chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Ushauri wa Bure Chadema: Moja shika sii Kumi nenda rudi! Hoja ya Reforms japo ni hoja ya msingi sana kufanya maandalizi ya Uchaguzi ni busara muhimu!

    Wanabodi, Declaration of Interest Mimi Pascal Mayalla,ni Mtanzania, mwana jf na ni mwanachama wa chama cha siasa na sio Chadema, ila kwa vile Chadema inagharimiwa kwa fedha zangu,paid by taxpayers money,hivyo the taxpayers have all the rights and powers kujadili jambo lolote la Chadema over...
  2. PreGE2025 CHADEMA jiandaeni, G55 imekuja kutoa changamoto ya uhuru na demokrasia ndani ya chama

    Kwa kifupi sana G55 imekuja kuchallange uhuru na demokrasia ndani ya CHADEMA rasmi sasa tunaenda kuona mliyokua mkiyahubiri hadharani. Je mtawachukulia kama waasi kwa kuwa tofauti na mawazo na msimamo wa chama?? Je uhuru wa mtu kuchagua na kuchaguliwa ndani ya chadema ukoje mpaka sasa?? Nguvu...
  3. PreGE2025 Chadema wasiifanye 'no reforms no election ' kuwa ni ajenda ya kitaifa, hiyo ni agenda yao ya chama kama vile ilivyo M4C

    Friends and Our Enemies, Kwa kinachoendelea hivi sasa ndani ya CHADEMA ni kitu ambacho kilionelana tokea mwanzo kabisa kuwa kinakuja kutokea,nacho ni MPASUKO... Hatuwezi kufurahia MPASUKO huo ndani ya CHADEMA,lakini ni SUALA lisilojificha TENA. Bad Lucky or Good lucky hii ni nchi ya...
  4. Mimi ningekuwa G55 maamuzi ambayo ningefanya ni haya ili kuhakikisha haki na ustawi wa Chadema na nchi unapatikana.

    Ningeanza na kurudisha hela nilizokula hata Kama zimebaki chache . Baada ya hapo ningekimbilia nje ya nchi. Ahsante
  5. PreGE2025 Nani anatoa pesa za kulipia ukumbi wa mkutano wa G55 na tukio kurushwa mubashara, CCM?

    Wakuu, CHADEMA kunafuka moshi, panatotoka, mvua inanyesha tunaona panapovuja. Lissu alipokuja waliona jamaa anatania na hoja zake, sasa wameona mwamba kashikilia msimamo wamekuwa kama wameamshwa kutoka usingizini, hawaelewi nini kinatokea, nyufa zinaanza kuonekana. Ukiangalia wote hao ni timu...
  6. PreGE2025 Mrema: Kauli za Lissu na Lema zinaleta hofu ya kujieleza CHADEMA

    “Pamoja na kupokea wito wa kushiriki mkutano huo maalum, sisi -wagombea ubunge wa 2020 na watiania wa ubunge wa 2025 – tumeona kuna viashiria vya kutopewa au kutopata nafasi ya kutosha kusikilizwa katika mkutano huo maalum, na kwa hiyo, tumeamua kukuandikia Waraka huu, kwasababu zifuatazo...
  7. Video: Kundi la Wanachama wa Chadema la G 55 'Stronger together'

    Kundi la Wanachama wa Chadema la G 55 kwaajili ya kuweka mambo sawa ambayo yanapotoshwa mitandaoni kuhusu muelekeo wa chama chao. Wamesema lengo la kundi lao nikuweka umoja wao pamoja na kushauriana baadhi ya mambo kuhusu uchaguzi Mkuu na jinsi wanavyoweza kujiandaa na uchaguzi huo.
  8. PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Tabora akana kuhusishwa na G-55 'sikuwahi kuweka saini kwenye waraka huo'

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tabora, James Kabepele, amekanusha kuhusika na waraka wa vuguvugu la G55 linalodaiwa kupinga kampeni ya No Reforms No Election, akisisitiza kuwa hakuwahi kuweka saini kwenye waraka huo wala kuonesha nia ya kugombea jimbo lolote...
  9. M

    G55. Ni kundi hatarishi kwa Chadema, Ni kundi la Mbowe? Kama ndivyo, Mbowe alikuwa pandikizi maalumu ndani ya Chadema?

    Chadema, inahitaji kuponywa, tokea uchaguzi wake kumpata Mwenyekiti wake, mpaka sasa, kuna majeraha bado, ni kazi ya uongozi sasa kuwakutanisha uongozi uliopita ili kuteta na kuondoa tofauti zilizopo Siamini ninachokiona ndani ya Chadema, Ifahamike, sina ufahamu wala uhakika juu ya niliyetaja...
  10. Je, G55 ndio Wale Nyoka ndani ya CHADEMA?

