china

  1. X

    JamiiForums Tanzania China vs U.S Trade War: China yazuia uuzaji wa bandari zenye thamani ya $ 23 billion zilizo Panama Canal kwa kampuni ya Marekani ya BlackRock

    Tunakumbuka Trump alipoingia madarakani moja ya jambo alitaka ni kuona Panama Canal itumike kwa kuinufaisha Marekani. Changamoto ipo kwenye kumiliki bandari 2 za kimkakati zilizo karibu na Panama Canal zinazomilikiwa na kampuni binafsi ya Hong Kong. Bandari hizi zimekaa eneo zuri sana...
  2. JamiiForums Tanzania China fisadi ananyongwa Tanzania fisadi anatamba

    Kwa hali hii mwizi wa kuku anapigwa miaka 2 jera fisadi anatamba unategemea nn Tutaishia kuwa masikini
  3. JamiiForums Tanzania China yaja na technolojia mpya ya kuunganisha mtandao

    Kampuni ya Chang Guang Satellite imeweka kiwango kipya cha 100 Gbps kwa kutumia kiunganishi cha laser kutoka angani hadi Duniani, ikiiacha Starlink nyuma na kutanguliwa na satelaiti za Jilin-1, hii sio tu kuhusu intaneti ya kasi zaidi—ni hatua kubwa kuelekea uvumbuzi wa hali ya juu wa kuelekea...
  4. JamiiForums Tanzania Urusi ni nchi ya kijamaa? Mbona ina vyama vingi (Multipartism) tofauti na China??

    Eti wadau, inasemekana Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na pressure ya world bank pamoja na IMF ili iweze kupata mikopo ya kujikwamua kiuchumi baada ya ule mdororo uliotokana na Vita vya Kagera. Je, Russia iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na nini ilhali wao...
  5. JamiiForums Tanzania Naagiza vitu kutoka Amazon na China

    Habari wakuu nishawahi kutoa uzi wa kutafuta ajira but wengi mlinipa ushaur wa kujiajiri mimi mwenyewe. so nimerudi tena kwa wale ambao wanahitaji vitu kutoka amazon au kutoka china kua naagizisha mzigo kutoka sehem hizo na utakua unauona kiganjani mwako mpaka unakufikia ulipo ...
  6. JamiiForums Tanzania Hawa China ambao raia wake wanahangaika na Maisha ndo mlikuwa mnawahita Super Power?

    Nchi ambayo inajiita Super Power inakuaje na Raia ambao wana maisha magumu Maana sio rahisi umkute raia wa marekani akija Africa na kufungua Madube na kisha kujiita mwekezaji.
  7. JamiiForums Tanzania Ni vigezo gani hutumika kusema kuwa China ni nchi ya pili kiuchumi duniani ikiwa raia wake wanahangaika na Maisha kufika hatua ya kukimbilia Afrika?

    Ikiwa nchi Ina uchumi mzuri kidunia je inakuaje watu wake wanakuwa wanahangaika na maisha ? Mfano angalia raia wa kichina wanavyoangika na Maisha kufika hatua ya kufanya Kazi ambazo wanafaa wafanye waswahili. Je kuna siri gani hapa ? Maana hauwezi kuwakuta raia wa marekani wanaishi Kama hivi...
  8. JamiiForums Tanzania Wachina ni masikini sana, yaani mtu unatoka China kuuza Yebo yebo Afrika, mambo kama haya hauwezi kuona wanafanya wamerekani

    Kiukweli wachina wana akili ndogo Sana yaani unatoka China kuja kuuza Yebo Yebo Tanzania
  9. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya viwanda: China yafanikiwa kutengeneza viwanda Cha giza Vinachojiendesha chenyewe na bila taa

    Kuibuka kwa Viwanda vya Giza Vinavyojiendesha vyenyewe: (full automatic) 24/7na Bila Wafanyikazi au Taa.. Nice hatua nyingine kubwa kwenye maendeleo ya viwanda Mapinduzi Yajayo ya Viwanda Sekta ya utengenezaji inakumbana na mabadiliko ya dhana, yanayochochewa na maendeleo ya kiotomatiki, akili...
  10. JamiiForums Tanzania Veta itaondoa udalali wa bidhaa za China na Uturuki

    Ukiingia mitandaoni utakuta kama fasheni hivi kila mtu anauza nguo za mchina. yaani Graduate wa injinia baada ya kuja na ubunifu wa ujenzi unakuta anauza matofali,ana kibanda cha bia na nyama choma na anaingiza mzigo wa nguo kutoka china.
  11. JamiiForums Tanzania Wakulima wa Kimarekani walalamikia majibu ya China ya nyongeza ya ushuru wa 15% kwa bidhaa

