chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa rais Samia asisubiri hadi alazimike kufanya maridhiano ya mapya na vyama vya upinzan juu ya madai ya msingi kuhusu uchaguzi mkuu.

    Hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa tete huku watu wengi zaidi wakiendelea kukosa imani na mchakato wa uchaguzi kila kukicha. Kiufupi Polepole ambaye ni kada wa ndani wa CCM emeendelea kuwafungua macho watanzania huku shauku ya kumsikiliza ikizidi kukua kila pahali. Komredi Polepole...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania Tuiunge CHADEMA kwa nguvu zote, Taifa letu limechezewa sana

    Tafsiri ya INTEGRATION ni kuwa NIDA ipo connected na mfumo wa NEC + CCM maana yake hata mfumo wa migration kwenye passport upo connected , upo connected na mfumo wa Utumishi and likely na mfumo biashara kupitia Brela. Ukisafiri kwenda nje .. ukiweka tu fingerprint...system ya airport inasema...
  3. JamiiForums Tanzania Msichokujua CHADEMA ni kwamba Polepole anapigania reforms za chama chake na wala hapiganii maslahi yenu, chukuweni tahadhari

    Ndio nimeona nilisema hili maana nimeona wanachadema kina MMM, Sativa na Sarungi wakiunga reli ya Polepole bila kujua kuwa jamaa anataka reform za chama Chake na siyo maslahi ya CHADEMA kwenye uchaguzi huu. Chukueni tahadhari sana huyu mtu siyo mtu mzuri na kumbuka sana enzi za Lowassa...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA tieni chumvi kwenye mchuzi wa Kiroboto kabla haujapoa

    Ni hayo tu, ndugu Kiloboto kashaweka ngozi Kwenye box, lishambulieni kwa nguvu zote.
  5. JamiiForums Tanzania Ccm wote majizi hata Hayati Lowasa alikwenda chadema na mfumo wa kudukua kura angani na chadema wakapokea, jamani twende wapi sisi watakatifu?

    Utafutwaji WA madaraka katika mataifa ya Kiafrica unatumia sana njia haramu hivi ni kwa Nini? Hivi hamkumbuki wakati wa uchaguzi walikamatwa vijana kutoka izraeli walio kuwa maIT wa chadema walio letwa na Hayati Lowasa? Unaambiwa vijana walitoka izraeli, wakafikia hotelini KAZI Yao ilikuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Polepole anafanyia press lakini wafuasi wa CHADEMA hawalali wanakesha na simu kumsikiliza

    Polepole anafanyia press kwenye vyoo vya wazungu lakini bado wafuasi wa chadema hawalali, Sasa sjajua ni ugonjwa wa wafuasi wa chadema au ni athari za mdudu ujinga, wanakesha wanaskiliza non busness press ambazo HAZINA return yyte, ni useless press. Nazidi kuwashangaa Hawa wafuasi wa CHADEMA...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Erick Joshua: Kuhama chama hiki kwa baadhi ya viongozi si kwa sababu ya udhaifu wa CHADEMA, bali ni kwa maslahi yao binafsi

    Kaimu Katibu Mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro, Erick Joshua, amesema kuwa kuhama kwa baadhi ya viongozi wa chama hicho hakujaathiri uimara na mshikamo wa chama katika Jimbo la Siha. Akizungumza hivi karibuni akiwa Siha mbele ya viongozi...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Tunalaani Polisi kuwashikiliwa Wanachama wetu wa Kibaha

  9. JamiiForums Tanzania Wanajifanya wanamtetea Lissu lakini ukiwauliza nyie mpo chama gani wanasema hawana chama wanaona aibu kujiita ni CHADEMA kwasabu wanajua maovu yao

    Mfuasi wa CHADEMA utakuta anatukana watu lakini ukijaribu kumuuliza upo chama gani anasema yeye Hana chama hii ni laana wanaishi kwa laana za kutukana watu ndo maana wanaona aibu hata kujiita chadema Ukosefu wa maadili wa wafuasi na viongoz wa CHADEMA ni mkubwa Sana nchini imefikia mahala...
  10. JamiiForums Tanzania CCM: Nini ubaya wa REFORMS zinazodaiwa na CHADEMA?

