changamoto ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Changamoto ya Maji - Mtaa wa Kanisa la Hija, Pugu

    Mamlaka husika ishughulikie maana bili ya maji inakuja tunalipa lakini huduma ya maji ni ya kuvizia. Maji yanatoka dakika kumi mpaka tano yanakata. Na mamlaka husika zinalijua hili, tunaomba DAWASA walifanyie kazi tumechoka.
  2. A

    KERO Wananchi Korogwe Mjini tuna Changamoto ya Maji

    Sisi wakazi wa Bagamoyo na Kilole, Wilaya ya Korogwe Mjini, tunalalamikia changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo yetu. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa hakuna ratiba maalumu ya mgao wa maji hali inayotusababishia usumbufu mkubwa katika maisha ya kila siku. Cha...
  3. Roving Journalist

    Aweso: Changamoto ya maji Kijiji za Baraki, Wilaya ya Rorya - Mara imesababishwa na bomba kukatwa na wanaodhaniwa kuwa wafugaji

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya maji iliyopo kwa Wakazi wa Kijiji za Baraki, Kata ya Baraki Wilaya ya Rorya Mkoani Mara baada ya kipande cha video kusambaa kikionesha Wananchi wakichota maji kwenye eneo ambalo halina maji safi na salama. Kusoma kilichotokea...
  4. A

    KERO Songea: Changamoto ya maji Eneo la Mkuzo imekuwa kero, mamlaka ya maji inafungua usiku saa 9 na kukata saa 11 alfajiri

    Ruvuma–Songea–Mkuzo kumekuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji hapa Songea. Mamlaka ya maji (SOUWASA) wamekuwa wakifungua maji usiku kuanzia saa 9 na kuyakata tena saa 11 usiku, hali inayowaathiri wananchi wengi kushindwa kupata huduma kwa wakati unaofaa. Ni vyema wakajirekebisha na...
  5. A

    KERO Changamoto ya maji

    Hv inawezekanaje miaka 50+ tunategemea maji ya mvua, je tuko serious kweli watu million 60+ serikali yetu haina moango wala haikuwahi kujioanga kuwa na cyanzo vya maji vya uhakika nje ya mvua. Nachojua mimi ardhini kuna mikondo ya maji inayotembea kwa pressure ya hali ya juu mno. (Nmechimba...
  6. PAYE

    Jumaa Aweso: Changamoto ya maji Dar ni kipindi cha mpito

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amewatoa hofu wananchi wa Dar es Salaam kuhusu upatikanaji wa huduma ya maji, akisema kuwa jitihada mbalimbali zinaendelea ili kuhakikisha huduma hiyo inaimarika. Aidha, Aweso ameielekeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuanza mara...
  7. Miguel255

    Changamoto ya maji imenikumbusha mbali. Soma ujifunze

    Sasahivi wanaotamba mjini ni wale wenye nyumba zenye visima. Yaani wakati watu wanahangaika na foleni ya madumu wao wanaoga kutwa mara mbili mpaka tatu, wanafua kila siku na wengine hadi maua wanamwagilizia. Hii hali imenikumbusha kipindi fulani nafanya kazi kwa wahindi upanga dar es salaam...
  8. 888I

    Changamoto ya maji Afrika ni VITA ya Kiuchumi

    Mabeberu wanakausha vyanzo vya maji makusudi ili kuwagombanisha Waafrika na serikali zao 😂😂😂 mwl
  9. tonicimmobility

    KERO Hii ni Dar na hawa ni wananchi wa Ubungo wakichota maji katika chemchem ya mto Gide

    Hii ni 2025 na hili ni jiji namba moja Tanzania ambalo tunajivunia ila wananchi wake bado wanatumia maji ya chemi Chemi, yaani mwaka 2025 bado tupo primitive stage na hapa ni jijini Dar es salaam, sasa mikoa jirani hali ikoje. _________ Wakazi wa Ubungo Riverside Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa...
  10. Nipe Maji

    GE2025 LUWASA yaagizwa kuchunguza changamoto ya miundombinu ya maji Lindi

    Mkuu wa wilaya Lindi, Victoria Mwanziva ameiagiza Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira (LUWASA) kuchunguza uharibifu wa miundombinu ya mradi wa Ng’apa. Hatua hiyo inafuatia malalamiko ya wananchi wa mtaa wa Mtange kukosa maji kwa zaidi ya wiki moja.
  11. Mwande na Mndewa

    KERO Kinyerezi maji bado tabu,yanatoka mara Moja kwa mwezi licha ya tanki kubwa la Bangulo kuanza kutumika

