connection

In mathematics, and specifically differential geometry, a connection form is a manner of organizing the data of a connection using the language of moving frames and differential forms.
Historically, connection forms were introduced by Élie Cartan in the first half of the 20th century as part of, and one of the principal motivations for, his method of moving frames. The connection form generally depends on a choice of a coordinate frame, and so is not a tensorial object. Various generalizations and reinterpretations of the connection form were formulated subsequent to Cartan's initial work. In particular, on a principal bundle, a principal connection is a natural reinterpretation of the connection form as a tensorial object. On the other hand, the connection form has the advantage that it is a differential form defined on the differentiable manifold, rather than on an abstract principal bundle over it. Hence, despite their lack of tensoriality, connection forms continue to be used because of the relative ease of performing calculations with them. In physics, connection forms are also used broadly in the context of gauge theory, through the gauge covariant derivative.
A connection form associates to each basis of a vector bundle a matrix of differential forms. The connection form is not tensorial because under a change of basis, the connection form transforms in a manner that involves the exterior derivative of the transition functions, in much the same way as the Christoffel symbols for the Levi-Civita connection. The main tensorial invariant of a connection form is its curvature form. In the presence of a solder form identifying the vector bundle with the tangent bundle, there is an additional invariant: the torsion form. In many cases, connection forms are considered on vector bundles with additional structure: that of a fiber bundle with a structure group.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Je, ni kweli kwamba mtoto wa mkulima asiye na connection hawezi pata kazi kwenye taasisi nyeti/ zenye mishahara minono hapa Tanzania?

    Habarini wana jukwaa,.najua mnaendelea vizuri makundi yote sasahivi mmeshiba pamoja na wale wanaoamini mizimu. Kila mtu huwa na ndoto ya kufanya kazi zenye malipo manono kama B.O.T, TPA, mkuu wa idara safi,n.k kwenye umri mdogo. Nlikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye wazazi wake ni watu wenye...
  2. Dalali wa Mjini

    Wakuu naomba connection ya Kazi ya udereva

    Habari za wakati ewe Boss au dereva mwenzangu. Naamini chuki husababishwa na hasira basi nakuomba hiyo chuki itoe kwangu unipe connection ya Kazi ya udereva. Mimi ni professional Driver. Nimesoma Basic Driving Veta Cheti ninacho Nimesoma Professional Driver kwenye chuo cha National Institute...
  3. M

    Zifahamu ambazo watu wenye vyeo na deals hupenda kwenda. Ukienda sehemu hizi hukosi connection

    N.B: Hata ukienda huko, utakutana na majambazi na watukutu wa tabia. Ni muhimu kutumia akili, kuwa selective, na kaa na wale wanaoweza kukuletea exposure na fursa za kweli. Kwanza kabisa, elewa kwamba hawa watu tayari ni wajanja na wana experience kubwa. Ukienda kwa papara au kuonyesha tamaa ya...
  4. monotheist

    Mwenye connection ya kazi ya security

    Natumai hamjambo, kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nina uzoefu wa kutosha na hii kazi nilishafanya serena hoteli, kiwandani na airport termonal 3 kupitia gardaworld kwa yeyote atakayeweza kunisaidia ani PM tafadhali
  5. Mr Beach Boy

    Huu hapa ujanja wa kupata ajira serikalini kwa wasio na connection

    Kama una bachelor degree na bado huja upload vyeti vyako ajira portal Basi tafuta chuo cha kati weka cheti chako cha NTA level 5 Hakika utaitwa sana interview ila kama utaweka bachelor degree basi utalia na kusaga meno Serikali haina Hela ko inaajili watu wanaolipwa kidogo ahsante
  6. X

    Kila 'connection' inapovuja wanawake ndio waathirika wakubwa. Tushukuru sana kuzaliwa wanaume, mtoto wa kike muda wowote anaiaibisha familia au ukoo

    Angalia historia za kuvuja kwa connection zote duniani na hapa nchini jamii itamsema vibaya mwanamke badala ya mwanaume. Mwaka 2008 dunia ilishuhudia kichupa kikivuja cha mjuba Ray Jay na Kim Kardashian, mwamba hata hakusemwa dunia nzima ikamwita Kim malaya. Tangu hapo Kardashian family...
  7. DOM_LEADER

    Nahitaji connection au links za magroup ya WhatsApp yanayohusu technology kuhusu simu, PC na mengineyo kama hayo

    Habari wakuu Kiukweli nahitaji kuongeza uelewa kuhusu mambo mifumo ya sim na mambo ya computer like androids, OS, Linux, bypassing and other like that. Hivo nilipendelea sasa kisaidiwa kupata connection hasa za whatsapp ili kukutana na wataalamu mbalimbali katika group hizo. ASANTENI SANA.🙏🙏🙏
  8. E

    Mliokuwa nje ya Dar naombeni connection nipate binti mwenye maadili wa kuoa

    Wakuu habariii, Mwaka huu au mwaka unaofata moja ya malengo yangu ni kuoa, ila mpaka sasa sina binti nayeona kama anafaa kuwa mke wangu kulingana na mazingira labda au wanawake naokutana nao, sasa naomba msaada kwa wamliokuwa nje ya dar naombeni mnisaidie kuniunganisha na ma binti wale waliokuwa...
  9. Mshana Jr

