chawa wa mama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mmawia

    CCM yawapiga marufuku ‘Chawa wa Mama’

    Tulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa. Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia. Hili liwe ni fundisho kubwa kwa watanzania wanajitoa akili kisa njaa imewapanda kichwani. Pia soma - Chawa wa Mama wacharuka...
  2. Nyani Ngabu

    Hili la Uongozi wa Chawa wa Mama ni la kweli?

    Hivi hili jambo ni la kweli au ni utani tu wa kwenye mtandao? Natamani lisiwe la kweli. Natamani liwe ni vijimambo tu vya kwenye mtandao. Hayo ndo matamanio yangu. Lakini kwa niwajuavyo Watanzania, jambo kama hili lawezekana kabisa! Tuna idadi kubwa sana ya watu walio wajinga [rejea maana...
  3. Brightly

    Miaka Zaidi ya 15 nikiwa darasani.

    Habari Wanajf nawasalimu kwa jina la jamhuri wa muungano wa Tanzania?.Bila kupoteza muda nimekuja kwenu ndugu zangu najua humu jf nitapata ushaurii utakaonisaidia maake naamini jf ni kisima Cha maarifa na pia inawezekana nikapata msaada...
  4. R

    Steve Nyerere Dubai, muendelezo wa Chawa wa Mama kujipanga kutetea DP World?

    Steve Nyerere ameshea katika ukarasa wake wa mtandao wa Kijamii matukio mbalimbali, akiwa Dubai, na nyingine akiandika kuwa "Tunarudi uwanja wa vita." Ndio kumaanisha wanarudi kuendeleza mapigano ya kutuaminisha Mkataba na DP World mambo mazuri, tufunge midomo?
  5. R

    Maandamano ya Chawa wa Mama ni sahihi, ila ya kupinga huduma mbovu nchini ni kupigwa virungu!

    Maandamano yanayounga juhudi za mama yameenda vizuri kabisa, hakuna virungu, matamko ya kukataza maandamano kabla, wala askari kuwa standby kukamata watu! Inakuaje kinyume watu wakitaka kuandamana ikiwa hawajaridhika na utendaji wa serikali? Kwanini waandamanaji wanachukuliwa kama wahalifu na...
  6. Mmawia

    Ni aibu mtu kujiita chawa

    Inawezekana vipi mtu na akili zako timamu uamue kujiita chawa? Mbona kulikuwa na majina mengi sana ya heshima kwenye jamii? Hiyo yote ni kutafuta shortcut za kutoboa kimaisha? Unakubali kuondoa utu wako kiasi unajiita chawa? Usishangae kwenye hilo kundi kuna wasomi kabisa wanajiita chawa...
Back
Top Bottom