chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. E

    PreGE2025 Kesi ya Lissu yaiweka Chadema njiapanda

    Hatua ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kufunguliwa mashitaka ya uhaini na uasi inakiweka chama hicho njiapanda, hasa ikielezwa kuwa kiongozi huyo ameonyesha ujasiri mkubwa kuikabili Serikali katika kampeni yake ya No Reforms No Election (Hakuna Mabadiliko Hakuna Uchaguzi). Lissu...
  2. CHADEMA kwenye mtego mkubwa mwingine...

    Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama Hakitashiriki Kwenye Kusaini Basi Hakitapata Nafasi Ya Kushiriki Uchaguzi Huo.. Hii Ni Kwa Mujibu Wa Kanuni Ya...
  3. L

    PreGE2025 Kwanini CHADEMA wasiende Mahakamani kupigania hayo mabadiliko wanayoyataka?

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA wanashangaza sana, wanasikitisha sana, wanatia aibu sana, wanaleta maswali yasiyo na majibu na kuonyesha namna ambavyo bado ni chama kichanga na chenye Ombwe la uongozi na viongozi. Inaonyesha ni chama kilichokosa viongozi na uongozi wa kuonyesha njia na muelekeo...
  4. PreGE2025 Taarifa ya Chadema kuhusiana na kukamatwa kwa Mwenyekiti wake Tundu Lissu na Kubambikwa kesi ya Uhaini

    Jisomee Mwenyewe
  5. B

    PreGE2025 Amani Gulogwa: Polisi msiingie kwenye mtego wa kuilinda CCM, mtatukwaza

    Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA, Amani Gologwa amelitaka Jeshi la polisi kuacha kuwapangia cha kuzungumza kwani siasa ina luga zake ambazo ni tamu. Aidha amelitaka jeshi kufanya majukumu yake ya msingi ikiwemo klinda raia, kufuatilia waliotekwa na kesi nyingine ikiwemo ya Lissu aliyepigwa risasi...
  6. Kwanini Lema amekuwa kimya ghafla baada ya Lissu kukamatwa? Je, anaaminika kiasi gani ndani ya CHADEMA?

    Kwenye haya mambo kuna michezo mingi, usaliti, double dealing na kadhalika. Niliona Lemma alipotea katika thin air mara baada ya Lissu kukamatwa. Ilikuwa ni mfadhaiko au kuna jambo alikuwa analijua mapema Ila hakumwambia Lissu au hakutakiwa kumwambia. Ukisoma uso wa Lemma pale katika mkutano...
  7. PreGE2025 Golugwa: Hatujawahi kusema tunataka Kupindua Serikali bali kupinga mifumo mibaya ya uchaguzi, na hii ndio maana ya Uasi

    https://www.youtube.com/live/H2WF6FYA97Q GOLUGWA: HATUJAWAHI KUSEMA TUNATAKA KUPINDUA SERIKALI Naibu Katibu Mkuu Bara – CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza na Wanahabari leo, Aprili 11, 2025 katika Makao Makuu ya Chama Mikocheni, amesema Chama chake hakijawahi kutoa tishio la kutaka...
  8. PreGE2025 Nape Nnauye awaonya CHADEMA 'Kuweni na adabu kwa Rais Samia'

    Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, ameweka wazi msimamo wake kuhusu hoja zinazoibuliwa na baadhi ya wanasiasa wa upinzani kuhusu unyonyaji katika mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye zao la korosho, akisema wengi wao walikosa ujasiri wa kuwatetea wakulima wakati suala hilo lilipokuwa...
  9. Hon. Tundu Antipas Lissu and the Fate of Chadema and Democracy in Tanzania

    Tundu Lissu is a prominent Tanzanian lawyer and politician, renowned for his unwavering commitment to democracy and human rights. Born on January 20, 1968, in Ikungi district, Singida, he has played a significant role in the nation's political landscape. Early Life and Education Lissu completed...
  10. Tutafakari siasa za CCM na Chadema kwa mfano wa Msumbiji frelimo na podems nayaona hapa kwetu..

