Chanika is an administrative ward in the Ilala district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 23,450.
Ukifika Chanika mwisho jijini Dar es Salaam kuna msongamano mkubwa wa magari na watu kutokana na ufinyu wa eneo hilo. Hiyo ni kwasababu eneo hilo halina kituo cha daladala, matokeo yake magari hayo hujichanganya na pikipiki zinazopaki eneo hilo na msongamano wa watu.
Msongamano huo ulisababisha...
Baadhi ya wananchi wamevamia eneo la bonde la Buyuni Kata ya Buyuni wilayani Ilala- Dar es Salaam na kupima viwanja kinyume na utaratibu.
Eneo hilo lipo ndani ya Mradi wa Viwanja 20,000 Buyuni. Ni bonde linalotenganisha mtaa wa Serikali Buyuni na Kigezi na ni bonde ambalo lipo nyuma ya Zahanati...
Katika mahangaiko yangu ya kuzichakata na kuzibananga mbunye hapa dar CHANIKA pamenishangaza sana.
Kumbe wakati nilipokua nahonga elfu 60 mpaka laki 1 kwa watoto wa chuo wa hapa mjini nlikua nachelewa sanaaaaa.
Juzi nimepiga 3some kwa elfu40 tuu pande za CHANIKA 😅🫵
Nimechakata vitoto viwili...
Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona
● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge
● Ukipita macho yote kwako, utasindikizwa na macho hadi utakapoishia
● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu
● Maduka...
Nauza kiwanja.
Mahali: Chanika Lukooni nyuma ya stendi mpya inayojengwa ya Chanika. Kama unaelekea Mvuti unateremkia Videte.
Ukubwa: mita 12 kwa mita 18.
Bei: 7.5 m
Mawasiliano: +255788745213
Nauza kiwanja.
Mahali: Chanika Lukooni nyuma ya stendi mpya inayojengwa ya Chanika. Kama unaelekea Mvuti unateremkia Videte.
Ukubwa: mita 12 kwa mita 18.
Bei: 7.5 m
Mawasiliano: +255788745213
Machi 16, 2025 kuna memba alitusaidia kufikisha ujumbe kwenye Jamii kuwa sisi Wakazi wa Chanika Zingiziwa tuna changamoto ya kutokuwa na umeme licha ya kwamba TANESCO wamekuwa wakija na kuondoka wakiwa na sababu ambazo hazieleweki.
Alichoandika Memba wa kwanza soma hapa - Wakazi wa Chanika...
GHOROFA linauzwa
mahali
Ni chanika buyuni
Ina
Room 3 Moja master
Ina jikoo
Ina sebule
Ina Daininng
Ina public toilet
Ina stoo
Ina chumba Chakufulia
Nguo
Ina swimming pool
Eneo Lina sqmt 694
Hati miliki ya wizara
Nyumba inatupwa tu hii
Nyumba inauzwa
MILIONI 220 MAONGEZI
🇹🇿Call/WhatsApp...
NYUMBA INAUZWA MILIONI 19
CHANIKA ZINGIZIWA
WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM
ENEO: SQM 300 LESSEN YA S|MTAA
PHONE 0743 257 669 WHATSAPP
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
INAVYUMBA VIWILI VYOTE MASTER
SITING ROOM INAJIKO PUBLIC TOILET
Ipo jilan na UMEME MAJI SHULE HOSPTAL
Nyumba inauzwa chanika mwisho kwa milion 29 tu ipo mbele ya barabara ya mtaa na mita 300 toka lami,
Nyumba ina viumba 8, vyote vina wapangaji matundu ya choo yapo ma 4.
0743257669
Hati ni ya mauziano ya serikali za mtaa
NYUMBA INAUZWA CHANIKA MWISHO MIL 22 ( INAUZWA MIL22)
CONTACT: 0743 257 669
Nichek whatsapp direct View James Construction and real estate company's Catalog on WhatsApp
UKUBWA WA ENEO SQM 400
BEI TSHG MIL 22,000,000/=
NYUMBA INA VYUMBA VITATU 3 MASTER BEDROOM PUBLIC TOILET JIKO NA...
Ajali inapotokea huwa inasikitisha sana na kuumiza sana!
Lakini upande wa pili huwa inafungua ukurasa mpya wa kujadili!
Mungu aliumba mitume na manabii ili kuzisaidia mamlaka za utawala katika kutekeleza sheria!
Miongoni mwa manabii walioitwa na mungu ni pamoja na
1. Baadhi ya watumishi wa...
Diwani wa Kata ya Chanika na Naibu Meya wa Ilala Masaburi Deoglas Masaburi, amesema kutokana na kufanya vizuri kwenye Uandikishaji wa Daftari la Kudumu lililopita na kupelekea Ushindi wa kishindo wa Serikali za Mitaa, ambapo aliahidi kutoa Sh. Milioni 10 kwa Kata yake na leo ametimiza ahadi hiyo...
Ajali imetokea maeneo ya Kisumo( katikati ya Gongo la mboto na Pugu)
Daladala( minibus) la Chanika to Machinga Complex laacha njia ( inasemekana lilikuwa linatanua) na kugongana uso kwa uso na gari ndogo ambayo ilikuwa imepaki pembeni ya barabara na ambalo ndani yake alikuwemo askari mwenye...
Sisi Wakazi wa CHANIKA ZINGIZIWA tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua huu mwaka wa pili sasa, tangu Mwaka 2023 tuliambiwa tutaletewa mradi wa umeme lakini hii sasa ni 2025 mpaka leo hatuna umeme.
Inashangaza sana, Chanika ni Wilaya ya Ilala, Wilaya ambayo imekuwa ikisemwa inaingiza mapato zaidi...
Nyumba inauzwa chanika mwisho senta milion 22, (imeshuka bei njoo hata na nusu anapokea maana ana shida) ina viumba v2 kimoja masta sebule jiko na pablic toile. Full tiles and gypsum umeme tayari. Bei inapungua njoo site
Kutoka chanikamwisho hadi kwenye nyumba dk5 kwa mguu
Call 0743257669
NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA.
MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126
Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo...
Hi Great Thinkers.
NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA.
MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126
Niliipia kupitia control Number ya...
TANESCO Chanika, Ilala tunaomba ufafanuzi wa kwanini umeme unakatika sana Chanika mwisho pale eneo lote la Stand ya Mbagala
Nina shangazi yangu anaishi Chanika mwisho anadai umeme unakatika sana kiasi kwamba wakazi wengi wanachoshwa sana na hilo tatizo
Alinieleza umeme unakatika hata mara 10...
Mimi naishi mtaa wa Zavala - Kwambiki kata ya Buyuni Chanika Ilala Dar es salaam. Nyumbani kwangu na baaadhi ya nyumba za majirani zangu tumekuwa tukipata tatizo la umeme kukatika katika kila siku ikifika saa moja usiku mpaka saa nne usiku kuanzia mwaka jana 2024 mwezi wa Tisa. Nili-report...
Anonymous
Thread
chanika
dar es salaam
huduma ya umeme
low voltage
umeme chanika
umeme mdogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.