china

  1. X

    JamiiForums Tanzania ChinaTech: Timu ya madaktari wa China wafanya upasuaji wa kwanza duniani kwa mgonjwa aliye Beijing, China wakiwa Rome, Italy(km 8100) wakitumia roboti

    China, marking the longest-distance remote robotic surgery on humans. The world's first transcontinental live telesurgery Huenda ikakushangaza na ukajiuliza wamewezaje? Huu ndio upasuaji wa kwanza kufanywa duniani madaktari wakiwa bara lingine na mgonjwa akiwa bara lingine. Huu ni mfumo wa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania China yaungana na Waswahili kukikuza Kiswahili kwa kukitumia hadi kwenye tamthilia zake

    Kwa zaidi ya miongo miwili, sera ya China kwa Afrika ilijikita zaidi katika maendeleo na miundombinu. Lakini sasa imepanua mawanda yake na kuingia ndani zaidi hadi kwenye utamaduni na lugha, ikitumia njia ya kukikuza na kukieneza Kiswahili ili kujenga ukaribu zaidi na wenzao wa nchi za Afrika...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa usambazaji maji uliojengwa na China wawanufaisha Watanzania

    Kampuni ya Ujenzi ya China (PowerChina) imejenga mradi wa mfumo wa usambazaji maji katika jiji la Arusha nchini Tanzania, ambao unawasaidia wakazi wa jiji hilo kupata maji safi karibu na makazi yao. Mmoja wa wakazi wa jiji hilo, Anna Emmanuel, mama wa watoto wanne anayeishi eneo la Njiro...
  4. JamiiForums Tanzania CDE. Deborah Tluway ashiriki Program of Shaping the Shared Future in Beijing, China 🇨🇳

    Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa kutoka Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Taifa, Komredi DEBORA JOSEPH TLUWAY ni miongoni mwa viongozi vijana wa UVCCM wanaoshiriki Mafunzo kwaajili ya viongozi vijana yanayohusisha Vyama vya Ukombozi Barani Afrika ikiwemo...
  5. X

    JamiiForums Tanzania "Made in China 2025" Mpango wa China wa kujitegemea kiteknolojia wafikia asilimia 88

    'Made in China 2025' ukipenda iite MIC25 Huu ni mpango kabambe wa serikali ya China wa miaka 10 (2015-2025). Ambapo China imepanga kufikia 2025 ijitegemee kabisa katika teknolojia za hali ya juu (high tech) na innovation. Lengo ni kufikia the 4th industrial revolution (the integration of...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba Benki ya Exim China kusaidia fedha za ujenzi wa SGR

    Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amefanya mkutano kwa njia ya mtandao kutoka jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank, Bw. Ren Shengiun, ambapo wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya Serikali na Benki hiyo ikiwemo upatikanaji wa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali...
  7. L

    JamiiForums Tanzania China kuendeleza nguvu bora mpya za uzalishaji kutanufaisha Afrika

    Kwa muda sasa, China imekuwa ikiendeleza nguvu mpya bora za uzalishaji na kuvutia vyombo vya habari vya nchi nyingi za Afrika. Nguvu mpya bora za uzalishaji zinamaanisha uzalishaji wa kisasa unaoongozwa na ubunifu, ukiepuka njia za jadi za ukuaji wa uchumi, na wenye sifa za teknolojia ya juu...
  8. JamiiForums Tanzania Houth wafanya shambulio dhidi ya Marekani ambalo hata China na Urusi hawajawahi fanya

    Athari ya vita vya Gaza inazidi kuenea duniani kwa vikundi vidogo kujiamini kupambana na wababe wa dunia. Msemaji wa wanamgambo wa Houth ,Yahya Saree amesema kikosi chake kimoja kimefanikiwa kupiga meli ya kubebebea ndege (Aircraft carrier) iitwayo Eisenhower. Kwa maelezo ya msemaji huyo...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya haupaswi kukubali madai ya Marekani kuhusu sekta ya nishati safi ya China

    Marekani inajaribu kudai kuwa sekta ya nishati safi ya China ni tishio la pamoja kwa wenza wake wa Ulaya, lakini hata hivyo, kujaribu kuiaminisha Ulaya kuunga mkono shinikizo la kiuchumi la Marekani kwa China kunaweza kuwa kikwazo kwa mkakati wa uhuru wa bara hilo la Ulaya. Vitendo vya kujilinda...
  10. X

    JamiiForums Tanzania CHINA: BYD waweka rekodi mpya wazindua gari linaloweza kwenda zaidi ya km 2000 bila kuongeza mafuta wala kuchaji na matumizi kidogo sana ya mafuta

    Kampuni ya kutengeneza magari ya BYD imezindua gari la mfumo wa Plug-in Hybrid Electric Vehicle (PHEV) PHEV ni magari ambayo yana mifumo miwili umeme na mafuta. Kwa maneno rahisi kama chaji kwenye battery imeisha unatumia mafuta and vice versa. Model hiyo imepewa jina la BYD Qin L. Ukijaza...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan anatazamia kutafuta mikopo zaidi toka China wakati wa Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika mwezi wa 9

