changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Simu na kuwaka yenyewe

    Habari ya kuamka wakuu natumai mmeamka salama kwenda kupambana kutafuta riziki na Harakati za kuikomboa nchi zikiendekea. Inshort ni kwamba Nina Simu yangu Samsung A42 5G ina changamoto ya kuzima na kuwaka yenyewe na hata ikiwaka kuna baadhi ya vitu havifanyi kazi kama Bluetooth...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano TCRA, ruhusuni JamiiForums kwasababu kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika kupitia habari

    Maendeleo makubwa hayawezi kuja pasipo kufahamu changamoto zinazozuia mafanikio JamiiForums kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika hasa katika maswala yanayoigusa jamii kwa ujumla kupitia habari, jambo lililokuwa likisaidia Serikali kuona changamoto za Wananchi wake na kutatua...
  3. JamiiForums Tanzania Namibia yatoa somo la nidhamu ya fedha. Je, wamejiandaa na changamoto za kuathiri akiba ya fedha za kigeni?

    Namibia imekuwa mfano kwa jinsi nchi inavyoweza kuonyesha nidhamu ya kifedha kwa vitendo. Hatua ya hivi karibuni ya serikali ya Namibia kulipa deni la Eurobond lenye thamani ya dola milioni 750 imeweka rekodi kama ulipaji mkubwa zaidi wa deni katika historia ya taifa hilo. Kwa hatua hiyo...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kuna changamoto EA radio na wasafi radio!?

    Watanzania wenzangu habari! Nimekuwa kwa muda mrefu nikisikiliza radio tajwa hasa vipindi vya michezo na magazeti. Lakini hata hivyo siku za karibuni sisikii vipindi hivyo badala yake muda mwingi wanapiga muziki! Je kuna changamotot yoyote ya uandishi au maadili !
  5. JamiiForums Tanzania Biashara ya Bando: katika Mitandao ya Yas, Halotel, Vodacom na Airtel

    Je ni namnagani ya kuanza biashara ya kuuza bando??
  6. JamiiForums Tanzania Rais Aliye Madarakani Kushindwa Kuitikia Wapinzani na Kushindwa Kutatua Changamoto za Uchaguzi

    Katika siasa za Tanzania, msemo maarufu wa Jakaya Kikwete, Rais mstaafu wa nchi hii, "Akili ya kuambiwa changanya na zako" unatoa tafsiri ya kina kuhusu umuhimu wa kusikiliza na kujenga maelewano. Hii ni msemo inayosisitiza kuwa ni muhimu kutafuta ushauri na mawazo mengine kwa lengo la kuboresha...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Utatuzi changamoto za ajira portal, nssf portal nk

    Kama una changamoto kama kusahau password,email na kutengeneza akaunti kwa mifumo kama AJIRA PORTAL, NSSF PORTAL,LOAN BOARD, NK Wasiliana na 0623446608 kwa msaada binafsi
  8. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Kufutwa kwa Matokeo Bila Ufafanuzi: Dilema Kati ya Wanafunzi, Wazazi na NACTE

    Katika miaka ya karibuni, kumekuwepo na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wazazi kuhusu hatua ya NACTE kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi bila kutoa sababu za wazi. Hali hii imekuwa ikileta mkanganyiko mkubwa (dilema) hasa kwa wanafunzi wa kozi kama Diploma in Health Information...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Ni changamoto ya afya ya akili?

    Mfano mdogo ni hawa watu humu ambao kila kukicha wanaunga mkono serikali hii yenye makandokando, Serikali hii waiungayo mkono imeifungia JF, Lakini wao wanatumia VPN kuendelea kubangaiza humu.... Sasa unajiuliza huyu mtu gani ambae anashindwa kuitii hata serikali anayoiunga mkono!!? Mtandao...
  10. JamiiForums Tanzania Maji, Unyevu, Fungus, paa kuvuja na Kemikali za Ujenzi — Changamoto, Uzoefu na Suluhu.

