change

  1. sixto Mwanambuu

    SoC04 Stories of change 2024

    Tanzania ni moja ya nchi zenye fursa kubwa za maendeleo barani Afrika kutokana na rasilimali zake za asili, utajiri wa ardhi, na idadi kubwa ya watu wenye vipaji na uwezo. Hata hivyo, ili nchi hii iweze kufikia ukuaji wa kiuchumi na kijamii unaostahili, kuna mambo kadhaa muhimu yanayopaswa...
  2. P

    SoC04 Stories of Change 2024

    Tanzania pamekuwa na ubadhilifu wa mali za Umma Kila siku lakini hakuna uwajibishwaji wa wale wanaohusika hadi inapelekea kuwa KAWAIDA na wengine hutamani kuiba! Hii ni Kwa sababu 1. Hakuna usimamizi nzuri wa sheria 2. Muhimili kama BUNGE hawatungi Sheria Kali ikiwa mtu atabainika kuiba fedha...
  3. M

    SoC04 Dhamira ya Tanzania miaka 5 - 25 ijayo

    Hili ni suala dhamira ya kuelekea mustakabali wa Tanzania katika miaka 5 hadi 25 ijayo. Kwa muhtasari, maudhui muhimu yanayoweza kuzingatiwa ni: 1. Maendeleo endelevu na upatikanaji wa rasilimali: - Kuchambua mikakati ya kutumia rasilimali za asili kwa njia endelevu na kuweka mipango ya...
  4. Bullshit

    Kwanini post yangu ya stories of change ilifutwa

    Kama kuna sababu za kufuta mnijulishe lakini kufuta bila kutoa sababu yeyote naona si vizuri
  5. Gambino X

    Wazo La Kukuza Uchumi kwa Wakulima an Vijana

    Mabadiliko ni Muhimu sana. Tufanye wenyewe kama mtu na mtu au serikali kwetu au taasisisi cha umuhimu ni mabadiliko. Tunashindana kupata stories bora ambazo zitaleta maendeleo chanya. Natamani kuona mawazo ya Wa Tanzania wenzangu ya kiuchumi na tuangalie namna gani kwa pamoja tunaweza...
  6. P

    SoC04 Uwekezaji wa vijana

    Napenda kushiriki katika story of change kwa kutoa mawazo, mapendekezo na maoni yangu juu ya Tanzania tuitakayo. Yapo mengi ambayo ningependa kuyazungumzia katika mada hii lakini ushiriki wangu utaangazia zaidi juu ya suala la Uwekezaji kwa Vijana. Nini maana ya uwekezaji kwa vijana? Uwekezaji...
  7. Nyendo

    Hivi wanawake wenzangu wa JF mmeshaandika kuhusu Tanzania tuitakayo kwenye Stories of Change?

    Habari Wanawake wote wa JF, Salaam ziwafikie mliko Wanaume pia hakika mnastahili pongezi kwa kuwa waibua mijadala na watoa maoni yanasaidia katika ujenzi wa Taifa letu kwa ujumla. Leo naongoe na wanawake, jeshi kubwa, nina swali kwenu je, mmeshaanza kuandika, mmeshiriki shindano na kupost...
  8. J

    SoC04 Focusing on positive: How to influence and motivate behavioral change in Tanzania

    As teachers, parents, health professionals, and counselors who guide individuals on various important life issues, we strive to educate and advise those we love on various matters to consider for success in life and overall well-being. But in most cases people are rarely changing from bad habits...
  9. M

    SoC04 I can change the world with my two hands

    SAVE A WOMAN SAVE ALL GENERATIONS Among 100,000 women in Tanzania 11 women have experienced gender based violence at some point in their life, According to Global 2013,35% of women worldwide have experienced either physical/sexual intimate violence in their life, never to mention children below...
  10. Juma jaibu kuhanga

    SoC04 Mawazo yetu tanzania yetu

    Bungeni; Katika bunge la tanzania ni muhimu watu wenye mahitaji maalimu wangejumuishwa katika nafasi ya wabunge wa viti maalum hii itasaidia kuwepo kwa uhalisia wa mambo yao wanayowakabili katika jamii ingepeteza kama walemavu wa viongo, wasiona, viziwi, bubu na albino kila watu apo wangekuwa na...
  11. EXODUS ZION

