chapa

Chapa de Mota is a village and municipality located in the northwest of Mexico State.
It is located in the north part of the State of Mexico. By car, it is two hours from Mexico City.

View More On Wikipedia.org
  1. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Chanjo ya COVID-19 siyo chapa ya 666

    TAZAMA VIDEO YA SOMO CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA YA 666 Baada ya maombi ya Maaskofu na Wachungaji kadha wa kadha, wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo; jana Alhamisi 12.8.2021, akiwa ofisini kwake Askofu mkuu Zachary Kakobe amefundisha Somo muhimu, lenye kichwa, "CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nyembe maarufu chapa ya Alshabab zatia hofu mamlaka za Msumbiji

    Wembe wa chapa ya jina sawa na kundi la wanamgambo wa kiislamu ambalo limekuwa likitekeleza mashambulizi dhidi ya wakazi wa mji wa Cabo Delgado kaskazini mwa Msumbiji, limeshtua mamlaka. Wembe wa chapa ya Alshabab umaarufu wake ulikuwa ukiongezeka mwaka jana. Hivi sasa mamlaka zina hofu kuwa...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Ipo timu ya Pro CCM ndani ya JF isiyoyumbishwa na muda, Rais Samia chapa kazi

    Hii ni taarifa kwa wachumia tumbo wote na wafitini. Ni muhimu tukawaelewesha kuwa timu yetu huwa haibadiliki na majira kwani ina one and only purpose. Timu hii itasimama na CCM katika hali zote. Timu hii hupewa majina mengi. Timu hii inasimamia uzalendo. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  4. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Nike yafungua kesi kwa madai ya kuibiwa chapa ya Viatu vya shetani

    Kampuni ya Nike inashitaki ubunifu wa kampuni ya MSCHF iliyopo Brooklyn juu ya uzinduzi wa kile kinachosemekana kuwa “Kiatu cha shetani” chenye tone la damu ya kweli ya binadamu kwenye soli za viatu. Viatu hivyo vinavyouzwa kwa dola 1,018 sawa na (Tsh 2358910.76), ambavyo vimechorwa alama ya...
  5. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Chapa gani huifikiria zaidi hata kama hutumii bidhaa zao?

    Habari 👋🏽 Je, ni chapa gani hufikiria zaidi hata kama hutumii bidhaa zao? // What brand do you think about the most when you're not even using their product? Binafsi hufikiria chapa za Adobe, Snapchat, TikTok, Apple na Lay's. Snapchat na TikTok hujiuliza namna na utendaji wa mitandao hiyo na...
Back
Top Bottom