china

  1. X

    JamiiForums Tanzania HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

    AI au akili mnemba ili iweze kufanya kazi inahitaji chip, na sio tu kila chip inaweza kufanya hivyo. Kuna chips maalumu na za hali ya juu kwa ajili ya AI. Na kampuni ya NVIDIA imekuwa supplier mkubwa wa hizo chips zinazoitwa H20 na H100. Na moja ya soko lake kubwa lilikuwa ni China. Wiki...
  2. JamiiForums Tanzania Vijembe vya China katika vita vya Tarrifs dhidi ya Marekani ya Trump

  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa Kenya nchini China yaonesha nia ya Nchi za Kusini ya kuimarisha ushirikiano

    Jumanne wiki hii, Rais William Ruto wa Kenya aliwasili Beijing na kuanza ziara ya siku tano nchini China. Ziara hii inafanyika baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuanza “vita vya ushuru” dhidi ya dunia nzima, na Bw. Ruto ni rais wa kwanza wa nchi ya Afrika kutembelea China katika kipindi...
  4. JamiiForums Tanzania Vatican ni mfupa mgumu, wamekataa kusalimu amri kwa Wakomunisti wa China kwa miaka zaidi ya 70 sasa

    Mpaka leo hii China bara hakuna uwakilishi wa rasmi wa Kanisa Katoliki la Roma, shughuli zao zinafanywa na "underground church" ambalo ni kanisa la mafichoni na lisilotambuliwa na serikali ya China. Kanisa Katoliki la Taiwan ndili linalotambulika rasmi kama kanisa la China japo serikali ya...
  5. X

    JamiiForums Tanzania China na Marekani zinatumia mifumo tofauti ya kufanya hesabu za GDP. Kuna uwezekano mkubwa GDP ya China ni kubwa kuliko ya Marekani.

    Standard ya kupima GDP kati ya China na Marekami ni tofauti GDP ya China inatumia mfumo wa production au productive sectors. China wanaangalia hasa total output ya kila economic dept kama industrial production, mining, construction n.k minus imports. Na GDP ya China huwa haihesabu...
  6. JamiiForums Tanzania Trump alalamika namna China inavyochafua bahari kwa taka zake za viwandani.

  7. JamiiForums Tanzania Marekani anauza Nini mbona amemuacha mbali sana China Kwa GDP

    Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo. Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni. Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania China Imevumbua Betri Inayodumu Miaka 50 Bila Kuchaji; Upo Tayari Kutumia Simu Yenye Betri ya Nyuklia ?

    Kwa muda mrefu, betri zimekuwa chanzo kikuu cha nishati katika vifaa vyetu vya kila siku kama simu, kompyuta mpakato, na sensa mbalimbali. Lakini sasa, sayansi imevuka mipaka – kuna betri mpya zinazoitwa betri za nyuklia. Ingawa jina lake linaweza kuwatisha wengi, teknolojia hii inalenga kuleta...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya Ukomunisti ya China imewakanyagia chini sana raia wake, wanaogopa nini?

    Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso. 1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja. 2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii. 3. Ni mojawapo ya...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kweli brand kubwa za fashion unazozifahamu zinatengenezwa china

    Kutona na vita ya kiuchumi kati ya U.S.A na CHINA, tunaendelea kufahamu vingi katika ulimwengu wa manufacturing.
  11. JamiiForums Tanzania CHINA AMEKWISHA SHINDA VITA YA UCHUMI DHIDI YA MAREKANI : MAREKANI ALIKOSEA KUCHANGA KARATA

    CHINA imechukulia vikwazo vya MAREKANI Kama fursa tukio linalotueleza kuwa MAREKANI ALIKOSEA kuchanga karata zake na ushuru wake wa asilimia Zaid ya 230 kwenye bidhaa za uchina. Kitu Dunia haikujua ni kwamba Kuna bidhaa nyingi Sana za kimarekani Hasa zile za mavazi na kielectronic huwa...
  12. JamiiForums Tanzania Dereva yule yule wa Miaka 26 anakuta kuna mabadiliko nchini mwake China ila Tanzania tunachekesha sana halafu CCM kinga yao amani na ujinga

    Mwanaume aliye kwenye picha anaitwa Han Junjia, dereva wa treni kutoka China. Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1996, ikimuonesha akiwa amesimama mbele ya treni ya mvuke aina ya SY-class. Picha ya pili ilipigwa miaka 26 baadaye, ambapo anaonekana akiwa mbele ya treni ya kisasa ya mwendokasi...
  13. JamiiForums Tanzania 245% U.S. TARIFFS ON CHINAThis is not policy...this is punishment.

    245% U.S. TARIFFS ON CHINA This is not policy...this is punishment. Here’s the raw truth: 1. Death Blow to Chinese Exporters: A 245% tariff means most Chinese products become unsellable in the U.S. overnight. It’s like pricing them out of the market on purpose and that’s exactly the goal. 2...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza kuweka ushuru wa asilimia 245 kwa baadhi ya bidhaa kutoka China

    Marekani imeongeza ushuru kwa baadhi ya bidhaa kutoka China hadi kufikia asilimia 245. Hii ni kutokana na ushuru wa kulipiza kisasi, ushuru wa bidhaa zinazohusiana na fentanyl, pamoja na ushuru wa ziada chini ya sheria ya kifungu cha 301. Bidhaa kama magari ya umeme na sindano zimeathirika...
  15. JamiiForums Tanzania Tariff war initiated by Donald Trump; who will win, America or China?

    Donald Trump was re-elected as the 47th President of the United States of America with the promise of making America Great Again. It sounds wonderful right? It is true that over years American peoples have suffered a lot from rising costs of living, stagnated wages, rising housing prices and...
  16. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ninapenda kuzungumzia kipengele kimoja kilichonivutia zaidi katika Ilani ya mwaka 2020-2025 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Sura ya 16, Kifungu namba 16.1 Kipengele b (Ukurasa wa 95) ambacho kinasema: "Katika kutimiza azma ya kujiendeleza...
  17. JamiiForums Tanzania Darren Jason Watkins JR (ishow speed) kijana aliyeifungua macho ya dunia kuhusu China

    Katika umri mdogo ambao wengi hujifunza tu kuhusu dunia kupitia vitabu na mitandao, Darren Jason Watkins Jr, maarufu kama IShowSpeed, amevuka mipaka na kufanya historia kwa macho yake mwenyewe. Akiwa kijana mwenye ushawishi mkubwa mtandaoni, Ishow Speed amepata kulitembelea taifa la China na...
  18. JamiiForums Tanzania Je, China imetengeneza jua bandia? Tusahihishe mjadala

    Kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu taarifa kuwa “China imetengeneza jua bandia”. Watu wengi wamedhani hii inamaanisha jua halisi linang’aa angani, linalotoa mwanga na joto kama jua tunaloliona kila siku. Lakini huu ni upotoshaji wa kisayansi unaotakiwa kusahihishwa. Kwa kweli, kile kinachoitwa...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani hana capacity ya kushindana na china hasa linapokuja swala la vita vya kiuchumi

    Marekani wawekeze kwenye viwanda vya awali (primary industries) ndo wafikirie kushindana na china
  20. JamiiForums Tanzania China yasitisha uagizaji wa Ndege za Boeing

    China imeonyesha kuchafukwa sasa wameingia kwenye Vita rasmi ya kibiashara sasa wanayanyoosha makampuni ya Marekani kitu ambacho kitasababisha mdororo wa kiuchumi na ukosefu wa ajira huko US. The trade war: China has ordered its airlines to halt all deliveries of Boeing jets and stop purchasing...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…