chama cha mapinduzi

  1. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ninachokiona kwenye jimbo la Tarime vijijini, Mwita Waitara anza kufunga virago

    Ninachowakubalia Wakurya ni wananchi wasema ukweli ni wawazi. Hakuna kabila lenye upendo kama Wakurya na wachache tunawaelewa vibaya. Ni wananchi waungwana sana. Ninachokiona kwenye Jimbo la Tarime Vijijini ni vema Mhe. Waitara anze kufunga virago. Wamemueleza waziwazi mbele yake kuwa...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Bandari Dar waduwaza viongozi UVCCM

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Saklaam UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umetembelea maeneo ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam uliofanywa na kampuni ya DP World na kusema uwekezaji huo umeleta mabadiliko makubwa ya kiutendaji na ufanisi mkubwa bandarini hapo kwa maendeleo na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nini kitatokea ikiwa chama kimojawapo cha Upinzani kitakuwa na fedha za kampeni sawa na walizonazo CCM?

    Sijui kama wachambuzi wa siasa na chaguzi zetu wameangazia vya kutosha suala la FEDHA na RASILIMALI wanazokuwa nazo CCM wakati wa kampeni. Vyama vya Upinzani siku zote vimekuwa vikifanya kampeni kwa kuunga-unga na kuzidiwa kwa kiwango kikubwa na CCM. Sasa sijui mazingira hayo yanachangia kwa...
  4. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Ujuzi wa chama cha mapinduzi {CCM} kwenye ukingo wa siasa

    Ni jambo la kawaida sana wanasiasa haswa wa hapa kwetu Tanzania kuhama chama A kwenda B na kadhalika. Lakini jambo la kujiuliza ni nyakati na namna muhusika anavyoenda kwenye chama husika. Yapo maswali ya kujiuliza kuhusu aina ya wanasiasa hawa na namna watanzania tunavyopumbazwa na watu...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Spika wa bunge, ya chama cha mapinduzi CCM, na ya tume huru ya taifa ya uchaguzi zinasubiriwa kwa hamu na watanzania

    kwa wakati huu, shauku, bashasha, macho na maskio ya miongoni mwa wadau wa siasa, harakati na demakrasia nchini Tanzania, yameelekezwa zaidi katika kujua, kuelewa na kufahamu matokeo ya hatua muafaka ambazo taasisi imara sana za umma zimechukua dhidi ya vielelezo vya uthibitisho vilivyoibuliwa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Je, wazee kutaka haki itendeke kwa Luhaga Mpina na Hussein Bashe kuepuka kukigawa chama?

    Kuna kila Dalili Mh Mpina wanataka kumuumiza ili kuzima hoja zake. Wanataka tumia hoja yakutoa jalada kwa wananchi wakati aliagizwa na spika. Hoja hii haina mashiko kwa sababu Mh Mpina bungeni anawajibika kwa kiti ila pia anawajibika kwa wananchi hivyo kutoa hoja zake nje ya bunge sio sababu...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

    Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma. Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumlaumu Dkt. Ayub Rioba kutoibadilisha TBC ukijua TBC ni CCM B ni kutaka kutuonyesha chuki zako dhidi yake

    Kama Tido Mhando aliyekuwa Mweledi kabisa akitokea BBC alishindwa Kuibadilisha TBC hadi kuondoka / kuondolewa leo hii unataka kabisa Dkt. Rioba ambae nae hatofautiani sana Kiuweledi na Mzee Tido Dustan Mhando aibadili TBC iwe utakavyo Wewe wakati unajua fika kuwa TBC na CCM ni sawa sawa na Simba...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA peke yake haiwezi kamwe kuitoa CCM madarakani...

