Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Leonce Marto anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa maagizo ya RPC afande Bwire,hajachukuliwa maelezo,kitendo cha kushikiliwa kwa ndg Marto ni Mwendelezo mwa vitendo vya Ukandamizaji, uonevu ukiukaji wa haki za binadamu wanazofanyiwa wapizani.
CCM imeshinda kata, majimbo na Urais majimbo mengi nchini. Tulitegemea kushinda kwao kungepunguza kamatakamata ya wagombea wa upinzani na wale waliochaguliwa wangeanza kutekeleza ilani ila hali ni tofauti kwa ground.
Imeanza kuibuka dhana yakuhujumiwa inayotolewa na madawani na wabunge. Mfano...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM ambaye pia ni mbunge wa kuteuliwa leo amepokea wanachama wapya 300 wa CCM wengi wao wakitokea chama kikuu cha upinzani Chadema.
Polepole amewataka wanachama hao wapya kuwa wazalendo na waaminifu kwa taifa.
Source Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Kinachoonekana sasa ni kwa CCM kuitumia nafasi ya ACT Wazalendo kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa huko nchini Zanzibar ,CCM kwa kutumia sura mbalimbali inazojivalisha inaonekana inatumia wanachama wake na wa ndani wa vyama husika kutaka kujenga hoja na kuleta fitina ndani ya vyama vya...
Profesa Baregu na Safari walipotea hewani kwa muda Sasa lakini ghafla baada ya Chadema kuwatimua Wabunge 19 wasomi Hawa wanaonekana kupata nguvu nakuanza kuonyesha imani kubwa kwa Chadema.
Si Hawa tu Bali wasomi wengi wamejitokeza kwenye mitandao kuishabikia Chadema, Je, hii ni ishara kwamba...
Nafasi ya Godbless Lema ya mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini itajazwa lini?
Kama tujuavyo Lema amekimbia nchi kwa madai ya changamoto za kisiasa na kuelekea Kenya kupata hifadhi.
Naomba jibu, kuuliza si ujinga.
Wasaalam ndugu zangu WaTanzania.
Ningependa niende moja kwa moja kwenye mada yangu.Toka ACT WAZALENDO ijiunge na serikali ya Zanzibar kumekuwa na minong'ono mingi sana na kuonekana kama ACT ni wasaliti kwa WATANZANIA.
CHADEMA waliitisha kamati kuu kuwajadili kina MDEE kwa kukubali kuingia...
Spika Ndugai amesema yeye ameshawaapisha wabunge 19 wa Chadema na kwamba kamwe hatawafukuza kwa sababu akiwafukuza dunia nzima itamshangaa na ataingizwa kwenye orodha ya maajabu ya dunia.
Kufuatia kauli hii ya Spika Ndugai kuna haja tena ya Halima Mdee na wenzake 18 kuhangaika kudai kurejeshewa...
Chadema wanasema hawakupeleka majina NEC,nani alipeleka?
NEC wanasema Mnyika kama katibu mkuu aliwapelekea majina tena yaliyopewa baraka na kamati kuu ya Chadema. Hii ni kweli au sio kweli?
Spika anadai hawezi kuvua ubunge wabunge ambao kwa mujibu wa katiba ya JMT sasa hivi hawana chama maana...
Leo jijini Dodoma wameapishwa wabunge wapya wawili walioteuliwa na Rais Magufuli kwenye nafasi zake za wabunge walioteuliwa na Rais, miongoni mwa waliohutubu kwenye hadhara hiyo ni naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dkt. Tulia Ackson ambaye ameelezea umuhimu wa Bunge kuwa karibu na...
Kamati kuu ya CHADEMA na Tundu Lissu akiwemo iliteua jina la mgombea Urais wa Zanzibar na baadaye likapitishwa na Kikao cha Baraza Kuu Tundu Lissu akiwemo pia.
Wakati wa kampeni Tundu Lissu akabadili gia angani na kulitangazia taifa kuwa yeye anamuunga mkono mgombea urais kupitia ACT Wazalendo...
Mada inahusika,
Ujumbe huu unawahusu wana mageuzi wa Kweli wa CHADEMA na GT pekee na sio wafia chama na wapiga debe.
Kuifahamu historia ya mapambano ya Zanzibar walau kuanzia 1995 hadi sasa
Vyovyote iwavyo huwezi kuacha mchango wa Maalim Seif na wanamageuzi wenzake. Tafakarini nguvu ya...
WanaJF, Salaam!
Nimefuatilia kwa takriban miaka sita (6) hivi humu kwenye jamvi huru la siasa. Ukijitokeza kusifia, kuunga mkono jitihada za Serikali inapofanya jambo zuri i.e Ujenzi wa vivuko Busisi - Sengerema, ujenzi wa barabara za lami, ujenzi wa vituo vya afya, uteuzi wa wapinzani...
Wakili wa kujitegemea, Profesa Abdallah Safari ameishauri CHADEMA kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya uhalali wa ubunge wa makada 19 wa chama hicho walioadhibiwa baada ya kwenda kuapa kuwa wabunge wa viti maalum na kutotokea mbele ya Kamati Kuu kujieleza.
Wanachama hao, ambao ni pamoja na...
Kiukweli ukipita humu mitandaoni utaona namna wafuasi wa CHADEMA walivyoumia kwa sababu tu ACT-Wazalendo wamejiunga na SUK huko Zanzibar.
Binafsi najiuliza kwanini waumie wafuasi wa CHADEMA badala ya wale wa CUF ambao ndio wameizaa ACT-Wazalendo ya Zanzibar?
Mbona CHADEMA imeteua Wabunge wa...
Hii ndio taarifa iliyozagaa Mkoani Pwani baada ya Jeshi la Polisi Mkoani humo kumkamata kwa style ya kumteka Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bagamoyo Mh Mathayo Torongei na kumnyima dhamana kwa zaidi ya siku 7 na kugoma kumpeleka Mahakamani , jambo ambalo ni kinyume cha sheria za nchi .
Mpaka...
Mwenzako akinyolewa we tia maji, ndio wahenga walisema.
Leo tumeshuhudia jambo moja la ajabu sana kwenye historia ya Tanzania, Zitto Kabwe na chama chake pamoja na kutuaminisha kuwa watu walimwaga damu kwa ajili ya Act wazalendo amelainika na kukubali kujiunga kwenye SUK.
Dalili zinaonyesha...
Waswahili wana msemo: "atafutae hachoki, akichoka amepata". Msemo huu utajidhirisha huko Zanzibar kuanzia sasa ambapo Wazanzibar wanaotafuta ukombozi kwa mara ya pili, watatafuta ukombozi huo kupitia chama tofauti na ACT-Wazalendo na chama pekee kitakuwa ni CHADEMA unless CHADEMA nao waonyeshe...
Tunajua kuwa sheria mama ya nchi hii ni Katiba ya Jamhuri wa Muungano, 1977, ambapo kila mwananchi anapaswa kuiheshimu na kuitii.
Viongozi wakuu wa serikali wanaapishwa kwa kuilinda Katiba hiyo kabla hatujawakabidhi madaraka hayo.
Katika kile tunachokiona watanzania kwa sasa kuona viongozi...
Kiukweli Chadema wana mchango wa kutosha katika serikali yetu na hasa katika level ya uwaziri.
Mawaziri wafuatao wamewahi kutumika pale Ufipa katika level tofauti za uongozi kwa nyakati tofauti tofauti.
1. Prof Kitila Mkumbo
2. Mh Pauline Gekui
3. Mh Patrobas Katambi
4. Dr Godwin Mollel
5...