chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwangu issue ya mvutano wa uchaguzi kati ya Chadema na CCM ni simple

    CCM, dunia nzima inajua kuwa tume ya uchaguzi ya sasa haiwezi kuwa fair by all imaginations! Dunia nzima inajua hilo! From the innermost chambers of your hearts, mnajua kuwa tume "yenu" haina fairness yoyote, haiwezi kutenda haki. sasa mnaogopa nini kuifanyia marekebisho pendekezwa? Jibu ni...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya uchaguzi; Kama CHADEMA Itaweza ku-survive mpaka 2027 bila Ruzuku. Kitakua kama Imani katika Dini

    Sabato Njema! Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana. Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote. Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Dickson Matata: Uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa kutotambua baadhi ya viongozi wa CHADEMA hauna uhalali wa Kisheria upuuzwe

    https://www.youtube.com/live/fiYSJU5K1SU?si=XRvj21KsCtekHof4 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi Wakili Dickson Lucas Matata, amesema kwamba Msajili wa Vyama vya Siasa hana mamlaka yoyote ya kisheria ya kumuwezesha kubatilisha uteuzi wa viongozi wa Chama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Asanteni Watanzania,wezi waliokuwepo CHADEMA waendelea kuumbuka

    Tuna kila sabubu ya kuwashukuru Watanzania kwa kuendelea kuwanyina kura viongozi wa chadema wakati wa chaguzi zetu. Leo hii Makamu Mwenyekiti amewaka wazi ni kwa jinsi gani kundi la G55 walivyokuwa wanatafuna hela za CHAMA@Mrema
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mama anapodhamiria kuyang'ang'ania madaraka japo hadi 2030, CHADEMA ijizatiti kwa mapambano ya muda mrefu!

    Kwamba hata iweje! Haipo shaka nia njema kutokea kwa mama haipo na haiwezi kuwa sahihi kusema huo ndiyo ulio msimamo wa CCM au serikali yake yote. "Samaki mmoja akioza haliwezi kuwa tenga lote." Kuwa leo Lissu yuko Ukonga, ila waliowateka kina Mdude, Soka, nk wako huru? Waliowatendea unyama...
  6. JamiiForums Tanzania USHAURI KWA CHADEMA: Lissu akitoka asiwape platform waliojitoa awatakie kila la kheri waendako na kuwaahidi ushirikiano

    Habarini! Ni wazi wala bila kuzunguka namna Lissu na wenzie walifanya kampeini ya kumtoa Mbowe ilitumika baadhi ya namna zimeacha madonda machungu kwa Mbowe akini kwa team yake na heshima yake kisiasa. Pia sitaki niwe na upande kama mshauri pia team mbowe haikujiandaa vya kutosha kupokea...
  7. JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kuwashinda Chadema kwenye jicho la Kisheria, ndo mana mbinu zote za CCM na System zinakwama

    Unaposhindana na Chama kilichojaa manguli wa kisheria waliosoma Sheria ndani na nje ya Tanzania tena kwenye vyuo bora kabisa duniani vinavyofahamika kutoa Wanasheria bora kabisa ni vizuri uwe makini na smart sana. Hiki ndo kinachowakuta system na CCM kwa sasa. Kwa kuwa system haijawahi ku...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi Kahama wadaiwa kazuia maandalizi ya Mkutano wa CHADEMA, wadai eneo limebadilishwa

    Baada ya mvutano kati ya Polisi na CHADEMA, hatimaye imekubalika kuwa mkutano wa chama utafanyika katika eneo lililokusudiwa. Awali, Polisi walifika na kuzuia maandalizi yaliyokuwa yakiendelea kwa maelezo kwamba eneo hilo limebadilishwa, licha ya kuwa jukwaa na mfumo wa sauti (PA System)...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamjibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mchome hajamaliza taratibu za ndani za Rufaa

    Msajili yeye anasema sio lazima kumaliza ngazi zote za ndani za rufaa ndipo utoke nje.
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA, Dodoma: Hatuyumbishwi, tuko imara kuliko wakati wowote, kuna watu wanahama kwa kisingizio cha Mbowe

    Chadema Kanda ya Kati wanazungumza muda huu mbele ya waandishi wa habari katika ofisi yao iliyopo Swaswa, Dodoma https://www.youtube.com/live/9tpeXEUDWTA?si=VZLU3R33pExJHa5l Dkt. Steven Karashan Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Dodoma Mjini. "Sisi kama CHADEMA, Dodoma Mjini tuko imara kuliko...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani ulianza kutokuwa na imani na Mbowe

