Habari wakuu! Nina shida na fundi mzuri wa auto electrical mwenye cheti kwa ngazi ya diploma sio lazima awe vizuri kwa upande wa practical, uzoefu ataupata kazini!!
Kama unamjua mtu wa namna hiyo au ni wewe mwenyewe unaweza Kuja dm au comment namba ya simu, nitakupigia
Hapa nilipo nina vyeti vingi kweli, vinakaribia kujaa begi, lakini sina uwezo wa kuvumbua chochote kile kwa kutumia elimu niliyoipata kutokea chekechea mpaka uprofeseri...
Tutagawana mali maana nina cheti cha ndoa. Pambana umbane mfunge ndoa ili hata akikuacha mgawane mali. Umewahi kuzisikia hizi kauli bila shaka.
Hizi ni kauli na mawazo ambayo wanawake na wazazi wengi wako nayo kichwani na vinywani mwao.
Leo wacha niwaambie ukweli mchungu. Cheti cha ndoa pekee...
Tafadhari taarifa ziwafikie Hawa RITA Nini maana ya kuweka huduma ya kuomba cheti kwa njia ya mtandao kama mtu nimefanya maombii ya cheti cha kuzaliwa mwezi wa 12 mpaka sasa hakuna mibu ya aina yoyote tunapata tabu sana ukienda Ofisini shida tupu.
Hakuna haja ya kuwa na eRITA portal
Anonymous
Thread
cheticheti cha kuzaliwa
huduma
kuomba
kuweka
kuzaliwa
maana
mtandao
mtu
njia
rita
taarifa
Huku kwetu Mtwara, kuna changamoto inayowakuta Wanafunzi wa Chuo cha St. Augustine University of Tanzania (SAUT) Tawi la Mtwara linalojulikana kwa jina la Stella Maris Mtwara University College (STEMMUCO) kutopewa vyeti vyao tena kama vilipotea au inapotokea vina marekebisho.
Baadhi ya wahitimu...
Anonymous
Thread
cheti
chuo
kufanikiwa
kurekebisha
mtwara
ngumu
saut
ukitaka
Sio jambo geni wala la kushangaza kwa baadhi ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania kukutana na changamoto mbalimbali baada ya kumaliza masomo yao. Kwa kawaida, kumaliza shahada au stashahada ni hatua ya furaha na fahari kwa mhitimu na familia yake. Hata hivyo, baadhi ya vyuo vikuu nchini...
Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation?
Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa?
Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani?
Sisi wanasayansi huwa...
Habari wakuu,
Poleni na msiba wa kitaifa tunaoendelea kuuomboleza.
Moja kwa moja nijikite kwenye mada husika kwa kuwaomba msaada wa mawazo na ushauri kwa ujumla.
Mimi nina cheti cha kuzaliwa lakini cheti changu ni cha zamani sana kimetoka tangu mwaka 1988.
Katika cheti changu jina langu...
Baada ya kuwa mafichoni, hatimae karejea kwa kificho ili akabithiwe cheti cha ushindi aliopora kwa mtutu wa bunduki. Habari mbalimbali zinatabaruku kuwa ataapishwa haraka haraka then arudi mafichoni mpaka hali ya sintofahamu itakapotulia.
Je, Watanganyika tumekubaliana na huu uhaini...
Wakuu
Kuna mwanamke kipindi Cha ujana tulifanikiwa kupata mtoto.
Baada ya hapo nikawa nimetoka sehemu hiyo
Sasa mwanamke majina yangu hakua anaya fahamu, Ikabidi mtoto apewe majina tofauti na yangu.
Changamoto imekuja nataka nimfungulie bima.
Nataka kufahamu nitumie njia gani ya kubadilisha...
Maana kuna mdau amesema yeye kapeleka cheti sehemu usika ajabainisha ni polisi au tra lakini sasa iyo ipoje naona kama ni hivyo utakua utaratibu mpya ama wajuzi tujuzane kunitoa kwenye sinto fahamu
Nilikuwa naomba cheti kipya cha kuzaliwa ila nilivyofika kwenye kuweka attachment naambiwa vinatakiwa signed attachments sasa sielewi hizo signed zipoje kwasababu hizi za kawaida nilizonazo zinakataa
Hii imewavua nguo waandishi wote waliokuwa wakidhamiwa kuwa ni wakongwe na wakati hawana vyeti vya taaluma zao ? Mliwezaje kufanya mahojiano na watu wakubwa na kuzunguka duniani kote mkijitambulisha kama waandishi wa habari kutokea Tanzania ilhali hamna vyeti vya taaluma hiyo na hamjaisomea...
Salamu,wadau!
Nina umri zaidi ya miaka 45, sina cheti cha kuzaliwa.
Nahitaji kitambulisho hicho kwa dharura ili niweze kuomba passport.
Nina kitambulisho cha taifa (National ID), kitambulisho cha kazi, na TIN Number.
Je, nifanyeje kupata cheti cha kuzaliwa?
Hivi kuna tatizo gani kwenye vichwa vya viongozi wetu? Yaani leo hii unaajiri mtendaji wa kijiji ama mtaa mwenye elimu ya kidato cha nne na cheti cha taaluma alichosomea mwaka mmoja ama miwili ? Halafu huyo mtu anakwenda kumsimamia mkuu wa shule mwenye shahada moja ama shahada ya uzamivu...
Mtoto anayemaliza elimu ya shule ya msingi atakua na uwezo ufuatao;-
Uwezo wa kujieleza kwa kujiamini kwa kutumia kingereza na kiswahili
Atakuwa na msingi imara wa kuongea kingereza,
Kutumia computer na kufungua vitu vidogo vidogo kama email, (Tanzania kuna group kubwa la watu hawajui hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.