chuo kikuu huria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N'yadikwa

    KERO Chuo Kikuu Huria Kinondoni Center, rekebisheni vyoo mtasababisha hasara ya afya za wanafunzi

    Ukifika hapo Open University Kinondoni Center Biafra Vyoo ni vichafu sana vimejaa vimeziba na majengo yake chakavu sana, mpaka unajiuliza hivi hapa kuna wasomi kweli??!! Hebu rekebisheni basi hivyo vyoo mnahatarisha afya za wanafunzi. Afisa Afya Manispaa ya Kinondoni fika hapo ukakague hivyo...
  2. Roving Journalist

    Responded Chuo Kikuu Huria (OUT): Tunachunguza tuhuma za Wahitimu wetu wa Mahafali ya 44 kudaiwa kufoji matokeo ya mitihani

    Muda mfupi baada ya kusambaa kwa andiko la Mdau akielezea tuhuma zinazohusu Chuo Kikuu Huria (OUT) kwamba kuna baadhi ya Wahitimu wamefoji matokeo na vyeti, ufafanuzi umetolewa na chuo hicho. Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa - Zaidi ya Wahitimu 300 wa Mahafali ya 44 ya Open University (OUT)...
  3. A

    DOKEZO Zaidi ya Wahitimu 300 wa Mahafali ya 44 ya Open University (OUT) wanasadikika wamefoji Matokeo ya Mitihani

    Wingu zito la sintofahamu limekikumba Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania) baada ya kuibuka kwa tuhuma nzito zinazodai kuwa zaidi ya wahitimu 300 wa mahafali ya 44 hawakupata matokeo yao kwa njia halali. Tuhuma hizo zinaeleza kuwa asilimia 90 ya wahitimu hao ni watumishi wa umma...
  4. A

    KERO Maandamano ya Amani dhidi ya Uongozi mbovu na kukosakana uwajibikaji pale Open University (Chuo Kikuu Huria) yatakuwa tarehe 18 December 2025

    Kama tulivyojadiliana maandamano ya kupinga udhembe na kukosekana uwajibika miongoni ya walimu wetu na viongozi wa chuo pia yatafanyika 18 December 2025 kama tulivyokubaliana. Kero kwa miaka na miaka zimekuwa zikilalamikiwa na kupelekwa kwa viongozi husika ila kumekuwa hakuna mabadiliko imekuwa...
  5. A

    KERO Kama Chuo Kikuu Huria (Open University) kilitengenezwa kwa ajili ya Wanasiasa pekee, mngetuambia mapema

    Kwa miaka yangu mitatu niliyokuwa hapa chuoni nimeona Walimu wetu wakionyesha dharau na kutosimamia majukumu yao sawasawa na kwa wakati. Miaka yote kumekuwa na tatizo la kuchelewa kwa matokeo, unaweza kuwekewa matokeo wiki mbili baada ya Graduation na ukakosa nafasi ya ku-graduate mwaka husika...
  6. A

    Hivi hawa Open University wanashida gani? Au wanataka mpaka tuwalambe miguu

    Nimekuwa nikidai matokeo yangu tokea February nikaambiwa nisubiri. Nimemaliza research April nikategemea matokeo yatajazwa pamoja ila hakuna lolote. Yani hawa watu wanatutreat kama tunasoma bure na hatuna thamani yoyote. Yani leo ndiyo naambiwa inabidi nirudie mtihani wakati mara ya kwanza...
  7. Wazo la kabwela

    Barua ya Wazi kwa Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

    Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Mheshimiwa Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua fursa hii kwa niaba ya wanafunzi wa kitivo cha elimu kukupongeza kwa dhati kwa kuteuliwa kwako kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha...
  8. A

    DOKEZO Tunataka Kujua Chuo Kikuu Huria kimefuta Research?

    Tokea mwaka jana wanafunzi wote ambao niko level nao moja wamekuwa wakihangaika juu ya swala la research. Masupervisor tuliopewa watusimamie hakuna lolote wamekuwa wakifanya, tumekuwa tunapoteza muda bila sababu ya msingi. Kwa mfano mimi nimemaliza mitihani yangu tokea mwezi wa 6 mwaka jana...
  9. A

    DOKEZO Open University; Upoteaji wa mitihani, kupewa maksi chache za maksudi, hawajali kabisa muda wa mwanafunzi

    Kipindi nachaguliwa pale Open University nilikuwa najua kuna utaratibu mzuri na kueleweka katika ku-handle vitu vingi vya academic hasa hasa niliposikia asilimia kubwa ya vitu vinafanywa online na kuna urahisi wa kuwasiliana na lecturer wako. Ila vitu vimekuwa tofauti uti, mwezi wa 9 nilifanya...
  10. Roving Journalist

