chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Chadema kusalimu Amri;Kuingia kwenye uchaguzi kupoza njaa,Gwajima awatetea

    Asalam aleykum waislamu wenzangu. Hongereni kwa mahangaiko ya siku,poleni na madhila ya utafutaji. Mimi nimesoma vitabu vingi vya mageuzi lakini ni kuwa zama zimebadilika sana ambapo jumla ya vitabu hivyo 5 vinaonesha mbinu za mageuzi ni kuvuruga amani. Tangu achaguliwe mwezi January,Mzee...
  2. JamiiForums Tanzania Kwasasa CHADEMA inajionyesha waziwazi kuwa ni chama Cha mabeberu

    Toka wabadilishwe viongozi wa chadema ndo tumejua wazi wazi kuwa chadema ni mradi wa mabeberu, wanatekelea tamaduni za mabeberu, chadema ni Mapandikzi ya mabeberu Wamefikia hatua hata ya kumteua mzungu kuwa mshauri wakisheria wa chadema. Angalizo: Hatutaki mtuletee mambi machafu nchini
  3. JamiiForums Tanzania Mna uhakika CHADEMA wakipewa dola wataweza kuwafikisha katika nchi ya ahadi kama wanavyoimba majukwaani?

    Katika siasa, maneno ni silaha kubwa. Vyama vya upinzani hujenga matumaini, huahidi mabadiliko, na hujenga taswira ya "nchi ya ahadi", mahali ambapo kila mwananchi atafaidi matunda ya uhuru, haki, na maendeleo. CHADEMA, kama chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, kimekuwa mstari wa mbele...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa dunia unaendeshwa na viwanda, na ndio sera ya CCM,kuna watu hawaeleweki kama CHADEMA

    Asalam aleykum waislam wenzangu. Uchumi wa dunia unaendeshwa na viwanda,na ndio sera ya ccm,kuna watu hawaeleweki kama chadema wanapinga hadi viwanda. Nchi imejenga viwanda vingi kusaidia uzalishaji ambapo jumla ya viwanda 23000 vimekamilika,lkn cha ajabu genge la nyumbu wa CHADEMA wanapinga...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Gwajima akisema CHADEMA wapewe 'minimum reforms' anatuambia CCM ni wenye hati milki ya Katiba na kuwaamulia vyama vingine wapewe nini, kwa kiasi gani?

    Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima. Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mapito wanayopitia CHADEMA na Viongozi wake kama wangekuwa wanapitia CCM basi chama kingekuwa kilishakufa zamani

    Nakiangalia mapito wanayopitia CHADEMA na Viongozi wake kama ndiyo wangekuwa wanapitia CCM,basi chama kingekuwa kilishakufa zamani. Naamini ni mda wa kukipa madaraka chama cha Chadema kama kukomaa kimekomaa zaidi ya CCM ni vile tu serikali haitaki kuruhusu uchaguzi huru maana hata wanachama wa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Kutawala Nchi wakati imemeguka kwa makovu ya Uchaguzi ni kazi ngumu sana, tuwape Reforms CHADEMA

    Askofu Gwajima amesema, "Kushinda Uchaguzi ni jambo jepesi lakini kuitawala Nchi na kuiletea Maendeleo iliyomeguka meguka kutokana na Makovu na Majeraha ya Kiuchaguzi ni kazi ngumu sana, sisi kama CCM tunaweza kuamua kuendelea [na Uchaguzi] na tukashinda lakini jaribu kuwaza tangu siku unapo...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA walisoma nyakati kuwa kuna siku watakosa wagombea ngazi za juu zote

    Kwakutumia akili nzuri kabisa isiyoambatana na mihemko na mahaba ya uchama. CHADEMA waliona mbali sana, ukweli ni kua CHADEMA walijua fika kua uchaguzi wa 2025 hawataweza kua na wagombea wenye mvuto na kukubali kwenye ngazi za juu CHADEMA mpaka leo kimekosa kutengeneza na kuandaa presidential...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Wakili Robert Amsterdam amejitoa kusimamia kesi za CHADEMA

  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Chadema wanaamini wazungu kwenye harakati zao za kisiasa?

    Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia. Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tangu Mbowe ashindwe uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA amekuwa kimya kabisa. Ushiriki wake kwenye siasa ni sharti awe kiongozi?

