chawa

Chawa is a very old village in Bhera near the town of Bhera, Sargodha District, Pakistan. It is located at 30°59'0N 72°54'0E with an altitude of 153 metres (502 ft).The Bhalwana and Sipra are the main families of this village..
The first district Nazim of Sargodha Malik Amjad Ali Noon was from a village named Ali Pur Noon.
Chawa produces a specific kind of plant that is used in the manufacture of colour paints.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia anajua madhara ya chawa na uchawa alivyokumbatia bila kujua?

    Chawa wana sifa kuu mbili. Kwanza, ni wanyonya damu. Na pili, hawawezi kuishi bila kuwapo uchafu .Je, Rais Samia alipotangazia dunia kuwa 'waaacha machawa wangu' alijua madhara yake? Je, hakujua na hadi leo hajui? Je, uchawa umegeuka sera ya CCM? Je CCM inafaidikaje na uchawa na machawa...
  2. JamiiForums Tanzania Unaionaje na kuitafsiri falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan ya 'hawa ni chawa wangu?

    Chawa ni viumbe wachafu na wanyonyaji damu. Awafugaye lazima awe mchafu. Je, nini busara ya falsafa Rais Samia kusema hawa ni chawa wangu hasa ikizingatiwa kuwa ni mbeba maono?
  3. JamiiForums Tanzania Haji Manara: Nalipwa pesa nyingi, siwezi kuwa Chawa

    “Mimi nalipwa hela nyingi, sasa nawezaje kuwa Chawa Mtu mwenye Ubalozi wa Kampuni zaidi ya 20, nani ananiweza Nchi hii kwa Ubalozi? tena sio kampuni ndogo Mimi sitangazi nyanya ya kopo, mmeshawahi kuona nawaita kutangaza bidhaa ndogo?, Mimi natafuta maisha nahangaika napambana Mtu anaponitukana...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo: Badala ya kuzalisha wataalamu tunazalisha chawa

    Wakuu, "CCM imetufika pabaya leo watumishi wa umma wanashindana kujikweza ndio maana badala ya kuzalisha taifa la watalaam leo tuna taifa la 'chawa' na sasa hivi wamepita uchawa wamekuwa mende maana angalau chama akikaa kichwani ukinyoa nywele hadithi imekwisha, mende wanaingia kwenye vyoo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Unapokuwa Chawa hakikisha una fact, siyo tu kusema anaupiga mwingi

    Mchungaji msigwa alipokuwa akihojiwa na Ebony FM aliulizwa kama bado anawachukia machawa na majibu yake yalikuwa hivi.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ukikubaliana na Uchawa, na wewe ni Chawa

    UKISHINDWA KUJIBU HOJA, TAFSIRI YAKE HOJA ZILE NI HOJA ZA UKWELI Hoja nyingi huwa na uchungu kwa sababu zinabeba ukweli unaoumiza. Hatupaswi kuukwepa ukweli, kwani ukweli wa jambo ndio haki yenyewe. Haki hutetewa, na tukishindwa kuitetea haki, tunakuwa viumbe wa ajabu kabisa, ambao tunapaza...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maganya: Mtu hawezi kwenda kumshika mama mkwe sehemu za siri, na sisi hatutakubali mtu ambeze Rais Samia

    Wakuu, Hivi sisiemu mnatuaga wapi watu wajinga hivi? Unakuwa chawa basi angalau usiww chawa mzigo, wapiiiii, aibu tunaona sisi! Msikilizeni Fadhili Maganya (Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi Tanzania) akimwaga madini yake: Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Waliofungwa jela maisha ni matokeo ya Uchawa. Anayekutuma hatakuwepo siku ya madhira juu yako

    Ndani ya Taifa letu ni wazi sasa Tunu ya Vijana imekuwa ni Uchawa. Ili utoboe maisha lazima uwe chawa wa kisiasa au wa namna nyingine pia. Waliofungwa miaka ya maisha Jela ni chawa ambao awali zilivuma kuwa walitumwa. Ukitazama nyuso za wale vijana zilo Innocent kabisa. Huwezi kufikiria kuwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia; hawa chawa wanakuharibia

    Rais Samia, Labda pengine wengine wanakuogopa. Au tuseme wanashindwa kukufikishia ujumbe. Lakini mimi, kwa unyenyekevu kabisa, nimeona kupitia safu hii niwe nakupenyezea yale ambayo yanasemwa huku mtaani lakini wasaidizi wako hawakufikishii ipasavyo. Mama, kabla sijatiririka mengi kwanza nianze...
  10. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sasa Chawa wa kike wanajiita dodo lililoiva!