    Baada ya China kujibu mapigo kwa nyongeza ya ushuru wa 15% kwa bidhaa za kimarekani baada ya serikali ya Donald Trump kuiwekea ushuru kwa bidhaa za China zinazo ingia marekani athari za majibizano ya nyongeza za ushuru kati ya serikali ya Washington na Beijing za wakumba wakulima wa kimarekani...
  12. JamiiForums Tanzania Msemaji mkuu wa serikali ayataka makampuni ya utengenezaji wa mabasi ya china kuwekeza kiwanda Cha utengenezaji wa mabasi nchini

    MSEMAJI mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ameyaomba makampuni ya utengenezaji wa mabasi kutoka nchini China kuja kuwekeza kiwanda Cha utengenezaji wa mabasi hayo na vifaa vyake Ili Watanzania wajifunze Teknolojia na kupata ajira. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa toleo jipya la mabasi ya kampuni...
  13. JamiiForums Tanzania Mambo 10 ya kuzingatia kabla hujaagiza bidhaa kutoka china kupitia mtandao wa Alibaba

    Nitaorodhesha kwa ufupi mambo 10 muhimu zaidi kuyajua kabla hujaagiza bidhaa kupitia app ya alibaba. 1. Usishawishike na udogo wa bei (bei chee) katika kuchagua bidhaa au supplier wa kufanya naye biashara. 2.Usichat na supplier halaf akakwambia mtoke alibaba yaani mchat whatsapp au wechat...
  14. X

    JamiiForums Tanzania China is unstopable! Historia iko wazi huwezi kuizuia China kwenye innovations. Usipoona ya TSS, na BeiDou utaona ya HarmonyOS na EUV

    "In time of difficulties, we must not lose sight of our achievements." – Mao Zedong (1956) HOW IT STARTED & HOW IT ENDED: 1958 – Soviet Union ilijitoa na kukataa kuisaidia China kutengeneza silaha zake za nyuklia. 1964 – China yafanya jaribio lake la kwanza la bomu la nyuklia na kufanikiwa...
  15. X

    JamiiForums Tanzania China vs U.S Trade War: Walmart kampuni ya Marekani yaanza kuonja joto la jiwe la tariffs za Trump kwa bidhaa za China

    Walmart kampuni ya kimataifa inamilikiwa na Walton family inashikilia rekodi ya kuwa muajiri mkubwa zaidi duniani ikiwa imeajiri watu zaidi ya milioni 2 katika nchi tofauti tofauti, na ina stores zaidi ya 10,000 sehemu mbalimbali duniani. Biashara yao kubwa ni kuuza bidhaa za aina tofauti...
  16. JamiiForums Tanzania Century of humiliation ilikuwa ni somo lenye maumivu makali kwa China hali leo ila kwetu Afrika Slave trade na Colonialism havituumizi

    Ukiulizwa sababu za China kuendelea na kujitegemea unaweza taja utitiri wa sababu lakini sababu kuu ya China kuendelea ni kuichukia historia nzima wao wanaiita "Century of Humiliation" https://en.m.wikipedia.org/wiki/Century_of_humiliation Hiki ni kipindi wachina waliishi katika maisha ya...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mpango wa kijani wa China ni muhimu kwa vita vya kimataifa vya kuenea kwa jangwa

    Hali ya jangwa imekuwa mojawapo ya changamoto kubwa zaidi za kimazingira zinazowakabili wanadamu, kwani inasababisha dhoruba nyingi za mchanga na vumbi, kuhatarisha usalama wa chakula, kufanya jamii zihame makazi yao na kuchochea migogoro. Disemba mwaka jana wajumbe kutoka duniani kote...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China yaweka lengo la asilimia 5 la ukuaji wa uchumi, wakati Marekani inajaribu kuvuruga utaratibu wa uchumi dunia

    Kwenye ufunguzi wa mkutano wa bunge la umma uliofanyika hapa Beijing, Waziri Mkuu wa China Bw. Li Qiang amewasilisha ripoti ya serikali inayokadiria ongezeko la uchumi wa China kwa mwaka huu kuwa asilimia 5. Makadirio hayo yamefikiwa kwa kuzingatia utulivu wa ndani, na maendeleo ya hali ya...
  19. JamiiForums Tanzania China’s first ever Ai agent is here

    🚨BREAKING: China’s first ever AI agent is here. 'Manus' can automate 50+ tasks at once, SNS analysis, financial transactions, research, purchasing, and many more. Some say it’s even more accurate than DeepSeek. The era of AI agents is here - and it's running 24/7 while you sleep.
  20. JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya,Canada na China zapigana kiume dhidi ya Marekani katika vita vya kibiashara

    Katika vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na raisi Trump mataifa kadhaa yamerudisha mapigo papo kwa papo dhidi ya Marekani mapigo yanayotishia usalama na utengamano waa taifa hilo lililokuwa kubwa duniani. Kwa mfano Canada baada ya kupandishiwa ushuru wa kuingiza bidhaa za chuma na Aluminium...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…