chaumma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sio kosa wala dhambi mtu kuwa CCM au CHAUMMA; Ni ushenzi na ukatili kulazimisha watu kuwa chama Kimoja.

    SIO KOSA WALA DHAMBI MTU KUWA CCM AU CHAUMMA; NI USHENZI NA UKATILI KULAZIMISHA WATU KUWA CHAMA KIMOJA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii tabia wako nayo wafuasi na wanachama wengi wa CHADEMA. Ni tabia mbaya sana ambayo ni kiashiria cha ukatili na ubinafsi. Muache hii tabia. Ni tabia...
  2. JamiiForums Tanzania Basil Lema: Adui si CCM, bali ni kikundi kidogo cha watu” wanaonufaika

    Mwenyekiti wa Makatibu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Basil Lema, amesema chuki na migogoro ya kisiasa imekuwa ikitawala siasa za Tanzania, hali inayowafanya Wananchi kushindwa kutambua adui wa kweli. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana yaliyofanyika Jimbo la Segerea...
  3. JamiiForums Tanzania Ndugu wadau wa Jf, hivi CHAUMMA wanaendeleaje huko na kampeni yao ya "Tujenge Pamoja Tanzania ni sisi"?

    Na vipi kuhusu michango waliokusudia kuomba kuchangiwa na waTanzania. kuna mwenye updates yoyote kwamba wamefikia wapi mpaka sasa?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  4. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukiwauliza CHAUMMA na ACT - Wazalendo wanataka kuridhiana nini na CCM hawawezi kukwambia

    Hivi vyama 18 vinataka kuridhiana nini na CCM wakati vilisema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, na siku ya kuapishwa vilialikwa na vyote vikampongeza Samia kwa ushindi. Ulishiriki uchaguzi ukasema ulikuwa huru na wa haki, na upo bungeni wengine wamo serikalini huko Zanzibar, sasa watuambie...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ccm kutumia makapuku wa chaumma kumtukana heche kupitia dalali na shehe fake mwaipopo inamaanisha nini?

    Jamani wadau mmeamkaje? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, imeibuka tabia ya ccm kutumia wale makapuku wa chaumma kupitia yule shehe fake mwenye vikundi vya kigaidi mwaipopo kumtukana heche na hitimisho lao wanasema aachie ngazi kwenye nafasi aliyonayo sasa maswali yangu ni haya; 1. Je...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi zile kampeni za michango ya pesa kwajili ya Chadema na CHAUMMA zimefikia wapi mpaka sasa?

    Au zoezi la uhamasishaji uchangiaji limesitishwa kwa muda mitandaoni na linaendelea kimkakati kimya kimya kule field ground, moja kwa moja, nyumba kwa nyumba kwa wananchi? Maana ghafla tu, updates za trend ya uchangiaji na kilichochangwa zimekoma bila taarifa yoyote. Nini kinaendelea kwa sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Huenda mikakati ya CHAUMMA kwenye uombaji wa michango kwa waTanzania, ikaipiku ile ya CHADEMA pakubwa kwenye kiasi cha makusanyo ya pesa

    Kwasababu sote ni mashahidi, kwamba mikakati hii ya CHAUMMA inaweza kuwaduwaza na kushangaza wengi kwenye kiwango cha makusanyo yao kwenye mikakati yake ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu. Mpango huu unaweza kua wa uwazi zaidi na wakuaminika kwa wachangiaji ukilinganisha na taratibu za...
  8. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo ni kama Azam tu na CHAUMMA ni kama Singida Black Stars

    Huu ni ukweli kabisa...ukitaka uamini ona issue ya Maridhiano inavyozungumziwa, ni CCM na CHADEMA. Issue ya Siasa Bongo ni Kama Issue ya Soka ilivyo..Kila Msimu kila agenda hua ni Simba na Yanga. Ikitokea Azam kajitutumua kafanya usajili mzuri ndio unaona anazungumziwa na kupewa jicho na...
  9. JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Badala ya kulalamika tufocus na kuangalia sasa hebu natengenezaje mbele

    Salum Mwalimu aliyekua Katibu Mkuu wa CHAUMMA na Mgombea Urais wa chama hicho 2025, akizungumza kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema badala ya kuendelea kulalamika ni bora tuangalie mbele na kujipanga zaidi Soma Pia: Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kwani ndugu zangu Ccm ni LAZIMA mridhiane na Chadema si Bora mridhiane na Chaumma iliyokuwa na mgombea wa Urais au Act

    Kama ni Ishu ya maridhiano tu ndugu zangu Ccm ridhianeni na chaumma au Act ndo iliingia kwenye uchaguzi. Chadema Haina hata diwani kwanini mnalazimishe waingie kwenye maridhiano wakati Kuna watu wako tayari kina Yeriko na Zito . Nyie si mnataka TU ionekane mmeridhiana kama kule Zanzibar ingawa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Kilichomkuta Salum Mwalimu CHAUMMA kumkuta na John Heche CHADEMA?