    Leo natamani kupata maoni ya makada wenzangu wa Chama Cha Mapinduzi, waliopo humu jukwaani. Kuna ubaya gani wa kuwapa CHADEMA reforms wanazozitaka ili washiriki uchaguzi bila manung'uniko? Mm binafsi sijapata kusikia mtu hata mmoja, ndani na nje ya CCM akisema hivi, reform hii inayodaiwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Mbona tangu baada ya CHADEMA kusambaratika na kufa hakuna tena habari, story, porojo na drama za utekaji?🐒

    Mbona tangu baada ya CHADEMA kusambaratika na kufa hakuna tena habari, story, porojo na drama za utekaji?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mateso aliyepewa Mwenyekiti wa CHADEMA Makumbusho hawa watu wamebakiza kujenga gas Chambers

    Mzee mzima kama huyu anatekwa anafungwa macho anavuliwa nguo na kupigwa na kupigwa picha akiwa uchi Next time ni gas chamber tu
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA yafungua shauri kupinga maamuzi ya msajili wa vyama kuhusu kutoutambua uongozi wa chama hicho

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, akiambatana na mawakili wa chama hicho, wamewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Manyara Agosti 20, 2025, wakipinga maelekezo ya barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kutoutambua uongozi wa chama...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Chadema (Mh Heche) yatolee tamko maneno haya ya Mulilo leo katika mkutano wa amani katika (uchafuzi" ujao

    1. Jeshi hili sidhani kama yupo anayependa kufa...................... 2. Tutasindikiza masanduku ya kura kuna watu wanajifanya mahayawani..................
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Benson Kigaila kurejea Chadema na ataomba msamaha kwa Umma

    Bado ni Tetesi kutokea maeneo ya Bahari Motors Kijitonyama jirani na KKKT Ngoja tuone
  16. JamiiForums Tanzania Obad: Msikubali kusaliti mapambano ya kudai haki kivyovyote vile

    Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Zakaria Obad amewataka viongozi wa chama hicho, viongozi wa dini na wananchi kwa ujumla kutokubali kudanganyika na kusaliti mapambano ya kudai haki nchini. Akizungumza na JAMBO TV siku ya Jumatano, Obad amedai siku za hivi...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Sugu: No Reforms haikuanza na CHADEMA. No Reforms walianza nayo wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita

    Wakuu, Akizungumza leo, Sugu amesema kuwa agenda ya No Reforms No Elections haikuanzishwa na CHADEMA bali wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita. Sugu amesema kuwa kwenye Chaguzi zilizopita Wananchi walikataa tamaa kwenye Uchaguzi kwani walianza kukataa kujitokeza kupiga kura Msikilizeni hapa
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Chadema sasa imebaki kuwa chaka la wahuni na wahalifu, tujitenge na genge hili la wahuni tusije kuwasumbua ndugu zetu bure.

    Kwasasa Chadema imebaki kuwa Chaka la wahuni na genga la kupanga na kuratibu mipango ya kihalifu. Hivyo yatupasa tujiepushe na genge hili kwani unaweza kujikuta unaingizwa kwenye matatizo buree halafu ndugu zako wataabike. Tujitenge na hili genge la kihalifu kwa usalama wetu.
  19. JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa Kenya walisema Tundu Lissu sio mtu wa kawaida

    Mungu huzawadia Dunia watu au Viumbe waliobeba kusudi la kuikomboa Jamii au Watu wake, Huwezi kumuona Mungu kwa Macho yako lakini Mungu huonekana kupitia Watu waliobebeshwa jukumuu la kusudi lake. Kasome Mt 2:1-23 SUV. Tundu Lissu anaweza kututafakarisha sana!! Je Lissu ni Binadamu wa kawaida...
  20. JamiiForums Tanzania TBT: Hotuba ya mwisho ya Tundu Lissu kabla hajapigwa risasi

    Hii ilikuwa ni tarehe 07, semptemba 2017 bungeni kabla ya jaribio la kumuua kwa risasi ingawa jaribio hilo liligonga mwamba. Hotuba hii ndiyo iliyochochea sana kutokea kwa jaribio la kumuua kwa maneno yake ya moja kwa moja akionyesha namna viongozi wasivyowawajibikaji na kuwakandamiza wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…