    Habari za Jumapili! Kila chama kina watu ndumilakuwili,snitch, Wasaliti na Nyoka. Kijasusi Tofauti kubwa ya Nyoka na Panya ipo kwenye kujificha na kujihami. Nyoka anaweza kuingia katika Nyumba yako akakaa hata Miaka mitano Mpaka akawa chatu au Nyoka Mkubwa na wewe usijue kuwa ndani ya nyumba...
  11. Viongozi wakuu wa CHADEMA msikubali kugawanyika kimsimamo juu ya uchaguzi mkuu 2025

    Salaam wakuu, Imenibidi niingie uringoni kutoa mawazo yangu kuhusu harakati za uchaguzi mkuu ulioko mbele yetu. Binafsi naamini hakuna jambo zuri lisilokuwa na upinzani. Binafsi naamini hoja ya NO REFORMS NO ELECTION imepitia vikao na ngazi zote za chama na kuangalia mazuri na mabaya yake na...
  12. G55 CHADEMA Ni Wazi kuwa ni Mizizi wa Historia Toka CCM..Je kwa CDM ni Mustakabali wa Demokrasia au Ni chanzo cha Mgawanyiko Ndani ya Chama Hicho?

    Wiki hii, tulichangamshwa na habari juu ya kuibuka kwa kundi jipya linalojiita G55 ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini, CHADEMA. Kutambulishwa rasmi kwa kundi hili kulitanguliwa na kuvuja kwa mawasiliano ya kundi la WhatsApp linalojiita G55. Mawasiliano haya yalivuja wakati uongozi wa...
  13. Ni nani mshauri wa Chadema kwa sasa, nimekumbuka sana enzi za kina Prof. Baregu?

    Mtu yeyote anayewahubiria watu kuwa hakutakuwa na uchaguzi, huyo mtu ni tapeli. Ni kwamba uchaguzi utakuwepo Watu wataamka wataenda kupiga kura na matokeo yatatangazwa. Na maisha yataendelea. Ushauri wangu Chadema washiriki uchaguzi kwenye mazingira hayo hayo na matendo yatakayotokea ndio yawe...
  14. Chadema: Makosa ya Kisayansi ,kufanya uchaguzi wa ndani,badala ya kujiandaa kwa uchaguzi mkuu, kinachosababisha Changamoto Kubwa kwa Chama

    Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ni muhimu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutazama kwa makini makosa yaliyofanywa ambayo yanaweza kupelekea chama kusambaratika au hata kufa kabisa. Hapa, nitajaribu kubainisha makosa hayo na kutoa mapendekezo ya marekebisho...
  15. PreGE2025 Wanaojiita G55 wasiondolewe CHADEMA, bali waitwe waulizwe kwamba tunawezaje kushiriki Uchaguzi kwa Mfumo huu na Tukapata Haki

    Pamoja na kwamba bado sijaelewa hasa Malengo ya Watu hawa ambao wengi walikuwa viongozi wa Juu wa Chama, lakini sitaki kuwasingizia lolote, na ndio maana napendekeza Waitwe ili watupe siri ambayo kama tutaingia kwenye uchaguzi kwa hali hii tutatendewa haki. Wengi wa watu hawa kama siyo wote...
  16. A

    PreGE2025 G55 wanatakiwa kufukuzwa na kufutwa uanachama CHADEMA haraka sana iwezekanavyo

    Bado naendelea kushauri uongozi wa CHADEMA uwafute uanachama hawa matapeli wa kisiasa wanaojiita G55. Kuendelea kuwasubirisha ni kuwapa airtime isiyoyalazima. Hawana msaada wowote kwa sasa zaidi ya kubomoa chama. Habari za kuponyana majeraha hazina tena maana ni vyema kwenda na wale...
  17. PreGE2025 Catherine Ruge: Nimeenguliwa kwa SMS bila kujulishwa makosa yangu ambapo ni kinyume na Katiba ya CHADEMA

    Catherine Ruge pia ameeleza kuwa ameenguliwa bila kupewa taarifa rasmi, akikiri kupata taarifa za kuenguliwa kwake kupitia ujumbe mfupi wa simu (sms)na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, bila ya kuelezwa makosa yake na sababu za kuenguliwa kwake ambapo pia ni kinyume na Katiba ya nchi ibara ya...
  18. PreGE2025 Naona Giza nene CHADEMA wakisusia uchaguzi wa 2025

    Katika maisha ukifanya kitu chochote kiwe kizuri au kibaya jua kutakuwa na consequences. CCM waliiba kishamba yaani kishamba uchaguzi wa 2019,2020 afu wakarudia the same mistake 2024. Kwa uporaji wa kura uliofanyika CCM hawakutegemea mbeleni kutakuwa na consequences. Sasa wanavuna...
  19. N

    Hongereni CHADEMA, Kwa kuwafukuza wasaliti wote wa chama

    Niende moja kwa moja katika mada,napenda kuchukua fursa hii,Kwa kuwapongeza viongozi wandamiz wa CHADEMA,Kwa kuwafukuza wasaliti wote wa chama, Ni Bora wabaki wachache waliosafi kuliko kubaki wengi mbao sio wasafi, unapotaka kufanya mageuzi msisikilize,inzi,mende,vyura Wala sisimizi,tumia dawa...
  20. Yanayomkuta Lissu ndio yaliyomsumbua sana Magufuli. Nadhani unaona jinsi mzigo ulivyo mzito

    Umuofia kwenu, ndugu, jamaa na mtanzania mwenzangu. Hakuna kitu kigumu kukubalika duniani kama Mabadiliko na mazoea. Hili mara nyingi linasababishwa na Woga wa kisichijulikana (fear of unknown and uncertainty). Kwasababu mwanadamu kaumbwa kuijua jana ambayo ni historia, leo ambayo ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…