chama cha siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, FIFA inakataza chama cha siasa kuwa na timu ya mpira wa miguu?

    Hebu wananzengo tuongezeane uelewa kwenye nyanja ya football: Je, kuna kifungu kwenye katiba ya FIFA, CAF, CECAFA au TFF kinachokataza chama cha siasa kumiliki timu ya mpira wa miguu? Je, FIFA inakataza chama cha siasa kusaidia kifedha au usajili timu ya mpira wa miguu? je, FIFA na TFF katiba...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Taja chama cha siasa duniani ambacho hakina aibu na kinafanya siasa za kitoto Karne hii ambayo watu wanaelimu kubwa ya uraia, angalizo usitukane ,

    Wakuu Leo taja Tu jina la chama cha siasa ambacho kiko popote duniani kinachoongoza nchi kwa akili za kitoto wakati kinaowaongoza wanaufahamu mkubwa kwa mambo kuliko kawaida, Taja Tu chama wala usitukane , taja chama na nchi kinayopatikana
  3. JamiiForums Tanzania Katiba ijayo isiruhusu mwenyekiti/ kiongozi mkuu wa chama cha siasa kuwania nafasi ya uraisi ili kuleta mizania katika uongozi wa Taifa

    Katika muktadha wa uongozi wa Taifa letu la Tanzania, kumekuwepo na mijadala mingi kuhusu namna bora ya kuhakikisha uongozi unaendeshwa kwa misingi ya uwazi, demokrasia, na uwajibikaji. Miongoni mwa hoja zenye uzito mkubwa ni ile ya kutenganisha madaraka ya chama na dola. Nikiwa Mtanzania...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Bilionea wa Dunia Elon Musk anataka kuanzisha Chama Cha Siasa kama ilivyo Chaumma?

    Elon Musk alitishia kuanzisha Chama Cha Siasa endapo muswada wa BBB utakaoongeza gharama za maisha utapitishwa na Bunge Je Unadhani kuna Siku Rostam Aziz anaweza kuanzisha Chama Cha Siasa? Nawatakia Sabato njema ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ™ === Elon Musk has started multiple successful companies that have...
  5. JamiiForums Tanzania Uwekezaji kupitia chama cha Siasa

    Habari Tanzania ! Hivi vyama vya siasa wana haki ya kuanzisha miradi ya kiuchumi - jamii kama chanzo cha mapato kwa lengo la kujiendesha? Natamani tuwapime kwa Uwekezaji ndani ya vyama vyao ndio sisi wananchi tuwe tunawapima uwezo wao kujiendesha na uwezo wa kiuongozi. Asante.
  6. JamiiForums Tanzania Kifo cha mende kwa chama cha siasa

    "Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali kuhusu mienendo ya vyama vya siasa, chama cha siasa hufikia mwisho wa uhai wake, 'kifo cha mende' si kwa kupigwa marufuku rasmi au kushindwa kwenye sanduku la kura, bali kinapopotoka kimaadili na kisera kwa kujikita katika ulaghai na siasa za porojo. Dalili kuu...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Shibuda ajibu madai ya kuwa alinunua chama cha Siasa kama Member wa JF alivyosema

    Baada ya andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com lililokuwa na kichwa cha Habari ~ John Shibuda alinunua chama cha Siasa cha Oscer Kambona kisha akakiuza Unguja kwa Wapemba, kwenye Siasa lolote linawezekana Mbowe siyo wa kwanza! Shibuda mwenyewe Amejibu kuhusu andiko hilo kwa kuandika haya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ushawishi wa chama cha siasa unaanzia kwenye mitandao ya kijamii, CHADEMA imefanikiwa pakubwa katika hili

    Katika zama hizi za dunia kiganjani hata yule mtu aliyekijijini kwanza anataka kujua kipi kinaendelea mitandaoni. Kupitia mitandao ya kijamii chama cha siasa kina uwezo wa kupata uungwaji mkono wa hali ya juu kwa kila rika, yaani vijana , wazee, watoto n.k. Kwa zama hizi kiongozi au chama cha...
  9. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Chadema hivi sasa Lowasa alishawahi kukizungumzia

    "Lengo la chama ni kushika dola, uharakati chadema imeshavuka" https://www.youtube.com/watch?v=_tDosLdMiAM
  10. A

