chama cha mapinduzi

  1. Rais Samia na Emmanuel Nchimbi wanaiendesha CCM kisayansi na kimkakati zaidi pengine kuliko wakati mwingine wowote tangu kuanzishwa kwake

    Ukiachilia mbali vikao maalumu vya kimkakati kidigitali ambavyo hufanyika mara kwa mara nchini kote, mipango mingi muhimu na mikubwa zaidi ndani ya ccm hufanyika pia kianalojia kulingana na mazingira ya eneo husika kwa lengo la kukiimarisha, kukiboresha na kukisogeza karibu zaidi na wanachama na...
  2. Channel Ten na miaka 49 ya Chama cha Mapinduzi

    https://youtu.be/nVH5swbaWcY
  3. Amani, Umoja na Utulivu miongoni mwa waTanzania ni matokeo ya uimara na umadhubuti wa Chama Cha Mapinduzi na serikali yake sikivu

    Licha ya porojo, uongo na uzushi dhidi ya Tanzania kama taifa, serikali sikivu ya CCM imesalia kua madhubuti zaidi katika kuhakikisha kwamba uongo, uzushi na porojo za chuki zinazozalishwa, zinazochakatwa na kusamabazwa kwenye mitandao ya kijamii na mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya...
  4. Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    https://youtu.be/nVH5swbaWcY?si=dQIHSpvr8AhjE2IU
  5. Chama cha Mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia Disemba 2025 hadi February 2026

    Chama cha mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia disemba 2025 mpaka February 2026 Mbunge Jenista Mhagama alifariki 11 Disemba 2025 Mbunge Halima Nassor alifariki 18 January 2026. Munde Tambwe alifariki tarehe 3 February 2026 Pole ziende kwa rais na chama chake.
  6. The 19 Goals and Objectives of Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) is Tanzania’s ruling political party, founded on the principles of nationalism, unity, social justice, and democratic governance. Its goals and objectives reflect the historical struggles of Tanzania and its vision for a just, prosperous, and united nation. The...
  7. Ukisikia habari ya Kambona, ukimuangalia Warioba, ukiona walivyofanyiwa na Chama cha Mapinduzi na Serikali zake utaelewa kwanini Tanzania ni masikini

    Mkwamo wa Tanzania tangu kuanzishwa kwake umetokana na sababu kuu mbili. 1. Kuwapa kipaumbele zaidi wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili. 2. Rushwa na Ubinafsi. Kuhusu kuwapa kipaumbele wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili. Kabla ya kifo chake. Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu...
  8. Naomba kuandamana kupinga furaha za watanzania wanapofariki viongozi kutoka CCM

    Badala ya kutoa taarifa, sasa Jeshi la Polisi mmejipa mamlaka ya kuombwa ruhusa ya kuandamana. Haya, mimi Sifi Leo sifurahishwi na raha na furaha wanayokuwa nayo vijana wa Kitanzania pale anapokufa kiongozi yeyote kutoka Chama Cha Mapinduzi. Hili ni doa kubwa mno katika taifa. Maandamano...
  9. Chama cha Mapinduzi, mnaogopa MAPINDUZI? Mnatuonaje watanzania?

    Nilitarajia chama hiki cha MAPINDUZI kutokuwa na mashaka na Mapinduzi kwani ndiyo asili ya chama hiki. Inakuwaje panic mode imekuwa activated kwa kiwango kikubwa namna hii? Mna povu sana kwa sasa, what went wrong with this “revolutionary” party?
  10. Kwaheri ccm kwaheri Chama Cha Mapinduzi

    Ukweli usemwe ccm imefikia mwisho. 1977-2025. Huwezi kushindana na wakati.
  11. Watu wote wenyeakili wanajua; Mipango yao ime fail, CCM inazidi kuwa imara, Kidumu Chama cha Mapinduzi (Jipangeni tena for 25 years)

    Watu wanaotumia mihemko wataendelea kupiga kelele. Lakini ukweli ni kwamba mipango yao waliyoisuka kwa miaka mingi imezimwa kama mshumaa. Wao wanapanga CCM inapanga. CCM imevuka vikwazo vingi mno, imepita kwenye milima na kwenye mabonde mazito. Imepenya majaribio mengi. Walitumia maafisa...
  12. Rais Samia aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dodoma, Jumatano, Novemba 5, 2025.
  13. Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kati ya vyama 10 vikubwa duniani - Fahari ya Tanzania na Afrika; Je, mnalijua hili?