    Chuo Kikuu Huria: Matokeo yanatarajiwa kuanza kutoka muda wowote kuanzia leo Januari 27, 2025

    Kufuatia hoja iliyoibuliwa na Mdau wa JamiiForums.com kuwa Chuo Kukuu Huria cha Tanzania (OUT) kimekuwa na kawaida ya kuchelewesha matokeo ya mitihani, ufafanuzi umetolewa kutoka chuo. Kusoma hoja ya Mdau, bonyeza hapa ~ Chuo Kuu Huria hakitoi kwa wakati matokeo ya Mitihani, tunalazimika kutoa...
  11. Roving Journalist

    Uongozi wa Chuo Kikuu Huria wasema utaboresha mazingira ya Kampasi ya Singida

    Novemba 18, 2024, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa ushauri kwa Uongozi wa Chuo Kikuu Huria ufanye Ukarabati wa Mazingira ya Chuo hicho, Kampasi ya Singida kwa maelezo kuwa hayaendani na hadhi ya 'Chuo Kikuu'. Alisema na kuonesha picha pamoja na video na kuwa kuna majani yameota ovyo Chuoni...
  12. EEM M

    Kusoma Masters ya Sheria Chuo Kikuu Huria (OUT), Je, GPA inapatikana?

    Habari za muda ndugu zangu. Binafsi nimewiwa sana kujiendeleza kwa kusoma Masters katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University) kwani mbali na ubora wa elimu inayopatikana napo na kukifanya kiwe Chuo Kikuu cha pili Tanzania kwa ubora nimeamua kupapendekeza hapo kama chaguo langu la...
  13. T

    KERO Responded Chuo Kikuu Huria - Singida kiboreshe mazingira yake, ni kama vile kimetelekezwa

    Mazingira ya Chuo Kikuu Huria, Kampasi ya Singida yanasikitisha sana kutokana na kuonekana kuwa duni. Majani yameota hovyo hovyo.... mazingira mabovu hayavutii wala hamna hadhi ya 'Chuo Kikuu'. Wakati wa mvua ndio huwa pabovu zaidi kwasababu eneo lenyewe lipo ziwani. Pia sehem za kusomea...
  14. JanguKamaJangu

    Dar: Watuhumiwa 17 wakamatwa wakitaka kuwafanyia Mtihani Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria (OUT), Prof. Elifas Bisanda ameliomba Jeshi la polisi kuwafikisha Mahakamani haraka iwezekenavyo watuhumiwa 17 waliokamatwa wakijaribu kuwafanyia mtihani wanafunzi mbalimbali chuoni hapo. Prof. Bisanda ameyasema hayo Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi...
  15. econonist

    Mkuu wa Chuo Kikuu Huria akanusha kuvuja kwa mitihani, 17 wadakwa wakijifanya wanafunzi

    Watu 17 wakamatwa kwa jaribio la kutaka kuwafanyia mitihani wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania. Ni muda TCU wawe makini. --- Mkuu wa Chuo Kikuu Huria (OUT), Profesa Elifasi Bisanda amekanusha kuvuja kwa mitihani na kuwepo kwa vitendo vya udanganyifu wakati wa mitihani cmya muhula...
  16. Kindeena

    Nape Mosses Nnauye ni mwanafunzi halali wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

  17. Erythrocyte

    Tuhuma za elimu ya Nape Nnauye yakiamsha Chuo Kikuu Huria

    Taarifa ya Chuo hicho hii hapa
  18. peno hasegawa

    Chuo Kikuu Huria (OUT), mnatakatisha vyeti vya wanasiasa?

    Mkuu wa chuo, Mizengo Pinda, Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Joseph Kuzilwa, heshima yenu wakubwa. Prof. Elifas Tozo Bisanda, Professor of Mechanical Engineering. Mbobezi katika renewable energy. Tafiti kuhusu...
  19. A

    DOKEZO Wanafunzi Chuo Kikuu Huria: Malalamiko dhidi ya utendaji wa Wakufunzi wetu

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Kwenda kwa: Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania YAH: MALALAMIKO YETU WANAFUNZI KUHUSU MATOKEO Husika na kichwa cha habari Sisi ni Wanafunzi wa Department of Mathematics, Information and Communication Technology kwa ngazi mbalimbali...
  20. JanguKamaJangu

    Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kuhamia Dodoma

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Prof. Elifas Tozo Bisanda, ametanabaisha ya kwamba makao makuu ya OUT yanatarajiwa kuhamia jijini Dodoma baada ya kupata eneo na fedha kutoka serikalini kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET). Prof. Bisanda, ametanabaisha...
Back
Top Bottom