    SoC04 Stories of Change (5-25 years)

    STORIES OF CHANGE 2024: INTRODUCTION. Tanzania is one among of the African countries with many resources and one of the countries with peace and comfort but we need a new Tanzania for the next 5 to 25 years. IN EDUCATION. In Tanzania we have four levels of education. Which...
  12. Z

    SoC04 Njia ya kupunguza tatizo la ajira kwa vijana waliosoma na Wasiosoma na kuongeza pato la taifa nchini Tanzania

    Ajira ni tatizo kubwa linalozikumba nchi nyingi duniani, tatizo hilo linajulikana kama (Global Problem) likiwa na maana ya tatizo la kidunia. Kutokana na ripoti iliyotolewa na Decent Job for Youth 2024, inaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 13.3% ya vijana wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 35...
  13. D

    SoC04 How Tanzania can take it's economy to another level in 5- 25 years through investing in technology

    In the next 25 years, Tanzania has the opportunity to leverage technology to propel itself to the next level in various sectors, including education, healthcare, agriculture, governance, and infrastructure development. These are few examples; Education: Technology can revolutionize education in...
  14. Mwl.RCT

    SoC04 Sowing Seeds of Change: Investing in Rural Education for a Thriving Tanzania

    Sowing Seeds of Change: Investing in Rural Education for a Thriving Tanzania Introduction: In Tanzania, a nation striving for progress, a startling reality casts a long shadow: over 70% of primary school-aged children in rural areas lack access to quality education. Mama Asha's heart aches with...
  15. A

    SoC04 Mitigating the Impact of Climate Change in Tanzania: Strategies for Sustainable Development

    Climate change poses a significant threat to Tanzania's socio-economic development, biodiversity, and overall environmental stability. The country experiences a range of climate-related challenges, including erratic rainfall patterns, prolonged droughts, flooding, and rising temperatures. To...
  16. S

    SoC04 Tanzania of Change: Safari ya Mabadiliko Endelevu

    SAFARI YA MABADILIKO ENDELEVU. Tanzania kama zilivyo nchi nyingine inakabiliwa na changamoto lukuki za kimaendeleo, mfano Kwenye sekta ya elimu, miundo mbinu, uchumi na afya hivyo kunahaja kubwa ya kuchukua hatua mathubiti ili kuhakikisha maendeleo endelevu na mafanikio ya wananchi...
  17. conductor

    Tunataka mkoa wa Kagera uwe kati ya mikoa yenye 'Specialization', sio kila filimbi tunaitikia

    Hamna nchi au mkoa utakaokombolewa na Mgeni, neno political will lazima liwe na wazawa ndani yake. Kulaumu haliwezi kuleta tija katika aina yoyote ya mapambano, iwe Ajira, afya, elimu au biashara. Lazima litokee kundi madhubuti kuongoza bidii, iwe ya maendeleo, au ulalamishi, au kuhubiri lazma...
  18. Msanii

    SoC04 Kodi Zinazowezesha Maendeleo (Taxes for Progress); maoni kwa Waziri wa Fedha

    Mheshimiwa Waziri wa Fedha, Tanzania yetu ni nchi yenye amani tele na yenye fursa nyingi za uwekezaji. Tuna rasilimali nyingi muhimu, uchumi imara na uwezo wa teknolojia. Hata hivyo, kwa bahati mbaya, wawekezaji wa kigeni wanahofia kuja kuwekeza hapa nchini kutokana na kodi nyingi na ngumu...
  19. JamiiForums

    SoC04 Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register Mshiriki anaweza kutumia jina halisi au la kubuni ‘pseudonym’. Mshiriki atatakiwa kutaja jina halisi endapo ataibuka MSHINDI. Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linaloelezea TANZANIA...
  20. JamiiForums

    SoC04 Uzinduzi wa awamu ya Nne wa Shindano la Stories of Change 2024, Zaidi ya Tsh. Milioni 50 Kushindaniwa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UZINDUZI WA AWAMU YA 4 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE” JamiiForums (JF) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu jijini Dar es Salaam. JF inashughulika na Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Vilevile, inaratibu Mtandao wa JamiiForums.com...
Back
Top Bottom