    Rais Samia Suluhu Hassan atatembelea China mwezi Septemba kwa ajili ya Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Focac) ambapo anatarajiwa kusaini mikataba mipya ya mkopo huku Tanzania ikianza kutekeleza sera mpya ya mambo ya nje iliyofanyiwa marekebisho. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania waibuka kidedea Mashindano ya TEHAMA Nchini China

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amewapongeza vijana watatu wa Tanzania - Dickson Mram, Matimu Mahimbo na James Amos - kwa kuibuka washindi katika mashindano ya TEHAMA duniani ya Huawei yaliyofanyika Mei 23-26,2024 Shenzhen, China. Vijana hao wenye ujuzi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania “Kukabiliana na China” kwaibuka tena wakati wa ziara ya Rais wa Kenya nchini Marekani

    "Miezi saba iliyopita, Rais William Ruto wa Kenya alipowasili Beijing, China ilimkaribisha kwa zulia jekundu. Safari hii anapoelekea Washington, anapokelewa tena kwa zulia jekundu." Katika wakati ambao sera za serikali ya rais wa Marekani Joe Biden kuhusu Afrika zimekuwa zikilalmikiwa, tovuti ya...
  14. JamiiForums Tanzania China state television declares "Will take Taiwan in early June" warns u.S. To end visits to Taiwan and adhere to the one China Policy

    CHINA STATE TELEVISION DECLARES "WILL TAKE TAIWAN IN EARLY JUNE" AND WARNS THE US TO END ALL VISITS TO TAIWAN AND ADHERE TO THE ONE CHINA POLICY MAY 25, 2024 The video below shows Chinese State TV declaring today that China will reclaim Taiwan, likely in early June. It has begun preparing...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Why Tanzania and other African countries shouldn’t rely on China as a security partner

    I always wonder why Tanzania and other African countries rely on China as a serious security partner while Beijing has failed to contribute meaningful security in the Red Sea!!! A-vivid example is, the People’s Liberation Army’s first overseas support base in Djibouti is branded by Beijing as a...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Wadau kupeleka barua Ubalozi wa China kuishinikiza Serikali yao isiunge mkono mradi wa EACOP, wasema kuna ukiukwaji wa Haki za Binadamu

    Baadhi ya mashirika yasiyo ya Kiserikali nchini Tanzania pamoja na nchini Uganda wamekosoa vikali mradi wa Bomba la mafuta ghafi lenye urefu wa zaidi ya kilomita 1400 kutokea nchini Uganda hadi Tanzania kwenye mkoa wa Tanga kwamba ulipitishwa katika Mazingira yasiyo shirikishi huku wakidai...
  17. T

    JamiiForums Tanzania China yahitimisha kubadilisha majengo ya misikiti kutoka mtindo wa Kiarabu na kufuata mtindo wa Kichina

    Mwaka 2018 China ilitangaza kuyabomoa majengo yote ya kidini yenye usanifu wa tamaduni nyingine na kuyajenga kwa kufuata majengo ya Tamaduni za Kichina. Katika waraka huo wa mpango mkakati wa miaka 5, China ilisema itabomoa majengo mengi ya kidini ya mtindo wa Kiarabu ama mtindo mwingine usio...
  18. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna P. Makakala kuna wahamiaji haramu kutoka China kwenye Wilaya ya Chunya, Kata ya Matundasi, Kijiji cha Itumbi

    Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania ondoka ofisini, na fanya ziara za kiwilaya na kimikoa, nenda katembelee wilaya ya Chunya, Kata ya Matundasi, Kijiji cha Itumbi, kuna wahamiaji haramu kutokea nchini China. Ukifika hutauliza utajionea mwenyewe. Watu kutokea nchi hiyo ni wengi kupitiliza...
  19. JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Marekani barani Afrika washuka huku wa China ukiongezeka

    Utafiti uliofanywa hivi karibuni na Shirika la Uchunguzi wa Maoni la Marekani Gallup umebaini kuwa umaarufu wa Marekani umeshuka barani Afrika, huku umaarufu wa China ukiongezeka. Utafiti huo uliofanywa katika nchi 36 za Afrika unaonesha kuwa, umaarufu wa Marekani barani Afrika kwa mwaka 2023...
  20. JamiiForums Tanzania Shirika la Bima la China (SINOSURE) kuisaidia Tanzania kutafuta Fedha za ujenzi wa SGR Lot 5

    Shirika la Bima la China - SINOSURE linaendelea na taratibu za upatikanaji fedha za kugharamia ujenzi wa Kipande cha Tano cha Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Isaka hadi Mwanza chenye urefu wa Kilomita 341 na kuonesha nia ya kusaidia upatikanaji fedha za ujenzi wa kipande cha sita cha ujenzi wa Reli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…