    Tunakoelekea na hizi Chaguzi zetu huku Njaa ikiwa Kali ni hatari sana. Kutoka Chawa hadi Dodo Lililoiva 😄 Tusubiri wa kiumeni watajiita Tunda gani. 🐼 Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Hatari na nusu, Bure Ghari.
  11. JamiiForums Tanzania Siasa bila pesa, chawa na ndumba hutoboi

    Siasa zetu za kibongo bila chawa, ndumba na pesa hutoboi. PhD tupa kule! NB: Antipasi kazi unayo, itakuchukua miaka 10 kununua gari jipya.
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza Vijana walioenda Kongamanoni leo Dodoma walienda kwa Utashi wao au ni kwa Utashi wa Chakula na Hela kutoka kwa Team Chawa?

    Halafu inakuwaje wengi Wao niliwaona kama vile Nyuso zao zilikuwawa na hofu na pia kukosa Kujiamini kama Vijana?
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa sasa wanawapenda sana chawa?

    Habari za saa hizi wakuu, poleni kwa mihangaiko ya siku ya Leo. Kwanini kwasasa kumekua na machawa wengi sana?? Na ni kivipi mtu una akili zako timamu ukubali kua chawa?? Kama tunavyojua chawa ni mdudu mchafu na ni mbaya sana kuwa naye, na ni aibu kubwa sana kuonekana mwilini mwako. Kama...
  14. JamiiForums Tanzania Deni la Taifa na ukoloni mpya: Namuunga mkono Rais Samia lakini si chawa

    Namuunga mkono mama Samia katika kufungua uchumi na kuingiza mitaji ya kibiashara pzmoja na kuruhusu uwekezaji kutoka nje na ndani ya nchi. Lakini mimi si chawa, na kila hatua mbele lazama iwe na tafskuri ya mustakabali wa yale watanzania tunayotegemea miska ya mbeleni. Wazungu, waarabu si...
  15. JamiiForums Tanzania Je, unadhani Mchakamchaka mzito wa Kuzunguka nchi nzima Milima na Mabonde kwa Mwakani ataweza Kweli au atasaidiwa na Chawa Majuha wake?

    Kila nikiangalia na kumpima kwa mambo kadhaa sioni kabisa kama hata ataweza Kuizunguka Mikoa Saba tu Nchini.
  16. JamiiForums Tanzania Mnaoishi na chawa mmegundua siri gani?

    Kule kwetu watu wenye chawa walikuwa wakijisikia aibu, lakini nasikia huko kwenu ni ufahari kuwa na chawa wengi! Kule kwetu tulikuwa tukuzichemshia maji nguo zenye chawa, lakini nasikia huko kwenu mnazilisha na kuzihudumia vizuri! Kule kwetu tulikuwa tukikosa usingizi chawa wakivamia vitanda...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Nimemblock baada ya kugundua ni chawa

    Nimekuwa nikidate na mkaka mmoja kwa mda wa mwezi, asa jana nikasema ngojea nimpeleleze maana alinitia shaka ana point nyepesi nyepesi mlugaluga. Hakuna mtu anataka kudate mwanaume kama zezeta. Nikaingia mzigoni kwenye social media, lahaullah!! Nilichokiona uko kimenishangaza. Kumbe kaka ni...
  18. JamiiForums Tanzania Picha: Kitanda cha Chawa

    Anaupiga mwingi, kazi ziendeleeee!
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Chawa wengi wa Chura wa Bahari ya Hindi wanashutumiwa kuwa na Tabia ya 'Upiga Muluzi' pale 'Magomeni kwa Macheni' Dar es Salaam?

    Yaani ukiwaona Wengi wao na ukatulia zaidi utagundua ama ni Wapiga Miluzi au huko nyuma Walipiga mno tu Miluzi.
  20. JamiiForums Tanzania Video: Huyu chawa wa Rais Samia yuko katika viwango vya SGR! Duh! Si kwa uchawa huu bali ni jinai

    Ebu msikilize!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…