chawa wa mama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manjagata

    Gen-Z wa Kenya wanataka kujinasua wa kwetu wenyewe ni Chawa wa Mama!

    Wakati vijana wa Kenya wakipambana kujinasua na makucha ta wanasiasa vijana wa kwetu wakiongozwa na Lucas Mwashambwa wao wamegeuka kuwa chawa wa mama! Hii ni aibu kwa vijana wetu! Unafika mahali unajiuliza ni wapi tulipokosea?
  2. funaku

    Maneno ya Cassypool, Chawa wa Rais Samia nchini Kenya

    Huyu jamaa aniachaga hoi kwa vituko vyake.
  3. Waufukweni

    PreGE2025 VIDEO: Mwijaku amuombea Dua Rais Samia katika Ibada Umra huko Makkah, ashinde Uchaguzi Oktoba 2025

    Wakuu Mwemba Burton maarufu Mwijaku amesafiri hadi Makkah, Saudi Arabia, kwa ajili ya Ibada ya Umra, ambapo amemwombea Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba aweze kushinda. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
  4. Abtali Mwerevu

    Chawa wa Mama Abdul

    Na: Mwalimu Makoba Tazama nikamuita mwanangu mpendwa, naye nikamtuma aende mjini akalete vitumbua ili tupate kushtua matumbo. Nilimwelekeza aende kwa Mama Abdul, mama muungwana, mtenda haki na kamwe hakupunja katika kipimo chake. Nami nikapanda juu ya mlima ili niweze kujionea yanayoendelea...
  5. Mindyou

    PreGE2025 Steve Nyerere akusanya wasanii na viongozi wa dini kugawa mitungi bure kwa wakina mama ili "kuunga mkono juhudi" za Samia

    Baada ya kuona video hii ya wasanii kukusanywa kama watoto wa shule ya msingi kwenye event maalum ya kugawa mitungi kwa wakina mama, nimepata maswali mengi Hivi kwanini CCM siku hizi hawawezi kufanya mambo yao bila kuhusisha wasanii? Yaani CCM siku hizi hata wakienda kuzindua ukuta wa nyumba...
  6. Mindyou

    PreGE2025 Hili la mkutano wa nishati nalo lilihitaji hamasa kutoka kutoka kwa chawa wa mama Michael Msechu?

    Wakuu, Mkutano wa nishati ambao walengwa wakubwa ni viongozi mbalimbali wa kimataifa na wenyewe ulihitaji "uhamasishaji" kutoka kwa Michael Msechu? Tunaenda wapi kama taifa? Balozi wa Mazingira na Mhamasishaji Michael Msechu ameshiriki kwenye hamasa ya vijana kuhusu mkutano wa nishati ambao...
  7. M

    PreGE2025 CCM Inatengeneza mazingira ya Sintofahamu/wizi Oktoba 2025, kupitia propaganda ya kukubalika

    Kinachofanyika kwa sasa ni propaganda inayolenga kuhusisha makundi yote katika jamii ionekane yanamkubali Samia ili uchaguzi wa Octoba hata yakitokea ya 2020 waseme mgombea alikuwa anakubalika. Ni dhahiri kuwa Katika sehemu ambayo huwa haipendwi CCM ni vyuo vikuu, sasa hii propaganda...
  8. Mindyou

    PreGE2025 Morogoro: Michael Msechu apita vijiweni kwenye huko Mvomero kutoa hamasa juu ya kazi anazofanya Rais

    Balozi wa Mazingira na muhamasishaji Tanzania Michael Msechu amefanya ziara Kupitia Vijana kwenye vijiwe mbalimbali kutoa hamasa juu ya kazi nzuri anayoifanya Mhe Rais Samia
  9. Mindyou

    PreGE2025 Chawa wa mama Michael Msechu aongoza msafara wa bodaboda kusheherekea maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi Zanzibar

    Wakuu, Huyu Michael Msechu kwa sasa ametua Zanzibar ili kuhamasisha wananchi kusheherekea maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Akiwa huko ameandaa, msafara wa bodaboda barabarani ili kuhamasisha sherehe hizo. Soma pia: Mhamasishaji Peter Msechu aanza ziara visiwani Zanzibar kwa...
  10. E

    Hivi Chawa wa Mama wana tofauti gani na kina Erythrocytes, Martin Masese na wapinzani wengine?

    Wakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi. Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe? Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele? Wanachadema hatulioni hili? Au sote ni machawa?
  11. The Father of All

    Unaionaje na kuitafsiri falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan ya 'hawa ni chawa wangu?

    Chawa ni viumbe wachafu na wanyonyaji damu. Awafugaye lazima awe mchafu. Je, nini busara ya falsafa Rais Samia kusema hawa ni chawa wangu hasa ikizingatiwa kuwa ni mbeba maono?
  12. L

    Rais Samia awakosha na kuwapa Tabasamu Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika tuna Rais wa nguvu, Rais wa viwango vya nyota tano, Rais mzalendo, msema kweli, wa kujivunia, mwenye misimamo, kujiamini, na ufahamu wa masuala mbalimbali. Watanzania tuna Rais anayewajua vyema na kwa undani wasaidizi wake na kutambua nani anafaa wapi...
  13. Tajiri wa kinyankole

    Vijana wa Tanzania tuamke; nchi inatafunwa na wazee na watoto wao nyie mnabaki kusifia

    Kijana amkeni nchi inamalizwa na wazee tangu nimefuatilia siasa hao wazee naona wanastaafu na kurudi kazini chukulia mtu kama kinana, omben seifue n.k. hao ni baadhi tu nimewataja na nimewataja siyo kwamba na kinyongo nao Ila hiyo Hali halisi navyoona. Kijana kama Lucas mwashamba anapambana...
  14. L

    PreGE2025 Uchapa kazi wa Rais Samia wawakosha Vijana waliomaliza kidato cha Sita, Watafuta Kadi za CCM usiku na Mchana

    Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kugusa maisha ya watu, ni kuleta tabasamu, furaha, na matumaini kwenye maisha ya watu. Ni kufanikisha na kuwezesha kutimizwa kwa ndoto za watu, ni kukidhi matarajio na kukata kiu ya watu, na kuwapa watu vicheko vya furaha na kuacha alama katika mioyo yao...
  15. Analogia Malenga

    Vikundi vya Hamasa vina tofauti gani na Chawa wa mama?

    Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu watu wengi kujiita chawa wa mama, ambapo baadae Rais aliongea maneno ambaye nadhani yaliwarudisha nyuma kidogo. Leo, nipo Dodoma kama kawaida, kwenye one and two, tupo na waziri Mkuu hapa, kwa hiyo wamekuja wamama wengi wamevaa t-shirt zenye picha ya...
  16. Tareq20

    Anayegawa hizo tisheti za chawa wa mama akumbuke kuwapatia viatu vizuri pia

    Anaegawa hizo tisheti za chawa wa mama akumbuke kuwapatia viatu vizuri pia hawa chawa tafadhali
  17. funaku

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa...
  18. S

    Chawa wa mama: Namshukuru mama Samia kwa tope la Hanang

    Kuna msemo ya kiswahili usemao "kuchamba kwingi......" Sasa hata sifa zikizidi hupelekea dhihaka. Mwaka 2016 kitovu cha kupatwa kwa mwezi dunia nzima kilikuwa mkoani Njombe eneo la Wanging'ombe. Wageni mbalimbali toka pande zote za dunia walikwenda Njombe ili kuona tukio la kupatwa kwa jua na...
  19. tpaul

    Chawa wa Mama wamemgeuka Salim Kikeke; wamempora nafasi yake wamempa Mobhare Matinyi

    Hakuna salamu hapa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kama ilivyokuwa kwa Tido Mhando aliyetolewa BBC na kuletwa kusimamia TBC, ndivyo ilivyokuwa kwa Salim Kikeke. Taarifa za kiintelejensia zinapenya kuwa ndugu Kikeke aliombwa kung’atuka BBC ili arudi nchini kuandaliwa kuwa msemaji wa serikali...
  20. M

    Chawa wa Mama wakiwa wamevaa sare za jeshi zilizopigwa marufuku

Back
Top Bottom