cia

The Central Intelligence Agency (CIA) is a civilian foreign intelligence service of the federal government of the United States, tasked with gathering, processing, and analyzing national security information from around the world, primarily through the use of human intelligence (HUMINT). As one of the principal members of the United States Intelligence Community (IC), the CIA reports to the Director of National Intelligence and is primarily focused on providing intelligence for the President and Cabinet of the United States.
Unlike the Federal Bureau of Investigation (FBI), which is a domestic security service, the CIA has no law enforcement function and is mainly focused on overseas intelligence gathering, with only limited domestic intelligence collection. Though it is not the only agency of the Federal government of the United States specializing in HUMINT, the CIA serves as the national manager for coordination of HUMINT activities across the U.S. intelligence community. Moreover, the CIA is the only agency authorized by law to carry out and oversee covert action at the behest of the President. It exerts foreign political influence through its tactical divisions, such as the Special Activities Center.Before the Intelligence Reform and Terrorism Prevention Act of 2004, the CIA Director concurrently served as the head of the Intelligence Community; today, the CIA is organized under the Director of National Intelligence (DNI). Despite transferring some of its powers to the DNI, the CIA has grown in size as a result of the September 11 attacks. In 2013, The Washington Post reported that in the fiscal year 2010, the CIA had the largest budget of all IC agencies, exceeding previous estimates.The CIA has increasingly expanded its role, including covert paramilitary operations. One of its largest divisions, the Information Operations Center (IOC), has shifted focus from counter-terrorism to offensive cyber-operations.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ishowspeed ni CIA kama mjatambua.

    Hakuna cha bahati wala kusema zari.Ukweli ambao mfahamu huyu dogo ni undercover wa CIA. kitu ambacho bado mjaweza kushtuka kwa nini anaweza kuwa stream online kila nchi anapokwenda. Mshawahi kujiuliza 🧐 ?.Kitu ambacho wachina walijichanganya kumkaribisha kwao na kuna siku mtaniambia ?. Sio...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ofisa wa CIA apendekeza Marekani ishirikiane na Al Qaeda na ISIS kuiangusha Iran

    Sina maelezo mengi, video yenyewe inajitosheleza
  3. JamiiForums Tanzania Takwimu za CIA zinavyopotosha: Mjadala Chuo Kikuu Cha Lowa na Northwestern University

    https://youtu.be/SIhAolibf1c?si=Y2Pk2yO1KCUm7j31
  4. JamiiForums Tanzania Barua Pepe Kutoka CIA (Central Intelligence Agency) Kwenda Kwa Mohamed Said

    Mohamed Said anasimulia kuwa alipokea ujumbe wa moja kwa moja kutoka CIA mnamo mwaka 2006 wakati akifanya utafiti kwenye mtandao: "mimi niliwahi kuletewa email message ujumbe katika emaili yangu kutoka CIA Central Intelligence Agency". "Meseji hii ilikuwa inasema kuwa tunakuona unapita kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania OPERESHENI CYLONE YA CIA NA UISLAMU KUHUSISHWA NA UGAIDI

    OPERESHENI CYLONE YA CIA NA UISLAMU KUHUSISHWA NA UGAIDI Msomaji wa andiko hili, naomba ulisome ukiwa huna chembe chembe za udini au mihemko, naomba usome kujifunza, hili ni angalizo langu. Waziri Mkuu wa zamani wa Pakstani, Benazir Bhutto, anamuambia jambo la kumuonya Rais wa Marekani kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ni zaidi ya CIA?

    Huyu Mange ni zaidi ya CIA anajua kucheza na akili za wadanganyika. Katika kipindi ambacho serikali, wapinzani na wananchi wanadai katiba Mange Kimambi awa kinyume na makundi yote akidai matusi aliyokuwa anatoa ilikuwa ni mental health problem iliyosababishwa na utumiaji wa madawa ya kulevya...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Iran imepiga jengo la CIA Uarabuni, Marekani yailaumu Urusi kuwa imeisadia Iran Taarifa za kupiga

    Kulia kupokezana,kutesa kwa zamu,ukikwaga ugali,namwaga mboga,ulikua hili wenzako wanajua lile. Marekani anajifanyaga anajua sana uhuni,kumbe Kuna wahuni kama yeye. Makao ya majasusi wa Marekani CIA yamepigwa na dogo Iran,Marekani anamlaumu Mzee Urusi kua yeye ndio kampa connection. Hivi...
  8. JamiiForums Tanzania Kashfa ya Mafuta Iran: Mossadegh na CIA

    Zamani, mafuta yote ya Iran yalikuwa mikononi mwa kampuni ya Waingereza Leo inaitwa BP. Waingereza walikuwa wanachukua faida kubwa, huku Wairani wenyewe wakiambulia patashika na umaskini. Mwaka 1951, akatokea mshua mmoja anaitwa Mohammad Mossadegh, akachaguliwa kuwa Waziri Mkuu. Huyu mzee...
  9. K

    JamiiForums Tanzania CIA HUWA HAWABISHIWI. UKISHINDANA NAO BASI KABURI LITAKUHUSU

    Hawa jamaa Wana double agents Kila Taifa ambalo Kuna ubalozi wao unaowakilisha Taifa lao la Marekani ikiwemo Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania. Kwa kifupi CIA ni Wazuri Sana katika kutumia Double Agents kuwamaliza wale waliowakusudia, ni vyema wasikilizwe kabla bendera hazijawa nusu mlingoti...
  10. JamiiForums Tanzania Kundi la kigaidi likitokea kuna Watu Wanasema ni mkono wa CIA au Mossad,mbaya zaidi hadithi za vijiweni zinaaminiwa mpaka na wasomi

