comoro

The Grand Comoro bulbul (Hypsipetes parvirostris) is a species of songbird in the bulbul family, Pycnonotidae.
It is found on the Comoro Islands.
Its natural habitat is subtropical or tropical moist montane forests. Until 2011, the Moheli bulbul was considered as a subspecies of the Grand Comoro bulbul. Alternative names for the Grand Comoro bulbul include the Comoro bulbul and Grand Comoro black bulbul.

View More On Wikipedia.org
  1. Ojuolegbha

    Tanzania na Comoro kuimarisha ushirikiano katika ujenzi na usafirishaji

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Yakubu amekutana na kufanya mazunguzo na Mhe. Youssoufa Mohamed Ali, Katibu wa Rais Mwenye Dhamana ya Wizara ya Ulinzi nchini Comoro. Lengo la mazungumzo hayo ilikuwa ni kujitambulisha na kugusia mikakati ya kuimarisha ushirikiano...
  2. Ojuolegbha

    Wakala wa Air Tanzania ~ Comoro wakutana na balozi Yakub

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Othman Yakub amekutana na kufanya mazungumzo na wakala rasmi wa Air Tanzania hapa Comoro ComAir waliowakilishwa na Ndugu Kamarouddine Waziri Zamane pamoja na Maafisa wa ATCL walioko Comoro Bi. Esther J Mahiga na Bw. Boudra Fahit. Mazungumzo yao...
  3. Ojuolegbha

    Comoro na Tanzania ushirikiano ni imara

    Balozi wa Comoro nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Ahamada El Badaoui ametembelea Ubalozi wa Tanzania mjini Moroni, Comoro na kufanya mazungumzo na Balozi wake, Mhe. Saidi Yakubu. Katika mazungumzo hayo, Mhe. Balozi Badaoui ambaye pia ni Amidi wa Mabalozi nchini Tanzania alitumia fursa hiyo...
  4. Ojuolegbha

    Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Comoro wa Sekta za Mifugo, Kilimo na Usafirishaji

    Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Comoro wa Sekta za Mifugo, Kilimo na Usafirishaji limefanyika kwa mafanikio katika mji wa Moroni. Katika kongamano hilo lililofunguliwa rasmi na Gavana wa Kisiwa cha Ngazidja, Mze Mohamed Ibrahim, wafanyabiashara wa Tanzania walikutana na wenzao wa...
  5. Ojuolegbha

    Masauni apokelewa na Ubalozi wa Tanzania- Comoro

    Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro leo Agosti 13, 2024 umempokea Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhandisi Hamad Masauni ambaye alitembelea Ubalozini na kusalimiana na watumishi. Akiwa Ubalozini alipokea taarifa ya kituo na masuala ya Watanzania waishio...
  6. Ojuolegbha

    Comoro na Tanzania kushirikiana katika kilimo na uvuvi

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Kilimo na Uvuvi wa Comoro, Mhe. Dkt. Stanley Ali Bandar. Mazungumzo yao yalijikita katika namna Tanzania na Comoro zinavyoweza kuboresha ushirikiano katika sekta hizo mbili za Uvuvi na Kilimo...
  7. Ojuolegbha

    Tanzania na Visiwa vya Comoro zimesaini Hati nne za Makubaliano kwenye kilele cha Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC)

    Tanzania na Visiwa vya Comoro zimesaini Hati nne za Makubaliano kwenye kilele cha Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Comoro uliofanyika tarehe 24 Julai, 2024 jijini Dar es Salaam. Hati zilizosainiwa katika kikao hicho zinazojumuisha nyanja za...
  8. Ojuolegbha

    The Joint Permanent Commission between Tanzania and Comoro as Covered by TBC

    The Joint Permanent Commission between Tanzania and Comoro as Covered by TBC
  9. Ojuolegbha

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro awasili Tanzania

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, Julai 23, 2024 amempokea Mhe. Mbae Mohamed, Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro anaeshughulikia Nchi za Kiarabu, nchi zinazozungumza Kifaransa, Diaspora na Utangamano wa Afrika ambae amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ikiwa ni pamoja na kuongoza...
  10. J

