china

  1. JamiiForums Tanzania Jinsi 'Made in China' ilivyowapoteza wafanyabiashara wengi Tanzania na Afrika

    Hebu tuchambue vipi "MADE IN CHINA" imeleta taharuki na dhana potofu hadi watu wanahangaika bila sababu na kupoteza pesa Nyingi. 🤔 1. Mfano mzuri ni ving’amuzi vya Azam TV! Ving’amuzi vya Azam vina lebo ya “Made in China,” lakini ukifika China hutavikuta madukani hata ukahangaika vipi, na...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yachelewesha marejesho ya Mkopo wa SGR, yapigwa faini na China, Tsh. Bilioni 34

    Wakenya watalazimika kulipa zaidi ya KSh 1.7 Bilioni kama faini kwa kuchelewesha kulipa mkopo wa reli ya SGR kutoka kwa Benki ya Exim ya China katika mwaka wa fedha wa 2023/24. Hii ni kutokana na mkopo wa KSh 167.5 Bilioni ambao Shirika la Kenya Railways limeshindwa kulipa, ukichukua asilimia...
  3. JamiiForums Tanzania Audi wamezindua EV Brand China inaitwa AUDI, bila zile "rings" nne tulizozizoea!

    Hawa Wajerumani sijui wamepaniki na speed ya Mchina kwenye EV? Ili week Audi wamezundua brand specifically kwa EV uko China inaitwa AUDI, kwa herufi kubwa na bila zile rings za siku zote. Brand hii ni muungano wa Wajerumani Audi na Mchina SAIC, na kuanza wameanza na kutoa gari lao la AUDI E...
  4. 5

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wanaoagiza bidhaa kutoka china:- Kampuni ya mapembelo cargo kwa sasa haiaminiki tena

    Kuna watu nikiwemo na mimi wameagiza mizigo yao toka July hadi sasa hivi November hawajapokea na matumaini kama watapokea au imepotea haijulikani, huduma kwa wateja hawapokei simu au majibu wanayotoa ni ya uongo. Kabla hatujatapeliwa wengi bora tutoe tahadhari na kama wamo humu waje watoe...
  5. JamiiForums Tanzania Nafikiri hivi ndivyo mambo yatakavyo kuwa kama ikitokea kwa asilimia kubwa ulimwengu ukawa chini ya influence ya Russia, China, Iran na marafiki zao

    GEOGRAPHICALLY North Korea atamvamia South Korea ili kutengeneza Korea ya Mamlaka yao China itazichukua Taiwan na Hong Kong kwa asilimia 100. Russia atamchukua Ukraine, Georgia na vinchi vidogo vidogo vya ulaya vile ambavyo vilikuwa chini ya USSR. Iran atamtoa muisrael huku akitengeneza nchi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania China yachochoea utalii wa Afrika kwa kutoa jukwaa la kutangaza biashara, kutafuta uwekezaji na kuvutia Wachina kutalii Afrika

    Maonesho ya biashara ya Utalii (COTTM) yamemalizika hivi karibuni mjini Beijing, China. Maonesho haya yaliyofunguliwa tarehe 16 na kuendelea hadi tarehe 18 mwezi wa 10, yalitoa jukwaa muhimu la kufanya biashara ya utalii nje ya China kwa kutoa fursa za uwezekezaji na soko la watalii wa China...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Jipange upya, Milioni 10 haitoshi kabisa kwenda China na kutengeneza faida

    Usipoteze mtaji wako, ukuze kwanza, Milioni 10 Haitoshi kabisa kuja China na kutengeneza faida kwenye biashara yako. Hapa ni makadirio ya gharama kama unakuja china. Ata uwe na connection Passport na Visa ni zaidi ya laki tatu... ( 300,000) Nauli ya ndege kuja na kurudi 2.5 _3M ( kutegemea na...
  8. JamiiForums Tanzania New Guinness World Record: Hybrid kutoka China imetembea Kilometa 2,200 bila kuongezwa mafuta!

    Ni kutoka China tena. Kampuni ya magari kutoka China ya Roewe wamevunja record ya Dunia kwa kutembeza gari lao la D7 zaidi ya Kilometa 2,200 bila kujaza mafuta wala kuchaji. Ni Plug-in Hybrid inayokuja na engine ya 1.5 L petrol inayotoa 110 hp na electrical motor inayotoa 200hp, na ikiwa na...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Full funded scholarships in China

    Habari zenu, Chinese Government Scholarships zimefunguliwa kwa sasa. Ni full funded kwa undergraduate, masters na PhD Ukitaka hatua zote za application zipo kwa website Yao, nenda google alafu search csc scholarships, utakuta maelezo yote pale. Kama utakwama sehemu wakati wa application...
  10. M

    JamiiForums Tanzania FYI: Israel ni taifa la pili kwa kuiuzia silaha China baada ya Urusi

    Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites China is a vital market for Israel's aerospace and defense industry. Wavaa kobazi kabla ya kujiuliza...
  11. JamiiForums Tanzania CIIE yasaidia bidhaa za kilimo za Afrika kupata umaarufu katika soko la China

    Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yatafanyika hivi karibuni mjini Shanghai. Ili kutekeleza kihalisi hatua za ushirikiano zilizofikiwa kwenye Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024, eneo maalum la kuonesha bidhaa za...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani yaandaa na kutuma vikosi barani Asia kwa ajili ya vita na China

    Miaka michache iliyopita ilikuwa huwezi kuzungumzia vita kati ya Uchina na Marekani lakini hivi sasa tayari hilo halipo na kinachozungumzwa ni vita kati ya mataifa mawili makubwa zaidi duniani kiuchumi na kijeshi kwa maana ya Marekani na China. Mapema mwezi huu (Oktoba) wanajeshi 864 wa...
  13. JamiiForums Tanzania Hatuwezi kukataa mikopo ya China inayolazimisha kampuni zao zitujengee?

    Kwa nini Wachina wakitoa mikopo ya miondombinu kwa nchi za Afrika ni lazima kampuni zao zisuhusike katika ujenzi? Kila kwenye miradi mikubwa walipofadhili Wachina unakuta kampuni ya China ndio contractor mkuu, Sasa hii huwa inakuwa na maana gani ukizingatia pesa zenyewe ni za mkopo lazima...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanzilishi wa TikTok ndiye mtu tajiri zaidi wa Uchina

    Umaarufu unaokuwa kwa kasi kwa Mtandao wa TikTok umemfanya mwanzilishi mwenza wa kampuni mama yake, ByteDance, kuwa mtu tajiri zaidi wa Uchina. Kulingana na orodha ya Utajiri iliyotolewa na Taasisi ya Utafiti ya Hurun , Mfanyabiashara Zhang Yiming, sasa utajiri wake umefikia thamani ya Dola za...
  15. JamiiForums Tanzania China inaongoza kwa ulaji wa nyama ya Nguruwe Duniani

    Nchi ya China ndiyo inayoongoza Kwa wananchi wake kwa ulaji wa nguruwe duniani. Inakadiriwa wananchi wa China hula wastani wa kilo 70 za kitimoto kwa mwaka. Nchi namba mbili ni Belarusia Ikifuatiwa namba tatu na Korea ya kusini, Jumuiya Ulaya na Vietnam kwa pamoja. Kwa Afrika, Afrika ya...
  16. JamiiForums Tanzania Martin: Mwigulu tueleza ongezeko la Sh 1.85 Trilioni kwenye Mkataba wa Ujenzi wa SGR Tabora hadi Kigoma kabla ya kuomba fedha China na Benki ya Dunia

    Wakuu nimekutana na huu mjadala kuhusu zabuni ya ujenzi wa reli ya SGR kutoka Tabora hadi Kigoma ambao umeibua maswali muhimu kuhusu mchakato wa manunuzi na ufadhili wa mradi huo. Ingawa TRC ilitangaza makubaliano ya ujenzi na kampuni ya CCECC Desemba 2022, kuna maswali juu ya tofauti ya bei...
  17. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Deepal kutoka China wamezindua mpinzani wa Toyota Prado, Tesla Cybertruck na Tesla Model S.

    Ni vita na mapinduzi zaidi kutoka China yanaendelea katika sekta ya magari. Deepal wanekuja na hybrid na EV tatu ambazo zimeletwa mahususi kupambana na SUV, offroad trucks na Executive Sedans. Deepal G318 Hii ni REEV off-road SUV inayokuja na four au two wheel drive, ikiwa na engine ya 1.5L...
  18. JamiiForums Tanzania Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

    Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari...
  19. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuagiza bidhaa kutoka China kwa kununua katika mtandao wa Alibaba nikapata hiyo bidhaa Kwa bei nafuu zaidi?

    Wakuu habari ya muda huu, hongereni kwakuendelea kupambana kuhakikisha ndoto zenu zinatimia🤝 hakika Atukuzwe Mungu anaye tuwezesha katika Hatua hizi zote🙏. Wakuu nimekuwa nikiangalia Bei za bidhaa mbalimbali zinazouzwa katika mtandao WA Alibaba kwakweli zina Bei nafuu kuliko hapa nyumbani..Sasa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano na China unafanya usasa kuwa jambo linalowezekana kwenye nchi za Afrika

    Mkutano uliopita wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC uliofanyika mwezi Septemba mjini Beijing, kaulimbiu ya “Kuungana Mkono ili kuendeleza Usasa na Kujenga Jumuiya yenye mustakabali wa Pamoja ya China na Afrika”, ilifuatiliwa na kuchambuliwa na wataalam na wanazuoni mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…