    UTANGULIZI Je, unajua kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vya kisiasa vikubwa duniani? Wengi hawajui, lakini Chama cha Mapinduzi (CCM) chama tawala cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni miongoni mwa vyama vikubwa zaidi duniani kwa idadi ya wanachama. Hii ni heshima kubwa...
  14. Tamaa ya madaraka ya Chama cha Mapinduzi imeangamiza Vijana wetu

    GT Tamaa ya madaraka.ni kitu mbaya sana. Nawashangaa sana hawa wanaomwita Samia kuwa ni rais. Binafsi simtambui hadi mwisho wa dunia Unajua kwamba. 1. Lissu yupo gerezani kwa sababu watu hawataki kuuachia madaraka? 2. Wajua kwamba CHADEMA inateseka kisa watu hawataki kuachia madaraka? 3...
  15. GE2025 Dkt. Mwinyi kuleta mradi wa Big Z kuongeza maduka ya kisasa kwa wafanyabiashara Zanzibar

    Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuleta Mradi mkubwa wa Big Z ambao utahusisha ujenzi wa maduka ya kisasa pamoja na uimarishaji wa barabara katika maeneo ya Mjini Dkt Mwinyi ameeleza hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara...
  16. Tanzania mpya: Chama cha Mapinduzi (CCM) kifutiwe usajili Tanzania

    Tumefika hapa tulipo ni kwasababu ya CCM. Chama hichi kimeshapoteza misingi yake na dira, viongozi wanauana kwa sumu, utekaji na mauaji, ukandamizaji wa haki, ufisadi wa kufuru, yaani yale yaliopo kwenye kitabu cha msajili wa vyama kuhusu hichi chama yamekiukwa na inapaswa kufutiwa usajili pale...
  17. Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

    https://www.youtube.com/watch?v=W05IF22nAfI Kupitia YouTube, Kapteni Tesha anaanza kwa kusema.. "Habari za wakati huu watanzania Kwa majina naitwa K Tesha afisa kutoka jeshi la wananchi wa Tanzania katika kikosi [00:03] cha Saki kwa maana kwamba ni shule ya anga ya kijeshi Awali ya yote...
  18. Wanajeshi kutojihusisha na siasa ni pale wanapounga mkono vyama vya Upinzani? Mwanajeshi Mkufunzi kusema anakishukuru chama chake CCM ni sawa?

    Nimeona video inayomuonesha mkufunzi mmoja wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akizungumza mwaka 2024, ambapo anasikika akikipongeza chama chake, Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kile alichokiita “kazi nzuri,” na hata kumpongeza kiongozi wa chama hicho. Kauli kama hii mara chache...
  19. GE2025 Dkt. Mwinyi: Nitaifanya Tumbatu kuwa Wilaya

    Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewaahidi wananchi wa kisiwa cha Tumbatu katika miaka mitano ijayo atahakikisha anaifanya kisiwa hicho kuwa wilaya. Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza katika mkutano wa kampeni...
  20. GE2025 Dkt. Mwinyi aahidi kuongeza barabara na skuli za ghorofa pangawe - Zanzibar

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuimarisha miundombinu ya barabara na sekta ya elimu ili kuleta maendeleo makubwa Unguja na Pemba. Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Pangawe, Mkoa wa Mjini Magharibi, Dkt. Mwinyi amesema serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…