    Kwasababu ni wazi, kwamba sababu wanazotuhumiwa nazo zina fanana, ni zile zile tu za matumizi mabaya ya fedha za chama, matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama kwa matanuzi, maslahi na manufaa binafsi na familia zao. Je, tutegemee wimbi...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna Kila Dalili CHAUMMA Wameanza kumpuuza Thinktank Wao Waliyemrithi Toka kwa "Mwamba"

    Wamemshtukia kuwa hakuwa "thinktank" wa Chama bali wa yule mwamba mfanyabiashara. Jee wamefanya jambo la maana?
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Hashimu Rungwe: Salumu Alisema atahakikisha ananinyoa ndevu zangu kwa upanga

    Asiee🤔 Nimecheka sana aisee🤣🤣🤣🤣 Hashimu Rungwe hajui kabisa kuwa alikaribisha mbwamwitu hatari kwenye chama chake.. Kwa taarifa yako Mzee Hashimu Rungwe hata huyo uliyemkaimisha ukaribu mkuu, Benson Kigaila akishirikiana na John Mrema watakunyoa hizo ndevu si kwa panga tena bali kwa shoka...
  14. JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu ajiuzulu kwa muda CHAUMMA kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili

    Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ametangaza kujiondoa kwa muda katika majukumu yake ya ofisi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zilizowasilishwa dhidi yake mbele ya Kamati Kuu ya chama hicho. Soma pia: Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na Imani na Salum Mwalimu

    Sekretarieti ya Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA imewasilisha waraka Maalumu kwa Kamati kuu ya Chama hicho ya kutokuwa na imani na Katibu Mkuu wa CHAUMMA na mgombea Urais wa Chama hicho katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Salum Mwalimu. Kwa mujibu wa taarifa ambazo tumezipata kwenye...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya CHAUMMA yamkataa Salum Mwalim

    Sekretarieti ya Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA imewasilisha waraka Maalumu kwa Kamati kuu ya Chama hicho ya kutokuwa na imani na Katibu Mkuu wa CHAUMMA na mgombea Urais wa Chama hicho katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Salum Mwalimu. Kwa mujibu wa taarifa ambazo tumezipata kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri: CHAUMMA achaneni na matumizi ya domain ya "Gmail" tengenezeni website kwenda na wakati

    Sio kwa nia mbaya au kuwapangia mambo; CHAUMMA kwa hadhi yenu nyie sio wa kushindwa kutengeneza website hata ya bei kidogo ili kuenda na wakati wa sasa wa Teknolojia ya mawasiliano na kuleta udhibiti wa mawasiliano yenu ndani ya chama chenu. Ofisi ya Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Kurugenzi ya Uenezi...
  18. JamiiForums Tanzania Masasi wa Chaumma kuchuana na Emmanuela wa CCM kumrithi Lukuvi jimbo la Isimani

    Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) iliyokutana leo Jumanne, Mei 5, 2026 Kinondoni jijini Dar es Salaam imemteua Daudi Masasi kuwa mgombea ubunge wa Isimani mkoani Iringa. Uchaguzi mdogo wa Isimani utafanyika Juni 1, 2026 kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mbunge wake kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Nimewakumbuka CHAUMMA. Waliahidiwa Vyeo sasa wanaomba kurudi CHADEMA. Eti Shetani aliwapitia🤣🤣

    Yeriko Nyerere aliwaingiza chaka wakina John Mrema. Eti Mbowe kamwambia anajiunga nao.. Sasa wanamsumbua John Heche wakitaka kurudi. Waliahidiwa Vyeo... Ila havijapatoka.. Wamekata tamaa.. Salum Mwalimu anafanya biashara gani hadi ajenge Ghorofa Dodoma? Wengine hata hamu ya kuandika vitabu...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 John Heche: Walioondoka CHADEMA na kwenda CHAUMMA walitaka Madaraka

    Katika mahojiano yake na Wasafi FM, John Heche alitoa mtazamo wake kuhusu hali ya kisiasa, kuhama vyama, na msimamo wa Chadema kwa waliohama CHADEMA na kwenda Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) "Watu waliotoka kwa wingi ambao wamewahi kuwa viongozi kwenye chama hiki ni watu walioenda chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…