    💧🏗️ C stallion Africa kamili dhidi ya maji, unyevu na matumizi ya kemikali katika ujenzi Wadau wote wa sekta ya ujenzi – Karibuni! Wahandisi, mafundi, wakandarasi, estate managers, wamiliki wa majengo, na maduka ya hardware – huu ni mwaliko maalum wa kujadili na kutatua changamoto...
  11. JamiiForums Tanzania Changamoto gani ulikutana nayo baada ya kumpokea ndugu au rafiki kutoka mkoani

    Hi Wakazi wa dar ni changamoto Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba...
  12. JamiiForums Tanzania Unamfahamu Mfugaji wa Kuku ambae anapata changamoto kusimamia Shamba lake la Kuku?

    🌞 Heri ya wiki mpya mfugaji! 🐔 Anza wiki hii kwa ubora zaidi ukitumia toleo jipya la Fuga App sasa ni rahisi zaidi kusimamia shamba lako, kufuatilia matumizi, uzito wa kuku na faida zako! 📲 Pakua sasa Fuga App kupitia Playstore: [Fuga - Apps on Google Play]
  13. JamiiForums Tanzania Padre Aliyejiteka ana changamoto ya Afya ya akili

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemfutia kesi ya kujiteka na kutoa taarifa ya uwongo mtandaoni iliyokuwa ikimkabili Padre Jodan Kibiki wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyololo, Jimbo la Mafinga baada ya uchunguzi wa kitabibu kugundua Padre huyo ana changamoto ya afya ya akili. Akitoa taarifa hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Kongamano la Xiangshan latoa ufunguo kwa juhudi za kukabiliana na changamoto za kimataifa

    Kongamano la 12 la Xiangshan hivi karibuni umefanyika mjini Beijing, China. Wakati dunia inapokabiliwa na changamoto mbalimbali, kongamano hilo si kama tu ni jukwaa la mazungumzo, bali pia ni jitihada muhimu za kutafuta njia ya kusuluhisha migogoro duniani. Dhana ya kongamano hilo lililotetea...
  15. JamiiForums Tanzania TANESCO kuna Changamoto ya Manunuzi ya Umeme Kupitia Yas, Vodacom na NMB

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kuna changamoto kwenye manunuzi ya umeme (LUKU) inayosababisha wateja kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu ya Yas, Vodacom na benki ya NMB hivyo kwa sasa tunawashauri wateja kutumia mitandao ya simu na njia za kibenki...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa vijana ni kama maeneo yao hayana changamoto kabisa, wamelambishwa asali au wanajisahau?

    Ukiwaangalia harakaharaka hawa vijana ni kama wameonjeshwa maji wakiwa jangwani halafu wakasahau kuhusu ukame wa maji kwenye jangwa walilopo na kugeuka kumsifia aliyewaonjesha badala ya kutaka suluhu itakayowakomboa wanabaki kuwa watumwa. Fursa kama hizi wanazozipata kwenye media ni nafasi...
  17. JamiiForums Tanzania Makampuni nchini Tanzania yanakabiliwa na changamoto zinazochangia kutokuandaa ripoti za uendelevu (sustainability reports)

    Makampuni nchini Tanzania yanakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazochangia kutokuandaa ripoti za uendelevu (sustainability reports) kwa mwaka husika, licha ya kuongezeka kwa shinikizo la kisheria na la wadau. Makampuni mengi bado yanaona ripoti za uendelevu kama zoezi la kuzingatia sheria tu...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiona hizi dalili ujue una changamoto ya nguvu za kiume

    Siku hizi kila kona mitaani, mitandaoni na hata makazini, kila mtu anajua “dawa” fulani ya kuongeza nguvu za kiume. Lakini cha kushangaza, kadri muda unavyosonga, ndivyo tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linavyozidi kuongezeka. Fikiria mara mbili kabla ya kuamini kila tangazo unaloona. Sisi...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani haivamii China kisa changamoto ya madawa ya kulevya kama wanavyotaka kuivamia Venezuela?

    Nchi ya marekani kila siku imekuwa ikihituhumu China kuhusu changamoto ya fentanly na matumizi yake ndani ya nchi ya marekani. Marekani mara kadhaa inasema China ina zalisha kwa wingi na kupenyeza fentanly ndani ya marekani ili watu wake waathirike na waharibikiwe. Sasa kupitia malalamiko hayo...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Picku za kichina (jmc& cannon) zinaubora gani au changamoto ipi?

    Jamani haya magari ya pickup ya kichina yanasifa zipi bora au sifa mbay ukilininagshia na hilux au isuzu au pickup zingine sokoni?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…