    Kuna connection kubwa kati ya polisi na wezi ama matapeli

    Sometimes unaweza kusema tofauti yao ni uniform tuu Mwaka 2005 vibaka/wezi waliruka ukuta wakavunja mlango wakaiba jikoni na sebuleni kisha wakaenda kufanya karamu kwenye gari Kulipokucha nikaenda police kuripoti, baada ya mahojiano askari akanijulisha kuwa wezi wangu wanatoka eneo fulani...
  10. DuaZaMama

    PostGE2025 Chalamila: Polepole alikuwa Balozi, mimi kama mkuu wa mkoa sijui alijiuzulu akiwa nchi gani

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amewataka wananchi waendelee kuliamini na kuliacha Jeshi la Polisi liendelee na uchunguzi wa kutokewa kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. Chalamila amesema hayo leo Ijumaa, Desemba 5, 2025 wakati akijibu...
  11. Mlalamikaji daily

    Kama unaweza kulipwa billion 2 uandamane basi maandamano yanalipa guys tupeane connection

    Ajira ni ngumu hiyo pesa huwezi kuipata hata uunganishe viinua mgongo vya walimu 100 Ni pesa ndefu.. Naomba GenZ wenzangu nipeni connection Kumbe mnalipwa pesa ndefu hivi Binafsi mimi hata milioni 500 zinanitosha
  12. jabirimnaguzi

    Wakuu naombeni kazi au mwenye connection yakazi anae jua mahali flani sikosi. Mimi ni dereva, popote nafanya kazi

    Mimi ni kijana umri miaka 26 elimu kidato cha sita 6 nimepita veta kupata basic driving, NIT kua VIP driver na ninauzoefu wakutosha kabla ya kwenda kuongeza ujuzi nabaada ya kwenda kuongeza ujuzi udereva nikazi ninayo ipenda nipo tayari kufanya kazi popote hata na mtu binafsi
  13. ELI COHEN

    Ogopa sana hii connection inayoendana sambamba kuleta machafuko na taharuki duniani. "UKOMNONISTI-MLENGWA WA KUSHOTO-ITIKADI KALI"

    Kila muoneaji na mkandamizaji hapa duniani ni rafiki mkubwa wa china na urusi na analindwa kimaslahi na wao. Kila machafuko yanayotokea dunia kwa asilimia kubwa yanafadhiria na syndicates za kutoka mashariki ya kati. Liberals sasa Wameona vitabu vya kishoga vimepigwa marafuku, sasa wameanza...
  14. Scared

    Wakuu hamna mtu mwenye connection ya mwanajeshi mtanzania yeyote wa nchi ya ulaya au marekani

    i
  15. kaputula

    Asharose hana ubora kwenye uongozi ila connection na Kikwete ndio inambeba

    Kuna wasomi wanawake Kikwete amewabeba awamu yake ya urais kutokana na harakati zake alipokua kiongozi wa wanafunzi chuo kikuu cha Dar es Salaam. Mtu kama Asharose anajua sana kingereza, ni msomi mzuri wa sheria lakini misimamo gani ya kisiasa anayo inatia mashaka. Kwa mimi ninayeamini katika...
  16. excel

    No internet Connection, Kwanini wakati Data ipo active?

    Wakuu wa Tech nakutana na hii changamoto karibu wiki sasa wakati Nina Mb 400 zinasoma Madhara nayaona maana nikiingia Google Play huko hakusomeki. Shida ni nini salio la kifurushi
  17. S

    Kinachoharibu taasisi za Usalama wa Taifa na Polisi ni waajiriwa wengi wa "connection" ambao loyalty yao iko kwa wale waliowaunganisha kupata kazi

    Ni lini uliona tangazo la serikali la nafasi za kazi idara ya Usalama wa Taifa? Au ni lini uliona mtu wa kawaida asie na connection yeyote na viongozi wa juu nchini anatamani kufanya kazi Uslama wa Taifa na akanikiwa katika tamanio lake? Labda ni zile enzi za Nyerere, ambapo wafanyakazi wa...
  18. abyeke

    Mwenye connection ya kazi mkoani Dodoma

    Kwa majina naitwa Edgar nimehitimu mwaka huu diploma in procurement, naelewa elimu yangu ndogo na huku ground kugumu kwahyo nahitaji kazi yoyote niko tayari kufanya nipate pesa nikaendelee na kusoma bach.. Napatikana humu 0610816834
  19. Heritage123

    Pesa ya Online: Jinsi ya Kutengeneza Kipato Bila Kuwa na Duka, Mtaji Mkubwa au ‘Connection’”

    Zamani, kupata pesa ilihitaji uanze na mtaji mkubwa, duka la mtaa au hata leseni ya biashara. Sasa sivyo tena. Dunia imebadilika. Leo, unaweza kutengeneza pesa mtandaoni ukiwa nyumbani — hata kwa kutumia simu yako tu. Watu wengi Tanzania wanapata maelfu hadi mamilioni kila mwezi kupitia simu...
  20. N

    Kama huna connection kuna haja ya kwenda kusoma nchi za Asia kwajili ya ajira ?

    Nchi za Ulaya na Marekani ukisoma kuna uwezekano uanzie maisha huko huko, Ajira zipo kibao Unaenda kusoma China, India, Malaysia, Thailand, Indonesia, n.k. halafu hauna connection wakati wenyeji wa huko wanahangaika kutoka waende Marekani na Ulaya. Unarudi bongo kizaa zaa kinaanza kwenye...
Back
Top Bottom