    Kwanza hakuna mjadala kuwa CCM inatakiwa kutolewa madarakani kwa njia yoyote ile. Pia hakuna mjadala kuwa mpaka sasa hakuna jinsi nyingine ya kuwa na chama kingine nje ya CHADEMA cha kupambana na CCM. Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama bora cha siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini CCM...
  10. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Ukituliza ubongo utagundua kuwa CCM ndiyo chama kinachofaa kuwepo madarakani

    Ukikaa kwa makini na kutuliza ubongo utagundua kuwa CCM n chama kinachofaa kuwepo madarakani hii ni kutokana na mambo haya yafuatayo: Elimu bure Siasa za uwazi Miundombinu imara (barabara) Huduma bora za maji hususani vijijini Umeme kila mahali, na mengine mengi Ukipinga uwe na hoja au sababu...
  11. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania CCM ina watu makini sana, ujanja mwingi akili kisoda

    Nimejitahidi kuangalia kwa kina mambo ya uchaguzi, mwenendo wa uchumi, pato la mtanzania, usalama wa nchi na upatikanaji wa chakula kumenifanya niandike huu uzi wenye tittle very complicated ila ndivyo ilivyotabia ya Chama chetu cha Mapinduzi ilikuendelea na huu uzi nitoe salaam. Zidumu fikra...
  12. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sumaye: Hakuna anayeweza kuongoza hii nchi zaidi ya Rais Samia

    Waziri mkuu Mstaafu na mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Kanda ya Mashariki amesema hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza nchi hii ya Tanzania zaidi ya Dr Samia Sumaye alikuwa anamueleza Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi --- WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amesema hakuna anayeweza kuongoza...
  13. Comrade Ally Maftah

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi ni kizuri kama nini! Tuone nini ni nini?

    Na Comrade Ally Maftah Kuna ule usemi kitu kikiwa kitamu unasema "KITAMU KAMA NIININI" nataka tujue niinih ni nini? NIININIH NI! 1. UTARATIBU WA VIKAO VYA KIKANUNI NA KIKATIBA Chama cha Mapinduzi kina utaratibu wa vikao mbalimbali, mambo yake yanajadiliwa kistaarabu na kwa usiri. 2. MATUMIZI...
  14. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa makamu mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi Tanzania bar

    Makamu mwenyekiti mzee kinana anahutubia taifa kwenye mkutano mkubwa ulioandaliwa katika ukumbi wa CCM Watu wa kila kada Ni wengi Sana Tazama TBC ujione mwenye jins anavyo pqngua hoja za chademq
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed: Kuwathamini Mabalozi ni Kukirudisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Wananchi

    Shemsa Mohammed: Kuwathamini Mabalozi ni Kukirudisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Wananchi MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed amesisitiza dhamira ya chama hicho chini ya Uongozi wa Mwenyekiti wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nikisema CCM na Serikali yake ni waongo nitakuwa nakosea?

    Ni Matumaini yangu wote mko salama Nasikitika kwamba Serikali ya Chama cha mapinduzi Ni waongo Sana Na Chama chenyewe ni Chama cha hila. Bahati nzuri Mimi sina maneno mengi Sana Naenda moja Kwa moja Kwenye point kuthibitisha uongo wa Chama change cha Mbogamboga. Nikiwa mdogo nilikuta Bicon za...
  17. Janeth Thomson Mwambije

    JamiiForums Tanzania Nichukue nafasi hii kuwakaribisha CCM

    Nichukue Nafasi Hii Kuwakaribisha Wananchi Walio Ndani na Nje Ya Nchi, Kuendelea Kujiunga Na Chama Cha Mapinduzi Kuna Faida Kuwa Chama Cha Mapinduzi… Miongoni Mwa Faida Hizo, Ni; Kukujenga Kuwa Na Uwezo wa Kujiamini Kukusaidia Kuongeza Ujuzi wa Akili na Vitendo, Kuhusu Mambo Mbalimbali...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Miongoni mwa kitu Mwenyezi Mungu amenilaani na hatanisamehe ni kuwa Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi

    Nimeamua kuwa mkweli na kusema ukweli ulio moyoni mwangu!
  19. Janeth Thomson Mwambije

    JamiiForums Tanzania Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Kibali Cha Kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi

    Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Kibali Cha Kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Ateta na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma

    Waziri Mhagama Ateta na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho ametembelea Ofisi za Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma na kukutana na Katibu wa Chama Mkoa Ndg. Mohamed ally. Waziri...
Back
Top Bottom