    Ndio maana wanasiasa wengi huwa wanaitwa wachumia tumbo. Watajifanya wanagombea nafasi za uongozi kwa sababu wanaipenda nchi na wananchi lakini inakua ni uongo mtupu, wanataka kujinufaisha tu wao wenyewe. In fact, kama uongozi katika siasa ingekuwa kwa ajili ya mapenzi ya nchi na watu...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi wa chadema na wafuasi akili zao hazipo timamu

    Hawa jamaa nashindwa kuelewa akili zao kesi ya lissu Kila siku inapigwa kalenda huku akiteseka mahabusu na yenyewe yapo mahakamani halafu yanatoka huko yanakuja kujiliza mitandaoni sijui huu uoga wa Hawa jamaa utaisha lini na yalivyo majinga yanajaa mahakamani eti kusubiri haki wakati huku nje...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM yazipa sapoti CHADEMA, CUF na ACT

    CHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM. Rais Samia ameliwezesha Baraza la Vyama vya Siasa kufanya mikutano sita (6) na baraza hilo kutoa mawazo na ushauri uliowasilishwa Serikalini na kufanyiwa kazi. Kufuatia mashauriano yaliyowahusisha wadau...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kesi ya chadema kuhusu mali itapigwa danadana mwaka mzima huku chama kikiendelea kuzuiwa kufanya siasa!!

    Mimi mbona kama sielewi hii nchi inavyoendeshwa! Mbona uonevu unazidi!?
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi wale 'watia nia wa Chadema' (G55) waliokimbilia Chaumma wameshachukua fomu za kugombea? Wako kimya mnoo

    LIle genge la watia nia wa Chadema wa kutaka kugombea ubunge na udiwani kwenye uchaguzi wa mwaka huu, maarufu kama G55, wakati Chadema ikiwa kwenye harakati za NRNE kisha baadhi yao kuamua kumtimkia CHAUMA sijui limefikia wapi kwenye mpango wao wa kugombea. Siwasikii popote wakijinadi wakati...
  16. JamiiForums Tanzania Kamatakamata na kesi za kubumba haziwezi kuidhoofisha CHADEMA. Hata Makaburu walitumia hizi mbinu lakini ukombozi ukapatikana

    Angalia kesi kama hii iliyosimamisha shughuli za CHADEMA. Uhuni wa kisiasa mtupu. Kesi za kubumba ili kudhoofisha wapinzani wenye nia njema na nchi yao. Kesi ya Shujaa Lissu? Haitadhoofisha Watanzania wanaopenda mabadiliko Mmesahau hata Kaburu Peter Botha alitumia mbinu kama hizi!
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu apinga madai CHAUMMA kutoshiriki uchaguzi, ashangaa CHADEMA kususa ikiwa wananchi wanahitaji mabadiliko

    Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amepinga vikali madai kuwa CHADEMA, wanachama na viongozi wake waliafikiana kususia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, akisema hakuna kikao rasmi kilichopitisha uamuzi huo, na kuitaka CHADEMA kuweka wazi nyaraka za maamuzi hayo...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Chadema ni imekaushwa na CHAUMMA au imejikausha yenyewe kwenye medani za siasa za Tanzania kuelekea Uchaguzi mkuu wa October 2025?

    Maana mipango mikakati yake yote ya kujiimarisha kama vile mpango wa kuomba omba pesa za kujikimu kwa viongozi maarufu kama tone tone kidigitali na kwenye kibakuli imekauka, mpango nonsense wa no reform no elections haijulikani tena kama upo au hauko, mkakati wa uropokaji mikutanoni n.k...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya Polepole kuimarisha uongozi nchini ni kujiunga na Chadema au ACT Wazalendo kama mgombea uraisi asaidie kupata wabunge wengi wa upinzani

    Huko nyuma niliwahi kupendekeza kwamba ni vema Raisi Samia ajitoe kuwa mgombea Uraisi na kumwachia Polepole apambane na Lissu, kwa sababu uwepo wa Samia katika nafasi yake unaleta migongano mikubwa ambayo pia inatishia kuanzushwa uhasama kati ya Tanzania bara na Visiwani. Baada ya barua ya...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya CHADEMA kumkataa Jaji Mwanga kutolewa maamuzi Julai 28, 2025

    Wakuu! Kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya Chadema na Katibu Mkuu wa Chama John Mnyika inaendelea leo Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, ambapo leo Mahakama itaanza kusikiliza shauri ndogo la kumtaka Jaji Hamidu Mwanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…