    JamiiForums Tanzania Adui wa CHADEMA hivi sasa ni G-55 na CHAUMMA

    Viongozi na wanachama wa CHADEMA kila ukiwasikiliza kwenye mitandao na mikutano ya kisiasa ni lazima wataje CHAUMA ua G55. Niwaambie CHADEMA adui wenu ni CCM chama kilicho na dola. Kinyume na hapo hamtaweza kukiondoa madarakani CCM kwa sera mbovu na mikakati mibovu mliyonayo. Kelele nyingi...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha Siasa Kuongoza Chama na Serikali: Hatari na Mabadiliko Yanayohitajika kuelekea 2030

    Katika mazingira ya kisiasa ya sasa, ni muhimu kutambua kwamba chama cha siasa kinapokuwa na nguvu kubwa katika kuendesha serikali, kuna hatari kubwa inayoweza kutokea. Muundo wa chama na muundo wa serikali unapaswa kuwa tofauti ili kuhakikisha kwamba kila moja inafanya kazi kwa ufanisi bila...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania walioumia wakati wakileta fujo Kisutu jana wanaendeleaje?

    Upendo na huruma imenijaa kama mTanzania walau kujua maendeleo ya afya zao baada ya masaibu waliyokumbana nayo jana. Hata hivyo, je, wale ni wanachadema kweli au ni kikundi cha vibaka tu na wezi waliokusudia kupora watu maeneo ya mahakamani? Maana ukweli ni kwamba ukumbi wa mahakama ya kisutu...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Hakuna Chama cha siasa nchini kinachohamasisha vurugu, viongozi wa dini wasipayuke bila utafiti

    Sheikh Ponda Issa Ponda amesema hakuna chama cha siasa nchini Tanzania kinachohamasisha vurugu, bali zinaakisi uwepo wa tatizo fulani. Ameeleza kuwa mtu mwenye busara anapobaini dalili za vurugu, anatakiwa kutafuta chanzo cha tatizo hilo ili kusaidia kulitafutia suluhisho. Kupata matukio na...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Emmanuel Nchimbi: Msiwalazimishe CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RPC Simiyu tueleze je, PGO inaruhusu Magari ya Polisi kushiriki kusaidia shughuli za chama cha siasa?

    AIBU YA CCM SIMIYU LEO TAR 22.0 JESHI LA POLICE LA SHIRIKI KUSOMBA WAJUMBE WA CCM KWENDA KWENYE MKUTANO WA MAKALA BARIADI.!!!* Na Mzee madiba Simiyu -bariadi. Leo tar 22.03.2025 mkoani Simiyu Kuna kitu walichokiita sherehe za miaka minne ya Samia. Hii ni issue iliyoandaliwa na Mkuu wa mkoa...
  16. JamiiForums Tanzania Nitakapokuwa na Umri wa miaka 62 nitawasilisha maombi ya kuanzisha Chama Cha Siasa, hiki kitakuwa chama tanzu kupunguza mapungufu ya CCM

    Ndugu wanajukwaa, nawasalimu kwa jina la Mungu baba muumba wa Dunia na Tanzania yetu na wake. Napenda kuwashirikisha kuwa inshallah katika umri wa miaka 62 ninampango wa kuanzisha chama tanzu kupunguza mapungufu ya CCM. Basi na ikawe heri nawatakia maisha marefu sote tushiriki kuyaishi yote...
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna chama cha siasa makini cha upinzani nchini kinaweza kuthubu kukubali wito kuungana na chama tapeli na kibaka wa demokrasia

    Yaani anataka vyama vya upinzani kuungana ili kuomba pesa nyingi zaid kwa wananchi wanaoitwa maskini? Yaani vyama vya siasa vya upinzani viache malengo yao wafuate ulaghai wa huyo mpiga makelele mwenye chuki na uhasama na viongozi na baadhi ya wanachama wa chama chake mwenyewe, inawezekana...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ilani ya chama cha siasa itakayokosa haya ipigwe chini

    UTANGULIZI: Mwaka huu 2025, Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge wake. Ni muda muafaka kwa vyama vya siasa kujinadi na sera zitakazoleta Maendeleo kwa Taifa letu ndani ya miaka mitano ijayo. Hata hivyo, kwa kuchambua vipaumbele vya ILANI zilizopita, na hasa vya Chama Tawala (CCM)...
  19. JamiiForums Tanzania Usiegemeze maisha yako kwenye Chama cha siasa

    Wadau! Kama kichwa cha huu uzi kinavyosomeka hapo juu. Swali la kujiuliza ๐Ÿค” Kwa nini binadamu aliyeifanyia makubwa Chadema, aliyejenga wasifu wa kipekee na uliotukuka kwenye siasa za upinzani na kupigania demokrasia Tanzania, Freeman Aikaeli Mbowe, jana alfajiri aliangushwa aliyekuwa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

    Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