — hii story ni ya kila creator anayejaribu kusukuma content consistently. Wazungu kwenye YouTube na socials...
  9. JamiiForums Tanzania Naombeni content ya kipekee isiyoboa kama vile drip check ya msanuaji

    Kuna watu Wana bahati sana wamejipata mfano NI Yule msanuaji wa clouds anafanya drip check kuwauliza wasanii bei ya nguo walizovaa..kwangu me naona jamaa ana kazi nzuri kwani haiboi yaani kila siku unaweza kuisikiliza.sasa Mimi sio comedian na sipendi zile pranks sasa kuna sehemu naenda hivi nje...
  10. JamiiForums Tanzania Inspirational African Silhouettes

  11. JamiiForums Tanzania Vigezo Vipya vya YouTube na Athari Zake kwa Watu Wanaotumia A.I kwa Kutengeneza Content

    YouTube kila wakati inaboresha kanuni zake na vigezo vya kufuatilia ili kuhakikisha watumiaji wanapata content bora na salama. Hivi karibuni, YouTube imezindua vigezo vipya vinavyohusu matumizi ya Artificial Intelligence (A.I) katika kutengeneza video na content. Je, mabadiliko haya yanaathiri...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Director of Policy and Planning Visits Pavilion on Behalf of Deputy Permanent Secretary as Fourth Local Content Compliance Forum Concludes in Mwanza

    The Fourth Local Content Compliance Forum (LCCF) in the Mining Sector concluded today in Mwanza, having brought together a wide range of stakeholders committed to enhancing Tanzanian participation in the mineral sector. Representing the Deputy Permanent Secretary of the Ministry of Minerals...
  13. JamiiForums Tanzania TAFADHALI NIKUTANISHE NA SEO CONTENT WRITER WA BEI YA KITANZANIA

    UPDATE: Wakuu samahani sana, niliandika tangazo limekamilika pamoja na mawasiliano kisha nikapost hapa, na wakati huohuo kuna mtu mwingine akanitafuta kwamba anaweza kufanya kazi hivyo nilirudi humu kufuta content ya tangazo ili nisitafutwe tena... samahani kwa usumbufu nikipata uhitaji tena...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Content creators, wasanii, wanamuziki na comedians wanakwenda kuathirika kiuchumi kutokana na hashtag ya NO REFORM NO ELECTION

    Baada yakufungwa mitandao ya X na Club house zipo movement zinaendelea katika mtandao wa instagram ambazo zinaathiri akaunti za makundi mbalimbali ya watumiaji mtandao huo. Baadhi ya athari ni hizi zifuatazo 1. Kila mtu atakayetaka kupata update za serikali kwenye instagram za wizara...
  15. JamiiForums Tanzania TUNATAFUTA: Videographer / Content Creator

    TUNATAFUTA: Videographer / Content Creator Location: Mwenge,Dar es salaam Aina ya Kazi: Part-time (Kuwa Flexible ila deliver Kazi) Tunatafuta mtu mwenye uwezo wa kupiga, ku-edit, na kutengeneza video za kwa ajili ya Instagram & TikTok. Lazima uwe mbunifu, uelewe vibe ya content ya sasa, na uwe...
  16. JamiiForums Tanzania Mbinu hii itakupa viewers wengi kwenye content yako. Pesa ipo mtandaoni vijana.

    Kwenye safari yangu ya kutumia maudhui ya mtandaoni especially Facebook nimejifunza kitu. Unaweza kuweka content murua kabisa lakini ikawa na views 200 kwa wiki au wiki mbili na ukaweka content ya kawaida kabisa ikapata viewers million 1 kwa siku mbili au moja. Nina account Instagram ila hata...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na camera za kukodi kwa sababu siku hizi kila mtu kawa content creator

    Kwenye events zako bora utumie smart phone kuliko camera ya kukodi kwa Sababu siku hizi kila mtu kawa content creator. Unamualika mtu wa camera aje achukue matukio kwenye harusi yako kumbe mwenzako yupo busy kutafuta content. Atachukua matukio halafu wakati wa editing anaangalia vituko au Nani...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeanza kufanya content YouTube. Kipi bora nipromote video mimi mwenyewe ama nimlipe mtu apromote

    Na ili niweze kuwa na access ya kupromote hiyo video natakiwa kuwa na vitu gani? With much thanks in advance
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya marketing au sales, vitu ninavyoweza, ku offer katika kazi ni pamoja na kuwa na idea za ubunifu kukuza biashara, kutengeneza content,

    Habari mimi ni mwanafunzi wa chuo procurement and supply Natafuta kazi ya marketing au sales naamini nitafanya vizuri, hii yote niweze kumudu Ada na Familia yangu shukran 🙏.
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi content creator walivyoniharibia simu yangu.

    Ilikuwa hivi. Niliingia instagram jamaa akasema zima vitu vifuatavyo kwenye simu yako kuimarisha ulinzi wa taarifa zako. Ingiza settings Zima Google password manager Nikazima. Nikaenda settings nikazima payment method Nikaenda privacy and policy Access payments method ni kazima. Baadae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…