    Freeman Aikael Mbowe ni miongoni mwa Waasisi na waanzilishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA. Amekitumikia chama tangu 1992 hadi leo tuseme zaidi ya nusu ya maisha yake ameyaishi ndani ya Chadema. Nini kimemtokea hadi anaonekana kama msaliti anayetaka kukiua chama alichokiasisi. Ni...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naapa sitoondoka Chadema labda Tundu Lissu na Heche wasiwepo duniani

    Naapa sitoondoka Chadema labda Makamanda Tundu Lissu na Heche wasiwepo duniani, Maana hawa wengine nimegundua walikuwa nyoka tu,akiwemo kiongozi wao Mbowe Na sitokuja kujiunga na Chama chochote kile,labda kiwe chini ya hawa makamanda Tundu Lissu na Heche, lakini siyo hivi vyama vya waganga...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA wana hoja za msingi sana kwa Watanzania, wasikilizwe

    https://youtu.be/3H_uTS1rIj8?si=8Q5NYm9rN6lyonQL Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ni chama cha siasa chenye nguvu kuliko hata CCM. Hii imedhihirika baada ya Serikali ya CCM kuonekana inahangaika sana kutaka kuiua na kuizika CHADEMA. Ukisikiliza hoja za Viongozi wa CHADEMA kwenye...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mapito ya Lissu na CHADEMA katika Lenzi ya Maandiko mtakatifu na harakati za kutafuta ukombozi

    Kama wengi mnavyoshuhudia yanayojiri nchini. Nchi yetu kwa sasa hivi ipo katika mapito magumu na makali kuelekea mabadiliko. Hapana shaka mabadiliko yanakuja na hakuna mtu wa kuyazuia maana huu ni wakati wake. Yeyote atakayejaribu kuyazuia yatamtupa pembeni au kumsaga tikitiki, maana hili ni...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CHADEMA ilikuwa Sacos na mali ya Mbowe?

    Kuna siku Musukuma alitishia kuweka wazi miamala ya fedha toka CCM kwenda kwa Mbowe ili aendeshe chama tukadharau. Mchungaji Msigwa, aliwahi kusema 'Chadema sio taasisi ni mali ya Mbowe' ni biashara ya familia, tukadharau. Kuna baadhi ya wana CCM walikuwa wakisema Chadema ni Sacos...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanao jitoa chadema ni list ya wakuu wa wilaya wakuteuliwa kuanzia 2026

    Ukiachana na babu kigaila, wengine wote watateuliwa ukuu wa wilaya na mikoa kama ilivyo kuwa kwa sendinga wa manyara na nasari. TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: John Mrema alijimikishia Chadema Media TV

    Kweli CHADEMA ilikuwa ni shamba la bibi. John Mrema alijimikishia Chadema Media TV
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM tambueni ya kuwa CHADEMA ni joka kubwa lenye vichwa vingi.. Ukikata kimoja vinachipua vingine

    Kuna ujinga mkubwa sana unafanywa na ccm kwa kutumia kodi zetu kutaka kukidhoofidha na kukiua kabisa CHADEMA Hawa waliobuni hii project sijui ni akina nani huko ccm Hivi kweli mpaka Leo ccm inashindwa kujua kwamba CHADEMA sio TLP? CHADEMA sio CUF? CHADEMA sio NCCR- MAGEUZI? Wanadhani na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliebuni mkakati wa kununua wanasiasa na wanachama wachache kuihujumu CHADEMA, atakuwa na faili Mrembe na atakuwa bado anaendelea na matibabu

    Mtu mwenye akili timamu, hawezi fanya hiki kinachoendelea kwa lengo eti la kuihujumu CHADEMA akiamini CHADEMA itakufa unless ni matokeo ya kuishiwa mbinu na kukata tamaa. Yaani uhonge wanasiasa na wanachama wa CHADEMA kwa makumi mikoani halafu uamini hiyo operation itafanikiwa kuidhoofisha...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani

    Wakuu, Haya ndio yanayohuma huko kuwa G55 mpango wao ni kuhamia CHAUMA kwa madai ya kuwa waahidiwa majimbo 20 na pia wamekuwa wakizunguka kushawishi wengine kujiunga nao kwenda chauma kwa ahadi inayosemekana ya milioni 90 per kichwa. Nadhani tumeanza kuona viongozi mbalimbali kama wenyeviti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…