chumba kimoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wastani katika chumba kimoja cha darasa ni wanafunzi wangapi na choo tundu moja wanafunzi wangapi?

    Wandugu tufahamishane na kushauri hapa kwa manufaa ya watoto wetu. Nimepita ktk shule za msingi mkoani Ruvuma ktk kata moja ya Mshangano. Kwenye shule ya s/m Mshangano kati inawanafunzi 842 na ina madarasa 7, wastani kila darasa wanafunzi 120. Ina matundu ya vyoo 10, wastani kila tundu watoto...
  2. JamiiForums Tanzania Maisha katika chumba kimoja ukiwa na familia

    Inamaana upande moja wa chumba ndiyo kuna kitanda chako na juu ni kitanda cha mtoto au watoto. Wasizidi wawili. Hizi ngazi ndiy pia kabati la kuweka nguo zenu. Upande wa pili kuna soda bed kama ikitokea unapata mgeni. Coffee tabel ndiyo dining table pia. Kuna jiko la gas hapo pembeni...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Gharama za kufanya finishing chumba kimoja (self contained)

    Naomba kujua makadirio ya gharama za kufanya finishing chumba kimoja Vitu vya kufanya Rough Floor Mlango wa mbao Mlango wa Alminium kwa ajili ya toilet Plaster Skimming Blandering Gypsum board Rangi Tiles chumbani Tiles toilet - juu na ukutano (toilet ina ukubwa wa 2.5m x 2.7m) Choo cha kukaa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mawazo yanahitajika kuhusu Uncle kulala na mtoto chumba kimoja

    Habari ya leo. Miezi kama 3 iliyopita alinitembelea shemeji yangu wa kiume (miaka zaidi ya 30) na alilala chumba cha watoto. Ikumbuke Nina Binti/mtoto wa kike miaka 5, wakati huo niliongea na mama watoto kuwa next time sitaki kuweka utu wa mtoto wangu rehani kwa watu wanaojiita "uncle" Leo...
  5. JamiiForums Tanzania Wapangaji wa chumba kimoja Ulaya zama za Viwanda zilipoanza

    Wengi walihama kutoka vijijini kutafuta ya kazi katika miji yenye viwanda. Familia nyingi za vibarua zilimudu kupanga chumba kimoja tu mjini. Vyoo vilikua nje.
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za kuweka tiles kwa chumba kimoja

    Habari zenu jamani, Napenda kujua gharama za kupiga tiles,Nyumba ipo katika mazingira ya uswahilini. Je, gharama zake zinaweza kuwa kiasi gani chumba kina square mita 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…