    Nimegundua kuna watu ambao kwao kila kundi la kigaidi duniani lazima liwe limeanzishwa na CIA au Mossad. Ukitaja ISIS, Al-Qaeda, Boko Haram, Hamas, Hezbollah, Taliban, TTP, Jemaah Islamiyah na mengine mengi, jibu lao ni moja tu Marekani ndiyo waliunda.kwamba CIA ndo wanafadhili mafunzo na kuyapa...
  11. JamiiForums Tanzania Udhaifu wa intelijensia ya "CIA" katika usomaji wa vitisho vinavyoibuka

    👉 1. Bay of Pigs (1961) - CIA ilipanga kuuangusha utawala wa Fidel Castro kwa kutumia majeshi ya wahamiaji wa Cuba waliokuwa uhamishoni. Operesheni ilifeli vibaya baada ya Cuba kujua mapema na Marekani kukosa msaada wa anga wa kutosha, hivyo washambuliaji wengi walikamatwa au kuuawa. 👉...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI Obama akamatwa na CIA ,baada ya Trump kutoa agizo akamatwe kwa kosa la uhaini

    Kumekuwepo na chapisho linalosambazwa na baadhi ya watumiaji wa mtandao wa Facebook likidai kuwa aliyekuwa Rais wa 44 wa Marekani, Barack Obama, amekamatwa baada ya Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump, kutoa amri hiyo kufuatia kile kinachoendelea Mashariki ya Kati. Katika chapisho hilo...
  13. JamiiForums Tanzania Aldrich Ames: Jasusi wa CIA ambaye alikuwa double agent kwa USSR pia

    Aldrich Ames alikuwa afisa wa ngazi ya juu wa CIA nchini Marekani ambaye aligeuka kuwa jasusi wa Urusi (KGB) wakati wa Vita Baridi. Kuanzia mwaka 1985, Ames aliuza siri nzito za usalama wa Marekani kwa USSR ili kupata fedha za kufadhili maisha yake ya anasa. Alitoa majina ya majasusi wengi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Kumbe ilikuwa ni CIA waliofanya ujasusi dhidi ya Ayatollah na wenzake!

    https://youtu.be/OGPcWKBWiz0?si=LN83QgAZlt2Zufl6 Kama nilivyokuwa nahisi, kazi ya ujasusi dhidi ya Ayatollah ilifanywa na CIA ya USA. CIA kumbe walikuwa wanamfuatilia kwa kipindi kirefu tu ili kuijua mienendo yake. Na ni CIA hao hao ndo waliowapenyezea IDF taarifa za kwamba Bw. Ayatollah...
  15. JamiiForums Tanzania TANZIA Aldrich Ames, Jasusi wa CIA afariki dunia akiwa na miaka 84

    Aldrich Ames, aliyekuwa afisa wa CIA kitengo cha counterintelligence afariki akiwa na miaka 84. Huyu bwana alikamatwa na makachero wa FBI mwaka 1994 kwa tuhuma za kuuza siri za shirika la CIA kwa KGB kama double agent na kujipatia mamilioni ya dola... Alihukumiwa kifungo cha maisha jela...
  16. JamiiForums Tanzania Je, Makamu wa Rais wa Venezuela ndiye mtu wa ndani mshirika wa CIA aliyeisaidia Marekani kumkamata Maduro?

    Kufuatia Operesheni ya kumkamata Rais Maduro, Serikali ya Marekni ilitoa taarifa kuwa mtu wa ndani ya Serikali ya Venezuela na mshirika wa CIA alisaidia kuwezesha kujua mienendo ya Rais Maduro na kufanikisha kukamatwa kwake. Ikumbukwe Rais Trump, alitamka kuwa Makamu wa Rais wa Venezuelea Delcy...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani yajiandaa kuishambulia Colombia ili kumchukua Rais Gustavo Petro, majasusi wa CIA tayari wapo kwenye miji ya Bogota na Cucuta

    Raisi Donald Trump amesema Marekani ni lazima iwe na uhakika wa usalama wake pale tu endapo eneo lake la Marekani ya Kusini ( Western Hemisphere) litakuwa salama na tulivu. Rais Trump amesema rais wa Colombia Gustavo Petro ni mgonjwa na kwa muda sasa rais Petro amekuwa chini ya vikwazo kadhaa...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Kwa CIA, usalama ni kwa ajili ya nchi. Si kwa ajili ya chama fulani

    Tunapoanza mwaka 2026 na kusherehekea miaka 250 ya Taifa letu, CIA inaendelea kujitolea kikamilifu kuunga mkono vipaumbele na misingi ya usalama wa taifa wa Marekani. Kila siku—kwa ari na dhamira ileile ya waliotutangulia—maafisa wetu hutumia uwezo wa kipekee kukusanya, kuchambua, kutathmini na...
  19. JamiiForums Tanzania Post ya CIA imenifikirisha: Wamelisifia Ziwa Malawi (Ziwa Nyasa) pasipo kuitaja Tanzania!

    Wakati wenye mamlaka wakiwa busy kuponya majeraha ya MO29, kwa kuyakanusha na kupindua taarifa za ukweli; wenye dunia yao huko duniani, hawachoki kuitafiti dunia na ku shape geopolitics kulingana na taarifa sahihi za kiuchunguzi. Jana niliingia Instagram, kwenye post ya CIA, nikakuta wameweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…