china

  1. JamiiForums Tanzania Mchina aingilia Miundombinu ya TCRA na kusababisha hasara Tsh. Milioni 221

    Raia wa China Li Naiyong amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu , akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka sita likiwemo kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh221 milioni. Naiyong amesomewa mashtaka yake leo, Februari 15, 2023 na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Waraka No. 1 wa China wasisitiza kujenga nchi yenye nguvu kubwa ya kilimo

    Hivi karibuni serikali kuu ya China ilitoa waraka No. 1 wa mwaka huu kuhusu suala la kilimo. Huu ni mwaka wa 20 mfululizo, ambapo China imetoa waraka No.1 kuhusu kilimo, na jambo ambalo linaonesha kuwa suala hili limepewa kipaumbele zaidi nchini China. Mwaka huu, kwa mara ya kwanza waraka huo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania China yatoa waraka wa kwanza unaolenga kuchochea ufufukaji wa kina katika maeneo ya vijijini

    China imetoa waraka muhimu wa kisiasa unaojulikana kama “Waraka Na. 1 wa serikali kuu” wa mwaka 2023, ambapo nchi hii imesisitiza lengo lake la kusukuma kwa pande zote ufufukaji wa vijijini kwa kuunganisha juhudi za Chama cha Kikomunisti cha China na jamii nzima, na pia kuongeza kasi ya kutimiza...
  4. JamiiForums Tanzania Watu wenye silaha washambulia Hospitali alipolazwa mtoto Aya aliyezaliwa chini ya kifusi wakati wa Tetemeko huko Syria

    Wakuu watu hao wanahisiwa walikuwa katika mpango wa kumteka mtoto huyo mchanga. Kwa mujibu wa duru za habari kutokea katika hospitali hiyo watu hao wenye silaha walidai hawakuwa na nia ya kumteka mtoto Bali walikuwa wanamtafuta mkurugenzi wa hospital hiyo Kwa kumfukuza mwenzako. mkurugenzi wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya kichina “The Knockout” yajizolea umaarufu mkubwa wakati China ikiendelea na vita dhidi ya ufisadi bila kusita

    Siku hizi, tamthilia ya kichina “The Knockout” inayosimulia vita kati ya uovu na uadilifu imendelea kupata umaarufu mkubwa, na hadi sasa idadi ya watazamaji wa tamthilia hiyo katika China bara pekee imezidi milioni 320. Utayarishaji bora na ustadi mkubwa wa waigizaji ndio sababu zinazofanya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Cameroon atoa uzoefu wake wa kusoma nchini China

    Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Pili cha Yaounde nchini Cameroon imefanya mkutano wa hadhara wa “Soma nchini China, changamsha maisha yako", na kumwalika Joseph Olivier Mendo’o, ambaye ni mhitimu wa Taasisi hiyo kutoa uzoefu wake wa kusoma nchini China. Takriban watu 200, wakiwemo...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yapaswa kuacha wasiwasi wa kupita kiasi kuhusu China

    Hivi karibuni puto moja la uchunguzi wa hali ya hewa la China ambalo lilifika Marekani kwa bahati mbaya limefuatiliwa sana na Wamarekani. Kutoka kugundua puto hilo tarehe Mosi hadi kuiliangusha kwa makombora tarehe 4 mwezi huu, baadhi ya wanasiasa wa Marekani wametumia fursa hiyo kuchochea wazo...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Barabara kuu ya Nairobi iliyojengwa na China yafikisha watumiaji milioni 10

    Barabara ya mwendo kasi ya Nairobi yenye urefu wa kilomita 27.1, iliyojengwa na kampuni ya China kwa ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi, Jumanne iliwatambua madereva milioni kumi ambao wameitumia barabra hiyo tangu ilipozinduliwa rasmi Julai 2022. Maofisa wakuu, watendaji wakuu na...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kama Marekani itaiga inachofanya China barani Afrika, sio tu itajivunia heshima bali pia haitapata inachotaka

    Siku chache baada ya waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang kumaliza ziara yake ya mwaka mpya barani Afrika, waziri wa fedha wa Marekani na balozi wa nchi hiyo kwenye Umoja wa Mataifa walianza ziara zao barani humo mmoja baada ya mwingine. Na imeeleweka wazi kuwa lengo kuu la ziara hizo ni...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Watu wa kabila la Wamiao mjini Liuzhou mkoani Guangxi China washerehekea Tamasha la Manghao

