chama cha mapinduzi

  1. Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

    Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma. Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu...
  2. Kumlaumu Dkt. Ayub Rioba kutoibadilisha TBC ukijua TBC ni CCM B ni kutaka kutuonyesha chuki zako dhidi yake

    Kama Tido Mhando aliyekuwa Mweledi kabisa akitokea BBC alishindwa Kuibadilisha TBC hadi kuondoka / kuondolewa leo hii unataka kabisa Dkt. Rioba ambae nae hatofautiani sana Kiuweledi na Mzee Tido Dustan Mhando aibadili TBC iwe utakavyo Wewe wakati unajua fika kuwa TBC na CCM ni sawa sawa na Simba...
  3. PreGE2025 CHADEMA peke yake haiwezi kamwe kuitoa CCM madarakani...

    Kwanza hakuna mjadala kuwa CCM inatakiwa kutolewa madarakani kwa njia yoyote ile. Pia hakuna mjadala kuwa mpaka sasa hakuna jinsi nyingine ya kuwa na chama kingine nje ya CHADEMA cha kupambana na CCM. Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama bora cha siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini CCM...
  4. Ukituliza ubongo utagundua kuwa CCM ndiyo chama kinachofaa kuwepo madarakani

    Ukikaa kwa makini na kutuliza ubongo utagundua kuwa CCM n chama kinachofaa kuwepo madarakani hii ni kutokana na mambo haya yafuatayo: Elimu bure Siasa za uwazi Miundombinu imara (barabara) Huduma bora za maji hususani vijijini Umeme kila mahali, na mengine mengi Ukipinga uwe na hoja au sababu...
  5. CCM ina watu makini sana, ujanja mwingi akili kisoda

    Nimejitahidi kuangalia kwa kina mambo ya uchaguzi, mwenendo wa uchumi, pato la mtanzania, usalama wa nchi na upatikanaji wa chakula kumenifanya niandike huu uzi wenye tittle very complicated ila ndivyo ilivyotabia ya Chama chetu cha Mapinduzi ilikuendelea na huu uzi nitoe salaam. Zidumu fikra...
  6. J

    PreGE2025 Sumaye: Hakuna anayeweza kuongoza hii nchi zaidi ya Rais Samia

    Waziri mkuu Mstaafu na mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Kanda ya Mashariki amesema hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza nchi hii ya Tanzania zaidi ya Dr Samia Sumaye alikuwa anamueleza Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi --- WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amesema hakuna anayeweza kuongoza...
  7. Chama cha Mapinduzi ni kizuri kama nini! Tuone nini ni nini?

    Na Comrade Ally Maftah Kuna ule usemi kitu kikiwa kitamu unasema "KITAMU KAMA NIININI" nataka tujue niinih ni nini? NIININIH NI! 1. UTARATIBU WA VIKAO VYA KIKANUNI NA KIKATIBA Chama cha Mapinduzi kina utaratibu wa vikao mbalimbali, mambo yake yanajadiliwa kistaarabu na kwa usiri. 2. MATUMIZI...
  8. Mkutano wa makamu mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi Tanzania bar

    Makamu mwenyekiti mzee kinana anahutubia taifa kwenye mkutano mkubwa ulioandaliwa katika ukumbi wa CCM Watu wa kila kada Ni wengi Sana Tazama TBC ujione mwenye jins anavyo pqngua hoja za chademq
  9. Shemsa Mohammed: Kuwathamini Mabalozi ni Kukirudisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Wananchi

    Shemsa Mohammed: Kuwathamini Mabalozi ni Kukirudisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Wananchi MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed amesisitiza dhamira ya chama hicho chini ya Uongozi wa Mwenyekiti wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya...
  10. S

    Nikisema CCM na Serikali yake ni waongo nitakuwa nakosea?

