chama cha siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ombi maalumu kwa Dk Wilbrod Slaa: Anzisha chama cha siasa ili kiwe chama cha Upinzani

    Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema. Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm. Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili...
  2. Bowie

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Askofu Gwajima aanzishe Chama cha Siasa

    Ni wazi kabisa kwa Askofu Gwajima anatakiwa aanzishe chama cha siasa badala ya kujifanya anahubiri dini. Hii ni wiki ya 3 mfulilizo kwa huyu Mbunge wa CCM anatoa kauli ya kupingana na Mwenyekiti kiti wa CCM na jopo la wataalamu katika masuala ya chanjo ya Covid 19. Inavyoonekana Askofu...
  3. MSHINO

    JamiiForums Tanzania Fursa: Muda wa kuanzisha chama cha siasa ni sasa

    Wana jamii kama kuna kipindi kizuri cha kuanzisha chama cha kisiasa na kupata wafuasi ni sasa, kwa sababu zifuatazo;- Kuna tofauti ndani ya chama Tawala na ndani ya vyama vya upinzani; CDM, CUF na ACT si shwari, ndani ya CCM kuna msuguano mkali wapo wanaopenda kuona mabadiliko km alivyoanza...
Back
Top Bottom