chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 wanaCCM wengi watakihama chama chao directly or indirectly. Na huenda ikawa sababu ya anguko kubwa kwa CCM

    Baadhi ya wanaCcM wameanza kuzila kushiriki shughuli za chama. Mfano ni huu uchaguzi wa jumuia za wazazi. Watu wamezila. Kuna harufu ya mgawanyiko. Na utakuwa mkubwa sana mwaka 2025.
  2. JamiiForums Tanzania Tabasamu si mbunge wa kuwa chama tawala jamaa ni mzalendo kwelikweli

    Inasemekana elimu yake ni darasa la saba lkn kwa namna anavyojenga hoja hakika huyu ndugu huko alipo kwa maana upande wa wapiga makofi anapoteza muda wake. Tabasamu kwa aina ya biashara zake na kwa anayoyaongea bungeni ni wazi ni mtu safi na hana makando-kando ndiyo maana uthubutu wa kuyanena...
  3. JamiiForums Tanzania Clatous Chama na Pablo wa Simba wabeba tuzo za mwezi Ligi Kuu Bara

    PABLO FRANCO - Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Machi, 2022. CLATOUS CHAMA - Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Machi, 2022.
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania haitajengwa na chama kimoja

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania haitajengwa na mtu mmoja au chama kimoja bali itajengwa na Watanzania wote. Rais Samia ameeleza hayo Jumanne Aprili 5, 2022 Jijini Dodoma wakati akizindua mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), unaojadili maridhiano, haki na amani...
  5. JamiiForums Tanzania Kurejea kwa Elia F. Michael, CHADEMA iwe makini

    Hawa vijana waliondoka CHADEMA wenyewe kwa kununuliwa baada ya kushawishiwa , huku wengine wakihamia ccm baada ya vitisho, yeyote anayeogopa vitisho vya watawala hafai kwenye siasa za upinzani. Ninatambua msululu wa wasaliti wanaoomba kurejea CHADEMA, wakiwemo Wakuu wa Wilaya wawili ambao wako...
  6. JamiiForums Tanzania Tuweke kumbukumbu sawa: Serikali inaelekezwa na kusimamiwa na Katiba sio Chama!

    Hii ni rejea muhimu kwetu sote na kwa manufaa ya Taifa letu. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  7. JamiiForums Tanzania Ni mapema sana kutenganisha misingi ya Chama na Serikali

    MAONI YANGU: Serikali iliyopo na Serikali zote zilizotangulia zimetokana na Chama nikimaanisha Chama Cha Mapinduzi na hapo awali TANU. Ukipitia kwa undani misingi iliyounda Serikali yetu imetoholewa kutoka katika misingi iliyounda Chama. Hivyo sio jambo rahisi au la siku moja au la tamko moja...
  8. JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA wamethibitisha dhahiri kuwa wao na chama chao ni CCM B

    Unajiuliza swali mmoja tu la msingi Abdulhaman Kinana kuwa makamu mwenyekiti CCM bara kuna faida kwao? Kwani nini wafurahia na kukenua meno? Kinana kuwa makamu wa CCM bara kuna manufaa gani kwao? Nyuma ya pazia kuna faida kubwa kwao. Maana kwa miaka sita CCM A haukuwapa nafasi ya kufanya...
  9. JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wanaCCM tujitafakari na kuchukua hatua. Je, chama chetu ni mali ya wakulima na wafanyakazi? Au ni mali ya wajanja wachache?

    Bila hata ya kutumia hadubini sasa ndio wakati wa kuchambua pumba na mchele. Chama chetu kilianza na madhumuni mazuri kabisa ya kuwa chama cha kuwatumikia watanzania ambao ni wakulima na wafanyakazi. Ndio ilikuwa dhima kuu kuleta maendeleo kwa manufaa ya kila mtanzania. Hakikuwa mali ya...
  10. JamiiForums Tanzania CCM imekosa vijana wenye sifa mpaka kumpa kazi Mzee Kinana mwenye miaka 71?