    Licha ya tanki kubwa la maji la Bangulo kuzinduliwa mwezi march lakini bado maji yamekuwa shida Kinyerezi,maji yanatoka mara moja kila mwezi siku Moja kati ya tarehe 1 hadi 3 lakini cha ajabu Leo ni tarehe 6 June Maji hayajatoka,kama idara ya maji kazi hamuiwezi basi waambieni wananchi waende...
  12. A

    KERO Kilimanjaro: Changamoto ya Maji eneo la Kitefure, Longuo licha ya mvua kunyesha

    Changamoto ya upatikanaji wa maji katika eneo la Kitefure, Longuo, Kilimanjaro ni kubwa licha ya kipindi hiki cha mvua. Hata wakati wa mvua, tunapata shida kubwa ya maji, kwani maji yanapatikana mara moja tu kwa kipindi kirefuna eneo hili lina wakazi wengi sana jamii hii ni ya wanafunzi wa vyuo...
  13. Nipe Maji

    PreGE2025 RUWASA yatatua changamoto ya maji Kwala, yakamilisha mradi uliogharimu zaidi ya bilioni 1.4

    Mradi wa maji wa Kwala,uliogharimu zaidi ya bilioni 1.4 na kutekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) unakwenda kuwa mkombozi kuwaondolea changamoto ya ukosefu wa maji safi wakazi 6,407. Akizindua mradi huo mkubwa, Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025...
  14. Just Pray

    PreGE2025 Wananchi wa kijiji cha Manga, Bumbuli wamemshukuru mbunge january Makamba kwa kutatua changamoto ya maji

    Wananchi wa kijiji cha manga kata ya funta halmashauri wilaya ya bumbuli wamemshukuru mbunge wa jimbo hilo january Makamba kwa kutatua changamoto ya maji iliyokuwa ikiwakabili Hayo yamejiri wakati wa zihara ya mbunge wa jimbo hilo ambapo wananchi wamesema walikuwa wakifuata maji umbali mrefu...
  15. Kisesetusese

    Hivi waziri wa maji yupo kweli? Hii changamoto ya maji kwa wananchi haisikii? Wananchi wanteseka tena ndani ya jij anania gani. Watendaji wapo kweli?

    Huu ujumbe nimeuchukua kutoka kwenye grupu la wananchi Tumsifu yesu kristo,Bwana yesu Asifiwe,Mwanakondoo Ameshinda,Asalam Aleykhum Jamia'Shalom-Ndg Zangu Naamini Kila mmoja wetu ameamka salama na Familia. Kwa Unyenyekevu wa Moyo wangu' na Shukrani Kwa Mungu Nawatakia Siha Njema mliojaliwa...
  16. A

    KERO Goba mitaa ya Kwa Robert, Muhimbili, Mageti haina maji wiki ya pili sasa

    Ndugu zangu, kuanzia Mbezi mwisho kwenda Goba na mitaa yake (Kwa Robert, Muhimbili, Mageti n.k) maji ni changamoto karibia wiki ya pili sasa. Na hili joto tunaishia kuoga jasho tu, mamlaka husika naomba liangalie hili jambo. Huwezi amini kuna watu wanaenda kuchimba kwenye mabonde ya mito ili...
  17. R

    KERO TANGAUWASA sasa ni wiki hakuna maji, acheni uzembe huu usio na kipimo

    Sasa ni wiki hakuna maji sehemu za Jiji la Tanga. Nobody cares! Angalia tatizo ni nini na mtupe maji! Atakaye kuwepo mkutano wa leo wa Samia Mkwakwani stadium, please raise this issue maana sasa ni very serious! Mbunge Ummy take note of this!
  18. Roving Journalist

    Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) yaondoa changamoto ya maji Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imefanikiwa kuondoa changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki, Manispaa ya Singida, baada ya kukamilisha mradi wa usambazaji wa maji katika eneo hilo. Mradi huo...
  19. Roving Journalist

    Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) yaondoa changamoto ya maji Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imefanikiwa kuondoa changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki, Manispaa ya Singida, baada ya kukamilisha mradi wa usambazaji wa maji katika eneo hilo. Mradi huo...
  20. M

    KERO Changamoto ya maji Malimbe, Mwanza

    Malimbe asilimia kubwa ya wakazi ni wanafunzi wa chuo cha SAUT kwa asilimia 75 haichukui zaidi ya KM 10 kwa mkazi yeyote wa malimbe kufikia ziwa victoria lakini changamoto ya maji ni kubwa sana inafikia zaidi ya siku 4 mpaka 5 maji hayatoki. Tunaoba mlifanyie kazi hili tunaishi kwa taabu sana.
Back
Top Bottom