chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    PreGE2025 Lissu ataja mambo wanayoyataka ili CHADEMA ishiriki uchaguzi

    Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema, amesema chama chake hakitashiriki Uchaguzi Mkuu ujao bila kufanyika mabadiliko sita muhimu ya mfumo wa uchaguzi, akisisitiza kauli yao ya “No Reforms, No Election” akiwa katika Operesheni ya Kanda ya Kusini wilayani Namtumbo, Ruvuma. Mambo hayo sita ni...
  2. PreGE2025 Pale Wasafi anayejielewa ni ni Edo tu, CHADEMA wanateswa na denial

    Oscar Oscar una Intelligence duni na huna maturity kwenye Political Science. It is better to shut up kuficha Ujinga. Big Up Edo, huwa napenda kukusikiliza na most of the time upo kwenye Present Moment and realistic: Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wapo kwenye DENIAL ya kukubali kuwa Lissu ndio...
  3. PreGE2025 Mchome amuomba Msajili kutengua maamuzi ya Baraza Kuu la CHADEMA kwa kukiuka Katiba

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi ya Baraza Kuu la chama hicho yaliyofanyika kwenye kikao cha Baraza Kuu kilichofanyika Januari 22, 2025 kwa kuwa kilikuwa na kasoro...
  4. PreGE2025 Julius Mwita: Chama hakijatujibu waraka wetu, wapambe wanatuita waasi

    Wakuu, "Serikali na Bunge wamepaka rangi sheria ya uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa tume huru ya Taifa ya uchaguzi na ndio maana sisi tunaunga mkono No reforms ili kuwe na chaguzi huru, za haki na za amani ili kila mmoja akigombea aone anaweza kushinda. Sisi hatupingani na chama...
  5. PreGE2025 Kanda ya kusini: Tundu Lissu azidi kuwasha Moto. Sikujua kama Ruvuma ni ngome ya CHADEMA

    Kanda ya kusini: Tundu Lissu azidi kuwasha Moto. Sikujua kama Ruvuma ni ngome ya CHADEMA. Hapa ni Namtumbo
  6. Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA

    Wanabodi Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe. Juzi na jana, Wahariri zaidi ya 200, ambao ni wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, toka vyombo vya habari vyote nchini, tumekutana kwa siku mbili mjini Songea mkoani Ruvuma, kwenye mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa TEF, ambapo wana...
  7. A

    Alichokifanya Mchome kwa kumuita Mwenyekiti wake dikteita uchwara, sidhani kama kuna mwanachama wa vyama vingine anaweza kukifanya na akabaki salama

    CHADEMA, hiki alichokifanya Lembrus Mchome mbele ya vyombo vya habari kwa kumuita Mwenyekiti wake wa chama dikteita uchwara, sidhani kama mwanachama yeyote wa CCM au vyama vingine anaweza kusimama hadharani na kumuita kiongozi wake dikteita tena mbele ya vyombo vya habari na kubaki salama. Huyu...
  8. Familia ya Neema aliyedai badilishiwa mtoto yakataa kata kata kupokea mwili wa Marehemu kuzika, Yadai yule si mtoto wao

    Familia ya NEEMA inaendelea kusisitiza, Nurse Kwa mara ya Kwanza alimletea NEEMA mtoto akiwa kwenye Kanga nyingine ( Hapa Mtoto anaweza kua alikua ndie ila tu Kanga zilichanganywa). Baada ya NEEMA kuhoji Kanga si zake, mtoto huyu Ndani ya kanga zisizo za NEEMA, akarudishwa Kwa Mzazi mwingine...
  9. E

    PreGE2025 Hivi ndivyo CHADEMA yaweza kujinasua kwenye mtego wa kupasuka

    Ni wazi kwamba mambo si shwari ndani ya Chadema. Hiyo ni kutokana na kuibuka kwa kundi la G55 linalohusisha makada wa chama hicho wakipinga kampeni ya No Reforms No Election inayoendelea. Kwa mujibu wa msemaji wa kundi hilo linalojiita la watia wa kugombea ubunge na udiwani, John Mrema amesema...
  10. Maoni yangu kuhusu waraka wa G55 ya CHADEMA

    Nimeshangazwa kuwa andiko lenyewe kumbe lilikusudiwa liwe ni kwa ajili ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, lakini limekuwa ni nyaraka kwa umma (Public document) Kwa mujibu wa andiko lenyewe, ni kwamba kundi la watu 55 liliandika barua hiyo kwenda kwa Katibu baada ya kuingia hofu kwamba maoni yao...
  11. PreGE2025 Julius Mwitta: G-55 iliundwa na Katibu Mkuu wa Chadema, John John Mnyika

    Naam. Julius Mwitta anapasua mbarika, kumbe mwenye G-55 yupo na hamsemi. Haha. === Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema; "G-55 ilizaliwa kutokana na kikao kilichoitishwa na Katibu wa Chama. Wakati huo mimi bado nilikuwa Katibu wa...
  12. CHADEMA LENGO LENU NI REFORMS AU CHANGES?