    Februari 7, 2023, Kaunti ya Rongshui ya kabila la Wamiao, mjini Liuzhou, mkoani Guangxi, China ulikaribisha tamasha la kila mwaka la "Manghao." Mang Hao ni mungu wa milima katika hadithi ya kabila la Wamiao, ambayo inaashiria afya na maisha marefu, uadilifu na urafiki, bidii na ujasiri, na...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kituo cha huduma za uchumi na biashara ya kidijitali kati ya China na Afrika cha Hunan chaanzishwa Changsha

    Kituo cha huduma za kidijitali za uchumi na biashara kati ya China na Afrika cha mkoa wa Hunan kimezinduliwa jana Jumatatu mjini Changsha. Kituo hicho kinatarajiwa kuunga mkono ujenzi wa uwezo wa kidijitali na TEHAMA kwenye ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Afrika, na pia...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya joto lazidi kupanda

    Wiki mbili hizi zimekuwa muhimu sana kwetu sote hapa nchini. Tumesikia ya wanaotaka katiba mpya na ya wasiotaka katiba mpya. Wote kwa umahiri kabisa. "Ama Kwa hakika mwenye macho haambiwi tazama." Kwamba asiyetaka katiba mpya ndiye pia mficha mapesa ya dhuluma China? Kwa hiyo ni kusema...
  13. JamiiForums Tanzania China spy/survaillance baloon

    Siku ya jumamosi tarehe4 jeshi la Marekani lilifanikiwa kuitungua baloon ya upelelezi, surveillance baloon/ spy baloon, kama ilivyoelekezwa na Rais Biden. Baloon hiyo inayosemekana ni ya jamuhuri ya watu wa China, japo serikali ya China inadai lengo la hiyo baloon ilikuwa kwa ajili ya masuala...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Miradi ya ujenzi wa miundombinu inayotekelezwa na China barani Afrika ni matokeo ya ushirikiano wa kunufaishana

    Mara nyingi nchi za Magharibi zimekuwa zikitoa kauli ambazo haziendani na ukweli kuhusiana na ushirikiano na uhusiano kati ya China na nchi za Afrika. Nchi hizo zimekuwa zikidai kuwa, China inaibebesha Afrika mzigo mkubwa wa madeni, na hata kufikia kusema kuwa, China inaendeleza ukoloni mamboleo...
  15. JamiiForums Tanzania China: Yeyote akijaribu kutenganisha Taiwan na China, tutaingia vitani

    Wiki chache baada ya Rais wa Marekani kutuma onyo kwa China kuhusu Taiwan, serikali ya Beijing ilitoa jibu kali zaidi kuwahi kutokea. Taarifa iliyotolewa na serikali ya China ilisema kwamba "itashinda jaribio lolote" la kutafuta uhuru kutoka kwa Taiwan. Waziri wa Ulinzi wa China, Jenerali Wei...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani yashindwa kutungua balloon la China

    Licha ya kujinadi kwamba Marekani ndiyo nchi inayoongoza kwa silaha za kila namba, Marekani wameonyesha week was Yao dhidi ya balloon la wachina ambalo linaendelea kuvinjari na kukatiza maeneo mbalimbali yakuwemo maeneo nyeti kama kambi za jeshi. Licha ya kutuma makombora mazito kutungua...
  17. JamiiForums Tanzania China yatuma puto la kijasusi Marekani!

    Ni uchokozi ama ni nini?! ============= Habari za puto la kijasusi la China kuelea juu ya Marekani zimewaacha wengi wakishangaa kwa nini Beijing ingetaka kutumia chombo kisichokuwa cha kisasa katika uchunguzi wake wa eneo la Marekani. Uwezo wa puto hili hauko wazi, lakini wataalam wanasema...
  18. JamiiForums Tanzania U.S. detects suspected China spy balloon hovering over Montana

    Greetings! The United States has detected what it says is a Chinese surveillance balloon that has been hovering over the northwestern United States, the Pentagon said on Thursday, a discovery that comes days before Secretary of State Antony J. Blinken's visit to Beijing. President Biden has...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kuneemeka kwa China ndio kuneemeka kwa nchi za Afrika

    Watu husema mwaka mpya huleta matumaini mapya. Lakini kwa uchumi wa dunia wa mwaka 2023, inahofiwa kuwa matarajio hayo sio mazuri sana, wasomi wengi wanakadiria kuwa kasi ya ukuaji uchumi itaendelea kupungua. Kwa Afrika haswa ukanda wa kusini mwa Sahara, watu wanaendelea kulalamikia bei kubwa ya...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Je, Gwajima anatumiwa na China au haelewi anachosema?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…