    Balozi Shelukindo afungua JPC ya kwanza kati ya Tanzania na Comoro

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Samwel Shelukindo amefungua Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Visiwa vya Comoro katika Ngazi ya Wataalam unaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 22-24 Julai 2024...
  11. J

    Balozi Yakubu atembelea kiwanda cha maji cha Aden nchini Comoro

    Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro wakiongozwa na Balozi wa Tanzania nchini humo, Saidi Yakubu leo wametembelea kiwanda cha maji cha Aden kinachomilikiwa na Mfanyabiashara mwenye asili ya Tanzania, Khalil Bakhressa. Bw.Bakhressa aliueleza ujumbe huo kuwa hivi sasa wanazalisha maji...
  12. Ojuolegbha

    Tanzania's contribution to the liberation of Comoro

    Ambassador of the United Republic of Tanzania in the Union of the Comoros, Saidi Yakubu recently welcomed Dr. George Roberts, a Lecturer at Sheffield University and Author of the book "REVOLUTIONARY STATE-MAKING IN DAR ES SALAAM," which delves into the story of African Liberation and the Global...
  13. Ojuolegbha

    Msanii Jay Melody atumbuiza Comoro

    Kazi na dawa! Ubalozi wa Tanzania Nchini Comoro umekuwa na wakati mzuri na msaanii Jay Melody ambaye ametumbuiza kwa onesho kabambe mwishoni mwa wiki kufuatia mualiko toka Taasisi za Sanaa Comoro. Mwanamuziki huyo ameweza kuvuta hisia za wacomoro wenyewe, Raia wa Tanzania na pia wa Madagascar...
  14. Ojuolegbha

    Mameya na wafanyabiashara Comoro kushiriki maonesho ya Sabasaba

    TAARIFA KWA UMMA: MAMEYA NA WAFANYABIASHARA COMORO KUSHIRIKI MAONESHO YA SABASABA Kufuatia juhudi za utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi, Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) umefanikiwa kushawishi jumla ya Wafanyabiashara...
  15. ivanmark714

    Msaada wa mwongozo wa jinsi ya kufika Visiwa vya Comoro tokea Dar Es Salaam

    Habari Wana jukwaaa? Mimi ni mkazi wa dar es salaam Mwishoni mwa mwezi June ni matarajio yangu kufika visiwa vya COMORO nimeleta Uzi huu ili kusaidiwa kupata mwongozo jinsi ya kufika visiwa hivyo Yani nauli vigezo na masharti mpka kuingia visiwa hivyo kutokea hapa DAR ES SALAAM Ahsanteni...!!
  16. J

    Watanzania Waishio Comoro Wakutana na Balozi Yakubu

    Watanzania Waishio Comoro Wakutana na Balozi Yakubu Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoros amekutana na Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Comoros (Tanzania Diaspora in Comoros - TADICO) tarehe 30 Mei, 2024 katika Makazi yake...
  17. Ojuolegbha

    Watanzania waishio Comoro wakutana na Balozi Yakubu

    Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro amekutana na Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Comoro (Tanzania Diaspora in Comoros - TADICO) tarehe 30 Mei, 2024 katika Makazi yake, Voidjuu. Wakati wa mkutano huo, Viongozi wa TADICO...
  18. Ojuolegbha

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango awasili Comoro

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Prince Said Ibrahim uliopo Moroni nchini Comoro tarehe 25 Mei, 2024. Makamu wa Rais anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu...
  19. Ojuolegbha

    Balozi yakubu afika ZIPA kujitambulisha

    Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanziabar (ZIPA) imekutana na Balozi wa Tanzania Nchini Comoro Balozi Said Yakubu aliyefika Ofisi za ZIPA Maruhubi Kujitambulisha Balozi huyo ambae ameambatana na watendaji kutoka Idara ya Mambo ya Nje Tanzania amesema kuteuliwa kwake kuwa Balozi wa Comoro ni...
  20. Ojuolegbha

    Zanzibar na Comoro zina mahusiano Maalumu

    ZANZIBAR NA COMORO INA MAHUSIANO MAALUM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar na Comoro zina Mahusiano maalum ya kuchanganya damu wa kindugu hivyo ameridhia kufunguliwa kwa Konseli Mkuu wa Comoro hapa Zanzibar. Rais Dk. Mwinyi...
Back
Top Bottom