chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Diaspora yatangaza Dau la Tsh Milioni 10 kwa yeyote atakayewezesha kupatikana kwa Mdude Nyagali

    Taarifa yao waliyoisambaza kote Duniani hii hapa
  2. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa timu ya CCM mitandaoni ishapigwa tano bila na timu CHADEMA

    Fuatilia yanayoendelea mitandaoni kwenye uwanja wa siasa .. Timu inayowa support ccm na mamluki wake iko taaban bin hoi Hawana hoja zenye mantiki bali wamebaki na uzushi na vitu vya kufikirika na kutunga vilivyokosa uhalisia. Hawana maudhui ya kutengeneza yaliyo na weledi na maono bali ni...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Lissu akitoka gerezani atamkuta Heche kabaki peke yake kwenye Chama. Hapo ndipo watajua kuwa Mbowe alikuwa mwamba

    Sasa ndio mtajua kuwa Chadema ilijengwa na Mhe. Mbowe au Lissu. Gharika kubwa zaidi inakuja. hakuna atakaye salia, Katibu Mkuu, Kamati kuu, Bavicha, Bawacha, wazee wa CHADEMA wote watabwaga manyanga muda si mrefu. Atakaye enda gerezani kesho j.mosi 10/05/2025, asiache kumwambia ukweli chama...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa picha: Habari ya CHADEMA kufa haipo Mbowe na kundi lake watakuja kujilaumu mageuzi yatapowakuta wakiwa nje

    Hii ni huko Karagwe leo hii. Video ipo katika akaunti ya Hilder Newton kwenye mtandao wa X. Mbowe na viongozi wenzake, walifanya kazi kubwa kujienga CHADEMA, ila leo wanaigeuka wakiamini itakufa kitu ambacho hakipo. Nawapo pole sana kusaliti kazi ya mikono yao wenyewe kwa kushindwa kusoma...
  5. 4

    JamiiForums Tanzania Hongera CHADEMA na Watazania kwa ujumla, wahuni wamekimbia

    Wana wa Mungu JF ,Mungu mwema siku zote , niwasalim kila mmoja kwa imani yake. Mwanakondoo ameshinda. Rejea mada tajwa hapo juu Nachukua nafasi hii kukipongeza chama cha Chadema tz na watanzania wote wapenda haki. Leo hii wahuni waliokua wamejipachika kwenye chama wameona mziki sio kama...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ilipasuka katikati alipoondoka Dkt. Slaa na kuja Lowassa, hawa wanaoondoka sasa akiwemo Mbowe siyo maarufu kumzidi Slaa

    Chadema imewahi kugawanyika mara moja tu pale walipomtosa Dr Slaa na kumleta mzee Lowasa Unajua kwenye hizi siasa zetu za Tanganyika Mbowe hajawahi kufanya tukio lolote la kutikisa nchi kama vile Dr Slaa na Kagoda, Masoud wa Temeke na Panton, Lyatonga na Chavda, Zitto na Buzagwi, Kafulila na...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Wanaoondoka CHADEMA ni matokeo ya mabadiliko ya uongozi, si ubaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, John Heche amesema ndani ya chama hicho hakuna ubaguzi bali ni mabadiliko ya kawaida ya viongozi. Heche amesema hayo leo Alhamisi, Mei 8, 2025 mkoani Kagera katika mikutano ya operesheni ya No reforms, no election 'bila...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wale G55 wanaenda Chama kingine ili ionekane Chadema imekufa, sisi hatununuliki

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Kyerwa Mkoani Kagera leo Mei 07, 2025. "Leo mnaishi kwenye nchi ya asali na maziwa, watu wetu ni maskini, matibabu ni ya shida hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya ndio hiyo tunatembea - kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna mambo ya ajabu yanafanywa na viongozi wa Chadema chakavu

    Kiongozi wa Chadema chakavu, japo upo nje ya nchi unatoa dondoo, za fulani bin fulani wako mbioni kumshambulia, na genge fulani, katika maswala ya kikachero mambo ya aina hii, yanapobashiriwa, nathubutu kusema kuna mambo huyo mwota njozi anakuwa anayafahamu aidha yanakuwa yapo ndani ya genge...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Kushindana na CHADEMA ni kushindana na Wakati

    Nyerere aliwahi kusema "Ukiniuliza chama chenye sera Makini na watu Makini kuliko vyama vingine nitakuambia CHADEMA". Mwaka 2019 enzi za Mwendazake niliwahi kuandika uzi unaosema "Chadema itabaki kuwa Chadema" wengi hawakunielewa, kama utakuwa na muda pitia Uzi hapo chini. Tangu kuanzishwa...
  11. JamiiForums Tanzania G-55, Mandela, na Safari ya Kujisafisha Chadema: Tunakoelekea Ndiyo Tunakostahili Kuwa