    Nchini Msumbiji walifanya uchaguzi wao oktoba 29/2024..uchaguzi ulikuwa na wagombea kutoka vyama kadhaa lakini vilivyokuwana upinzani wa karibu ni Frelimo kilichowakilisha na Daniel chapo huku Podems ikiwakilishwa na Venancio Mondlane..uchaguzi ulifanyika baada ya kampeni kali zilizokuwa na...
  11. B

    PreGE2025 Jaji Mutungi: Lissu na "no Reforms no Elections" hawajafanya kosa lolote kisheria

    Maneno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi: --- Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema kauli ya ‘No reform, no Election’ bado haijavunja sheria ya vyama vya siasa, huku akisisitiza kuwa...
  12. R

    BUSARA: Freeman Mbowe jitokeze kuonesha mshikamano wa CHADEMA katika Kesi inayomkabli Lissu. Kushiriki kwako kutaponya mgawanyiko uliojitokeza

    Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!! Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu...
  13. PreGE2025 CHADEMA wangewashawishi vyama vingine pia

    Habari wakuu... Nahisi Chadema kwenye strategy ya No reforms No election wangejaribu pia kushawishi vyama vingine vya upinzani kutoshoriki uchaguzi kama hakuna reforms....... Hii ingewapa power upinzani na win ingekuwa win ya pamoja Chadema na vyama vingine vya upinzani. Kuliko sasa hivi...
  14. Heche ndo Kaimu Mwenyekiti CHADEMA kwa SASA! Ndo hatari zaidi

    1. Huyu Mkurya ndo Moto pengine kuliko Bryson! 2. Aisee kwann hawa watu hafanyi risk assessment? Heche ni Moto na haogopi pia Hatumii mihemko kama Bry!
  15. W

    CHADEMA tawanyikeni hii itasaidia Nchi yote kuamka

    Habari ya leo wanajamvi. Ndugu Heche sasa TAWANYIKENI, baada ya concentration of power kuwa Kanda moja yaani Kanda after Kanda, sasa hivi ni vyema mkatawanyika. Mpige Kanda zote at ounce, hii itasaidia Nchi yote kuamka. Gawa makamanda wako vyema kwenye Kanda zote, habari ya mahakamani waachieni...
  16. L

    PreGE2025 Kukamatwa Kwa Lissu Mbele Ya Wafuasi wake ni Ushahidi kuwa CHADEMA haina nguvu ya Umma na wala haiwezi kuzuia Uchaguzi kwa nguvu ya Umma

    Ndugu zangu Watanzania, Cheza na mtu Mwingine lakini usicheze na Mtanzania. Mtanzania hatakagi masihara linapokuja suala la uhai wake na usalama wa mwili wake. Hakuna mtanzania Mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kukubali akahatarisha miguu yake na mwili wake kumpigania mtu au...
  17. CHADEMA yadai Lissu kakamatwa kwa Uhaini, Polisi Ruvuma wasema ni Uchochezi. Mbona mnatuchanganya?

    Wakuu Naomba kuelewa, ni Uhaini au Uchochezi? Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi anasema wazi: Tundu Lissu amehojiwa kwa tuhuma za uhaini na yupo kituo kikuu cha Polisi Dar es Salaam (Central). Lakini huko Ruvuma, Jeshi la Polisi linasema amekamatwa kwa kosa la uchochezi...
  18. PreGE2025 Mwanasheria wa CHADEMA: Polisi wanasema Lissu anatuhumiwa kwa Uhaini, atafikishwa Mahakamani ndani ya Saa 48

    Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Kituo cha Polisi kati (Central) na tayari amehojiwa na Ofisi ya Upelelezi ya Kanda Maalumu. Ambapo amesema Lissu amehojiwa kwa tuhuma mbili ambazo ni Uhaini na kutoa taarifa za...
  19. Kwanini CHADEMA wamepoa sana na wamekata tamaa kabisa baada ya Lissu kukamatwa?

    Kwanini wasimuamini Heche, Lema au g55 kama ndio viongozi wao wa kuendeleza harakati zao baada ya Lissu kutiwa mbaroni kwa makosa mbalimbali ikiwani pamoja na uchochezi na haijulikani atasota korokoroni mpaka lini? Huenda akapelekwa mahakamani J3 wiki ijayo. Uhaini ni kitu mbaya sana katika...
  20. PreGE2025 Mikutano ya CHADEMA yazuiwa hakuna ruhusa ya kujadili masuala yanayohusu kampeni ya "No reforms, no election"

    Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linadaiwa kuwazuia viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuendelea na mikutano yao, ikiwemo mikutano ya hadhara na mkutano na waandishi wa habari uliopangwa kufanyika Alhamisi saa 5 asubuhi. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…