    Reform inajumuisha mabadiliko ya kimfumo ambapo sheria,kanuni,utaratibu,watendaji,itikadi na taasisi muundo na vyeo kwa ujumla. Moja ya sababu ya reform ni kutokuwepo kwa usawa wa mfumo na utendekaji kazi,reform mara nyingi inahisisha Changes katika itikadi na imani. Tunaambieni wadau...
  13. M

    Mrema afukuzwe Chadema mara mona

    Huyu mrema alikuwa mpuuzi aliekuwa ananga utawala wa CCM ,ni muda muafaka kwa CDM kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi kwa niaba ya Watanzania
  14. PreGE2025 Julius Mwita: CHADEMA lengo lake ni kushika Dola, kunapokuwa na chochote ambacho kinazuia hilo lazima kisemwe

    "Kwenye madhumuni ya uchumi yapo mambo 11, sisi CHADEMA kwenye uchumi inasema matumizi Bora ya rasilimali za Taifa katika kuwafanya Watanzania mmoja mmoja awe na uchumi wa kumuwezesha kuendesha maisha yake. Hayo ndio madhumuni ya kiuchumi ya CHADEMA" "Sisi tunaamini kwamba CHADEMA ni Chama cha...
  15. PreGE2025 Julius Mwita: G-55 inataka CHADEMA iende kwenye uchaguzi

    Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA, Julius Mwita, amewapongeza Tundu Lissu na John Heche kwa ujasiri wao, akisema ni viongozi wanaoweza kuleta hamasa kubwa wakati wa uchaguzi. Akizungumza kupitia Clouds FM, Mwita amesema; "G- 55 haiwavurugi watu ila watu ndio wanajivuruga, sisi...
  16. C

    Lissu alipaswa kudhibitiwa kabla hajashinda Uenyekiti CHADEMA au figisu zilishindikana?

    Huyu Mwamba alipaswa kutopewa nafasi ya kushinda Uenyekiti CHADEMA. Ni hatari zaidi ya hatari yenyewe. Kichwa kibovu kile kitaleta amsha amsha kuelekea uchaguzi ambayo Sisi Mbogamboga hatuitakagi.
  17. PreGE2025 Wapinzani mnataka nini kama mlimpinga Magufuli aliyekuwa anafanya kazi kwa maslahi ya nchi?

    Katika kitu ambacho sikukielewa hapa Tanzania ni kipindi Rais Magufuli alipoingia madarakani wapinzani wakawa wanampinga kwa Kila anachokifanya, kufikia hatua ya Magufuli kuwachukia na sababu ilikua wanampinga maendeleo ya Kila kitu. Akishughulikia mafisadi wanamuita diktekta, mara katili...
  18. K

    Chama cha Mapinduzi Tuepuke Kunasa kwenye Mtego wa Chadema Siku ya Uchaguzi.

    CCM tusije tukanasa kwenye mtego ambao Chadema wanauandaa.Wao wanataka wapiga kura wasijitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi. Lakini wanataka kuhamasisha maandamano nchi nzima kama kampeni ya kuzuia uchaguzi hiyo siku ya uchaguzi. Ikitokea vyombo vya ulinzi na usalama vimesambazwa kuzuia...
  19. Makampuni ya simu na mabenki yanayopokea miamala ya chadema, nadhani mmeona kwamba ina nia ya kutumika kwa uhalifu wa uchaguzi, msisaidie uhalifu

    Chadema wanapitishia fedha zao katika Mpesa, airtel money, na huduma za aina hiyo, pamoja na za mabenki. Nitoe angalizo kwa serikali na makampuni hayo kwamba miamala hiyo imeshasemwa na uongozi wa chadema kwamba itatumika kufanyia uhalifu wakati wa uchaguzi. Kampuni ya simu, bora uifungie...
  20. R

    PreGE2025 Chama kile kitaiba kura ya nani ikiwa CHADEMA itasusia na kuandamana siku ya uchaguzi?

    Hellow! Kanuni ya wizi Iko hivi, Ili uibe, lazima wa kuibiwa awepo, na kitu Cha kuibwa kiwepo pia(subject matter). Ni kweli, mwizi akikosa Cha kuiba, anaweza kuvua shati lake, akaliacha pale, akarudi kinyume nyume akajificha, akarudi akinyatia na kuliiba shati lake mwenyewe Ili tu ajifariji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…