    Habari Wana JF, Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni? Karibuni tujadili.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi baridi ndani ya chama kongwe, iliyokuwa CCM Mpya ya mwendazake yafukiwa rasmi

    Mapinduzi baridi ndani ya chama kongwe, iliyokuwa CCM Mpya ya mwendazake yafukiwa rasmi Hakika sasa chama kikongwe chama dola kimefanya mabadiliko na kurudisha safu, makada na itikadi iliyokuwa imefukiwa na mwenyekiti mwendazake (revered) hayati (late) John Pombe Joseph Magufuli...
  12. T

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama kikubwa lakini kimekosa viongozi wenye ushawishi

    Waswahili wanasema wasiwasi ndio akili. Leo nami nina wasiwasi mkubwa juu ya Chama changu. Naamini CCM ni chama kikubwa sana naweza kukifananisha na mbuyu, unaweza usikatwe na shoka lakini ikipatikana zana nzuri unakatwa. Nyakati za sasa wanaCCM wanaamini katika ukubwa wa chama kuliko uwezo wa...
  13. JamiiForums Tanzania Wilbroad Slaa: Sina chama tangu nilipojiuzulu Ukatibu Mkuu wa CHADEMA

    “Mimi sina chama chochote, naomba niiweke hii sawa tangu Septemba 1, 2015 nilipojiuzulu ukatibu mkuu wa Chadema, lakini niliweka wazi kuwa katika masuala ya kitaifa, nitatoa kauli yangu, nitafanya hivyo bila uwonga wowote,” Balozi Dkt. Wilbroad Slaa, amesema hayo katika Kongamano la...
  14. J

    JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA waliobambikiwa kesi ya kuchoma moto ofisi ya chama Arusha wafutiwa kesi

    ..fuatilia hapa chini
  15. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wakuu wa Chadema wanakifanya chama chao kuwa irrelevant kila siku

    Ndo ukweli wa wazi pamoja na Chadema kuwa na wafuasi wengi mashinani lakini wanaangushwa sana na viongozi wa juu wa Chama hicho. Mbowe ana maono makubwa na Chama ila kufungwa kwake kumesababisha amekuta ungozi wa juu wa Chama umetekwa na wanaharakati wasiokuwa na ajenda. Ajenda za Chama...
  16. JamiiForums Tanzania Rais asiwe Mwenyekiti wa chama ili kuleta Ushindani wa Haki wa kisiasa

    Ni muhimu kuwepo sheria ya uchaguzi ambayo itakataza Rais wa nchi ya Tanzania asiwe Mwenyekiti wa chama chochote Cha siasa wakati anagombea na wakati akiwa madarakani. Hii itasaidia Rais kujiweka asilimia Mia moja kwenye Mambo ya serikali na sio chama. Pia itamsaidia Rais kutokupendelea chama...
  17. JamiiForums Tanzania Chama wa Simba SC ameitwa Timu ya Taifa ya Zambia; Je, akina Mayele na Bangala nao wameitwa Timu ya Taifa ya Congo DR?

    Kuna Mkongo mmoja Rafiki yangu mno aliwahi kuniambia kuwa kwa Vipaji vilivyopo Kwako Congo DR hata wakihitajika Wachezaji 100 wa Kuunda Timu yao ya Taifa bado akina Mayele na Bangala hawatoweza Kuitwa labda kidogo atakayebahatika Kuitwa ni Beki wa Simba SC, Henock Inonga Baka kwakuwa ana Akili...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar inahitaji chama kingine kushinda Uchaguzi

    Kutokana na matendo na Mkanyanganyiko wa viongozi wake, ACT-Wazalendo imeshaonekana kama chama mamluki. Kutokana na imani ya Wazanzibari, haiwezekani kukiunga mkono trna ACT. Zitto Kabwe hivi karibuni alitamka kwenye vyombo vya habari kwamba ACT inahitaji Tume Huru na siyo Katiba mpya. Hapa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ni nani anapaswa kujitathimini Kati ya Jeshi la Polisi na Chama cha Mapinduzi?

    Binadamu tumeweka siasa Mbele maisha ya watu na utu wao nyuma. Katika kipindi chote ambacho matendo maovu ya Jeshi la Polisi yanafanyika hakuna aliyewahi kusikia Chama cha Mapinduzi wakikemea. Tumesikia namna mwanachama wa CCM Bwana Sabaya alivyokuwa anakamata walinz wake nakuwapiga Kisha...
  20. JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA warudishwa kwenye mstari baada ya kifinyo kikali

    Licha ya awali kuwa na msimamo tofauti, vyama vya Chadema na NCCR-Mageuzi vilivyoweka msimamo wa kutokushiriki mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) vimetengua msimamo huo sasa vitashiriki. Mkutano huo wa maridhiano ya umoja wa kitaifa, ukiwamo Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 unatarajiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…