    Kitendo cha kundi la G-55 kujiondoa ndani ya CHADEMA kimeniamsha fikra juu ya jambo la msingi sana kuhusu uhai wa vyama vya siasa—kuwa si kila msongamano ni mshikamano, na si kila idadi ni nguvu halisi. Nilijikuta nikikumbuka mwaka ambao CHADEMA, chini ya Katibu Mkuu wa wakati huo, Dkt. Wilbrod...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa mamluki ni faraja kubwa kwa CHADEMA. Zifanyike jitihada waondoke wote

    Siku zote, mamluki au wasaliti ndani ya taasisi yoyote ile ni ufa mbaya, na ni sumu kwa maendeleo ya taasisi hiyo. Bila shaka, waliofuatilia kikao cha Kigaila na wenzake, na wanahabari tarehe 7 May 2025, alisikia hoja za ajabu za watu hao. Watu hao waliongea uwongo mwingi kama vile hakuna watu...
  13. JamiiForums Tanzania Walioondoka Chadema ndiyo waliomkosesha Mbowe uongozi kwa awamu nyingine

    Kama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji zake muhimu? Wewe unaambiwa Kigaila mke wake alienda bungeni kwa njia haramu. Kigaila ni naibu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ambao kila mtu anauona uwe CCM au CHADEMA lakini anaumia kimyakimya

    Ni kitendo cha Wanzanzibar kujazana Serikalini. Niseme nimeshuhudia awamu zote za uongozi lakini hakuna awamu iliyojaza wazanzibar Serikalini kama hii, karibu kila ofisi kila idara utawakuta, na hawajifichi kutokana na lafuzi ya kiswahili Chao. Sibagui mtu inauma maana wamechukua ajira za...
  15. JamiiForums Tanzania Kumegeka kwa CHADEMA ni matokeo ya uongozi mpya kukosa maono, kukosa angenda za kuiunganisha na kukurupuka

    Sote ni mashuhuda kwamba tangu uongozi mpya kuchaguliwa, Chadema imekua ikiendeshwa kwa matamko na press conferences ambazo kimsingi nyingi zililenga kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi wa chama wasio na ajira, waliojificha nyuma ya kuomba kuchangiwa pesa kwaajili ya matumizi ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakufa kifo cha Mende - Nilijua tu

    Baada ya malalamiko ya waliojitoa CHADEMA (Viongozi waandamizi) niliunganisha dots za tabia ya Mheshimwa Tundu Lisu na kuona alikuwa hajaacha uanasheria mhivyo mtambuwe anachokiona mwanasheria kuwa kosa litabaki kuwa kosa na analoliona lipo right litabakia kuwa hivyo. No Reform no Election...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Kama viongozi waandamizi wa Chadema wamebaini kuwa Lissu na Henche hawafai kuwa viongozi wa Chama, wewe unasubiri nini?

    Chadema tayari imesha kufa KIFO CHA MENDE. Kama una macho, masikio na akili haina haja kuambiwa kila kitu. Kama Salum Mwalimu, Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge wameamua KUJITENGA NA LISSU NA HENCHE basi elewa kuwa huo ni USHAHIDI TOSHA kuwa LISSU na HENCHE HAWAFAI KABISA kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Enyi Vibaraka na Virusi wa CCM ondokeni wote Mapema Tuijenge Chadema Yetu upya

    GT Mara zote kwenye uongo ukweli hujitenga pia mafuta na maji havichangamani. Nachoshukuru hawa virusi na vibaraka wa CCM wataondoka mmoja baada ya mwingine hadi tuwajue wote Chini ya mwenuekiti wetu mpya Mheshimiwa Tundu Lissu Chadema inaenda kujengwa upya juu ya msingi imara. Tanzania...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salum Mwalim: Uchaguzi wa CHADEMA ulikuwa na uongo mwingi sana

    Aliye kuwa Naibu Katibu mkuu CHADEMA Salum Mwalim Baada ya kutangaza kukiacha chama chake cha CHADEMA amefunguka mengi huku akisema Uchaguzi wa CHADEMA ulikuwa na uongo mwingi sana, rafu zilikuwa nyingi na siasa chafu jambo ambalo lilotia doa sana. Soma Pia: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Waliohama CHADEMA tunawakaribisha CCM

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amewakaribisha kujiunga na CCM Wajumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA iliyomaliza muda wake ambao leo May 07,2025 wametangaza kuondoka CHADEMA akiwemo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…