chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA adui yenu ni CCM au CHADEMA? mmesahau kama mmeahidi kuiondoa CCM lakini kutwa ni CHADEMA, mmekula pesa ngapi?

    Wakuu CHAUMMA ni chama cha upinzani ambacho viongozi wake wengi wa sasa ni wale walioamua kuyasaliti mapambano kupitia CHADEMA. Ni kama usaliti wao umekuwa jumlajumla kiasi cha kutwa kuijadili na kuishambulia CHADEMA yenye kupambania masuala ya kitaifa ambaye wote adui yao mkuu ni CCM...
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Millard Ayo amechapisha taarifa ikisema "CHADEMA iko kipindi cha kupotea kisiasa"

  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aliwahi kutoa wito kwa vyama vya siasa nchini kuungana na CHADEMA, unadhani ni kwanini vyama vyote vya siasa vilipuuza wito huo wa lissu?

    Je, walijitathimini vizuri, wakagindua na wakaona mbali na hatimae wakajiepusha na anguko la vyama vyao kama ilivyoangukia pua Chadema chini ya ungozi wa Tundu Lisu mwenyewe? Au ni kwasasababu uropokaji, kukosa maono kwa Lisu, kukosa hekima na busara kwa huyo mtoa wito asie aminika na mwenye...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Niwaonye CCM, msitume UVCCM kwenye mikutano ya CHADEMA kupiga kelele za 'Oktoba Tunatiki'

    Kuwapa Vijana wa CCM Hela, na kuwatuma kufanya Uhuni kwenye mikutano ya CHADEMA ni kosa linalohatarisha Uhai wa Watu !!. NAWAONYA, muache tabia hiyo mara Moja.!!. Mikutano ya CHADEMA ni mikutano ilojaa Wananchi wenye Hisia za majonzi, Mateso na maumivu, Kwa kutekewa Watu wao, kuuliwa watu...
  5. JamiiForums Tanzania Kamanda Heche, Elimu yako inaeleweka vema, inawatia Hasira Wananchi Kwa kuonyesha jinsi gani Serikali imewatua umasikini!!

    Hiii inaitwa Emotional Enslavement !! Kuhakikisha Watu wanaifaham CCM kama Adui yao Mkuu, alowaita umasikin tangu Uhuru, Umasikin ambao kwao CCM wakijulinufaisha , Umasikini ambao ni matokeo ya Kua na viongozi WAJINGA !!. Elimu hii inaendelea kuwafanya Wananchi wakiamin Chama, na kukikumbatia...
  6. JamiiForums Tanzania Ni Vijana wasomi, waloumizwa na Serikali yao kwa kunyimwa Ajira huku Kauli yao "Tunamtaka Lissu "

    Siasa za Tanzania zinaingia kwenye Hatua nyingine kabisa ambayo haijawahi kutokea Mungu akiendelea kuwabadilisha Mioyo Vijana wa Kitanzania , Sasa wanazungumza Kauli Moja !!. Niliwahi wauliza Dola "Mnauhakika Mgombea wenu Samia, anauzika? Hatowaingiza kwenye MTEGO wa kutumia nguvu kupitiliza...
  7. JamiiForums Tanzania Ombi: Uongazi wa Chadema uongeze Drone za kupigia picha Mikutano yao, hizi za sasa zimezidiwa, watu wanaohudhuria hawajulikani Idadi yao

    Tunatoa wito kwa Viongozi wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Chadema kuongeza Camera angalau 5 za Drone ili kuweza kurekodi Mchanga wa Watu wanaohudhuria Mikutano yao. Kwa Mfano, ni Vigumu kujua idadi kamili ya Watu waliohudhuria Mkutano wao wa leo Dodoma Mjini, Yaani haijulikani pia...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma kumekucha, CHADEMA yatikisa ngome ya CCM. Mamia wamsindikiza John Heche wakiimba 'CCM wauaji'

    Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema. No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu. Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba...
  9. JamiiForums Tanzania Heko Watanzania kuipuuza kizalendo nonsense ya No reform no elections ground, field na kwenye mitandao ya kijamii

    Karibu pumzi inawaishaia hao vibaka na matapeli wa kisiasa na hiyo nonsense yao ya no reform no elections. Hongera sana wananchi wote ground, field na mitandaoni kwa kukataa kubebwa ufala wa kifikra na hao matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo. Mmewapuuza kwa maneno na matendo kijasiri...
  10. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaiteka Dodoma. Heche na makamanda wengine ni kivutio kwa Mtanzania

    Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
  11. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ni mkubwa kuliko CHADEMA wenyewe

    Mange kimambi kwa sasa ushawishi wake katika siasa za tanzania ni sawa kabisa na chama cha siasa kimoja Mange kimambia aliiingia kwenye siasa rasmi mwaka 2015 wakati huo alijaribu kugombea jimbo la kinondoni kupitia ccm hakupita kura za maoni akabaki kama mwanachama na tukaingia...
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna CHADEMA mwenye ubavu wa kumzuia Kigaila wa CHAUMMA au Shekhe Ponda wa ACT kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba ya kupiga kura Oct 2025

    Ni muhimu sana kuepuka kudanganyana na kupotoshana ndugu zangu wadau eti hapata kua na uchaguzi October. kweli ni kwamba hayupo kibaka wala tapeli yeyote wa kisiasa nchini mwenye uthubutu wa kumzuia mwananchi yeyote huru kushiriki kikamilifu katika kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba kupiga...
  13. JamiiForums Tanzania Vibe la No Reforms No election mitandaoni; Mganga wa Chadema sio tapeli

    Watz wamevamia posts za Rais Samia kama nyuki. Namuona akifunga comments kwa posts ijayo Msigwa anatukana watu huku amefunga comments Post yeyote ya public figure watu wanavamia kama manyigu na NRNE, wapo mpaka pages za Simba na Yanga. Hawa watu mimi sijui wametokea wapi. Insta inatisha...
  14. JamiiForums Tanzania 4R za Rais samia vs R moja walio ichukua CHADEMA; Mgongano wa mwelekeo

    Mheshimiwa Rais wa Tanzania na serikali yake walikuja na dhana ya 4R kama dira ya kujenga taifa lenye umoja, maendeleo na demokrasia. Dhana hii ya 4R ilijumuisha: 1. Reconciliation (Maridhiano) – Kujenga mshikamano wa kitaifa na kuondoa migawanyiko ya kisiasa. 2. Resilience (Ustahimilivu) –...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Chadema ngumu sana kuishi kwa sasa

    Chadema ngumu sana kuservive katika msuko msuko wa siasa hizi, watakuwa kama Muslim brother Huud kilivyosambaratishwa nchini Egypt
  16. JamiiForums Tanzania Dodoma: Chadema yaadhimisha Sikukuu ya Eid na Watoto yatima wa Kituo cha Rahman Orphanage centre

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo 07/06 2025, Chadema badala ya kuita Matajiri wenye uwezo wa kuchinja chochote na kula nao Idd, ili kutafuta sifa kama wanavyofanya viongozi wengine, Wao wamechagua kupeleka Mkono wa Idd kwa Watoto Yatima. Huyu hapa ni Maalim Heche akiwa na viongozi wengine...
  17. JamiiForums Tanzania Mtanzania Aliyeshuhudia Bunge la 2010 Mpaka 2015 Lazima Akubaliane na No reforms No Election

    GT. Katika Bunge lililovutia kuliko wakati wowote ule ni hilo la 2010/2015 Bunge lilikuwa la moto hatari hoja nzito znito zilikuwa zinatolewa. CCM wakaona hayo yalikuwa ni makosa kuweka Wapinzani wengi bungeni Lakini kiukweli ndio bunge liliokonga nyoyo za watz wote na kuwaamusha hadi leo...
  18. JamiiForums Tanzania Heche muombe radhi Suzan Kiwanga Mbunge wa zamani wa Mlimba kupitia CHADEMA

    Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?
  19. JamiiForums Tanzania Diamond ni mkubwa kuliko Chadema.... Mashabiki wa Chadema mtaaibika na hii kampeni yenu

    Nawapa taarifa wafuasi na mashabiki wa Chadema kuwa diamond platnumz ni mkubwa kuliko chama chenu. Naona sasa hivi mnaendesha jaribio la mtandaoni kumzuia Diamond kufanya shughuli zake za muziki, baaada ya kupewa maelekezo na saviour wenu mange kimambi. Haya ni marudio ila kwa kuwa hamnaga...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA inachopitia CCM ndicho Afrika inapitia Urusi. Kudogosha..

    Bara la Afrika ni kubwa kuliko Urusi. Lakini kwenye Ramani inaonekana Urusi ni kubwa kuliko Bara la Afrika. Huku ni kudogosha kwa manufaa ya Wazungu. Kwa upande wa Tanzania, CHADEMA ina wanachama wengi kuliko CCM, lakini CCM wanadai wana Wanachama wengi kuliko CHADEMA. Twende Taratibu. Pamoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…