    Ni Matumaini yangu wote mko salama Nasikitika kwamba Serikali ya Chama cha mapinduzi Ni waongo Sana Na Chama chenyewe ni Chama cha hila. Bahati nzuri Mimi sina maneno mengi Sana Naenda moja Kwa moja Kwenye point kuthibitisha uongo wa Chama change cha Mbogamboga. Nikiwa mdogo nilikuta Bicon za...
  11. Nichukue nafasi hii kuwakaribisha CCM

    Nichukue Nafasi Hii Kuwakaribisha Wananchi Walio Ndani na Nje Ya Nchi, Kuendelea Kujiunga Na Chama Cha Mapinduzi Kuna Faida Kuwa Chama Cha Mapinduzi… Miongoni Mwa Faida Hizo, Ni; Kukujenga Kuwa Na Uwezo wa Kujiamini Kukusaidia Kuongeza Ujuzi wa Akili na Vitendo, Kuhusu Mambo Mbalimbali...
  12. Miongoni mwa kitu Mwenyezi Mungu amenilaani na hatanisamehe ni kuwa Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi

    Nimeamua kuwa mkweli na kusema ukweli ulio moyoni mwangu!
  13. Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Kibali Cha Kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi

    Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Kibali Cha Kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi
  14. Waziri Mhagama Ateta na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma

    Waziri Mhagama Ateta na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho ametembelea Ofisi za Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma na kukutana na Katibu wa Chama Mkoa Ndg. Mohamed ally. Waziri...
  15. PreGE2025 Waziri Mhagama: Wanambinga Mhalule Chagueni Viongozi Wawajibikaji

    Waziri Mhagama: Wanambinga Mhalule Chagueni Viongozi Wawajibikaji Serikali kupitia Halmashauri ya wilaya ya Songea Vijijini yaahidi kushughulikia na kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ardhi katika kitongoji cha Msiri na Hifadhi ya Maliasili kilichopo katika kijiji cha Nakahengwa. Kauli hiyo ameitoa...
  16. Hii CCM inayofanya maongezi na balozi wa marekani bado ni Chama cha Mapinduzi?

    Kwa kawaida mabalozi hawaingilii mambo ya ndani ya nchi wanapowakilisha. Bila shaka ndio taratibu. Mambo ya vyama vya siasa ni mambo ya ndani ya nchi husika. Lakinini utasikia balozi wa marekani kukutana na kiongozi wa upinzani kwenye nchi anawakilisha hasa hizi za kiafrika zenye msimamo wa...
  17. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi fuatilia utendaji kazi wa Katibu wa CCM wilaya ya Hai, Kilimanjaro

    Kichwa cha habari kinajieleza. Nina mshauri Kwa moyo mkujufu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi , afuatilie utendaji kazi wa Katibu wa CCMwilaya ya Hai, huko Kilimanjaro. "Utakuja kunikumbuka" Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi, ukimkuta...
  18. N

    Chama cha mapinduzi kisitoe haki kwa vyombo vingine vya habari hasa online tv kurusha exclusive news kuhusiana na ziara za mwenezi

    Story kuhusu ziara za mheshimiwa mwenezi imekuwa bidhaa inayofatiliwa sana kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii. Ushauri wangu Chama cha mapinduzi kisitoe haki kwa vyombo vingine vya habari hasa online tv kurusha exclusive news kuhusiana na ziara za mwenezi,badala yake hizi...
  19. PreGE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa imemteua Ndg. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nchimbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo ambaye alijiuzulu. Katibu Mkuu Dkt. Nchimbi ametanguliza shukrani zake za dhati kwa Mwenyekiti wa...
  20. Utaasisi wa Chama Cha Mapinduzi katika Kuisimamia Serikali katika Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi.

    UTAASISI WA CHAMA CHA MAPINDUZI KATIKA KUISIMAMIA SERIKALI KATIKA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI Nyandi Raphael Jr. K/UVCCM [M]SHINYANGA 0718695061 November 26,2023. CHAMA CHA MAPINDUZI ni Miungoni mwa Vyama Vikongwe vya Ukombozi wa Ukoloni Nchini na Africa. Haina Mashaka katika Uhiriki wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…