chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Hivi Chadema bado ipo?

    Wanajishughulisha na nini kwa sasa baada ya kuachana na masuala ya kisiasa na kua kituo cha mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi katika eneo la maziwa makuu? Na je, shughuli zao hizo za ukuwadi wa mabwenyenye ya magharibi bado wanazifanyia Nairobi au wamezihamishia DRC? Na wale vijana...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA isipojirekebisha, ina hatari ya kuwa kama kuku aliyekatwa kichwa

    Chadema iko katika hali mbaya mno kwa sasa, imefika wakati vijana ambao ndio tegemeo la chama wamekuwa wendawazimu, TWAHA MWAIPAYA badala ya kujenga hoja na kukosoa kwa fact Leo Twaha, ameshindwa kutofautisha maendeleo ya awamu ya sita na kipindi awamu ya tatu ya serikali ilipokuwa inaanzisha...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA ikifufuka tena ndani ya hii miaka 10 kuanzia 2025- 2035 nitagawa kila ninachomiliki kwa wenye uhitaji na nitaacha kazi

    Haijalishi wananchi wataipenda CCM au wataichukia kama wanavyoichukia sasa ila CHADEMA ndio basi tena imekufa.. Siasa ni mchezo mchafu na CHADEMA wamepigwa kijanja wamezima mazima. Kwa miongo takribani miwili wananchi waliiona CHADEMA kama kimbilio lakini tangu October 29 masaibu waliyopitia...
  4. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kanda ya Serengeti yataka Polisi kutoa maelezo ya wazi kuhusu matumizi ya Mabomu dhidi ya BAWACHA siku ya wanawake Duniani

    Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Serengeti imelitaka Jeshi la Polisi kutoa maelezo ya wazi na ya kina kwa umma kufuatia uamuzi wake wa kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanawake wa chama hicho na waumini katika eneo la Kanisa Katoliki Jimbo la Musoma...
  5. JamiiForums Tanzania Tumtengeneze Mwigulu kuwa Rais bora ajae

    Ninaziona kwake dalili njema za yeye kuwa Rais ajae. Sijui wewe kama huzioni. https://www.youtube.com/live/J_snXwqMPgU?si=9KenaV6X_GGepwnA
  6. JamiiForums Tanzania Athari za kukiuka sheria zaitesa CHADEMA kwenye medani ya siasa za Tanzania

    Kwa maoni ya wabobevu katika siasa za Tanzania, wanaeleza bayana kwamba chama hicho kamwe hakiwezi kuamka wala kufurukuta tena kisiasa nchini Tanzania, na wala hakiaminiki tena mbele ya umma. CHADEMA imekua kituo cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kumechefua wanazuoni wengi, na pia...
  7. JamiiForums Tanzania Vibaraka wanaisambaratisha nchi lakini CCM wapo bize na CHADEMA

    Wakati vibaraka wa mabeberu wanasaini mikataba ya hovyo hovyo inayowatia hasara watanzania na Tanzania, chama kinachoongoza nchi Kiko bize kuishambulia CHADEMA. Wakati mabilioni ya fedha za umma yanaibwa ama na watumishi wa umma au watu binafsi, CCM iko bize kupambana na BAWACHA. Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Shutuma mpya kwa CHADEMA, wanachama wa Zanzibar wanadai Ruzuku pamoja na kupinga ubaguzi wa Dini, Ukabila & Muungano

    Shutuma mpya kutoka kwa CHADEMA Zanzibar wanadia kuwa CHADEMA haipeleki Ruzuku Zanzibar Wanachama wa Zanzibar hawaishii hapo vilevile wanadai kuwa CHADEMA imekithiri ubaguzi wa dini wakidai kuwa tangu kuanzishwa kwake haijawahi kumpa nafasi ya uenyekiti mwanachama wake wa dini ya Kiislamu...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA ondoeni timu uwanjani tu, ndoto ya demokrasia Tanzania haifikiki bila CCM kugawanyika kutokea ndani

    Nimechukua muda kutafakari historia za kisiasa za Venezuela, Iran, Russia, China n.k pamoja na kuangalia Hali ya kisiasa ya dunia kwa sasa, ukweli mchungu ni kwamba katika nchi yetu ni vigumu sana upinzani halisi kama wa CHADEMA kupambana na kuishinda CCM na kuweza kuleta demokrasia. Ukweli ni...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa CHADEMA walitaka kukutana Musoma na sio Dodoma?

    Wana uhakika kuwa Musoma kuna vijana wakakamavu wengi wa CHADEMA na Ilikuwa wapate wageni kutoka nchi jirani kwa urahisi. Wanasheria wa CHADEMA walipaswa kwenda mahakamani kupata agizo la kisheria kuonyesha kuwa zuio la mahakama limekwisha au la badala ya viongozi wakuu wa chadema kusema zuio...
  11. JamiiForums Tanzania Kihongosi: CHADEMA inakufa, Mbowe katoka wanagombana Mahakamani

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema ushindi wa chama hicho katika chaguzi unatokana na kuwa na mfumo imara na mtandao mpana wa wanachama kuanzia ngazi ya shina hadi taifa. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA Special Thread

    Uzi wa matukio mbalimbali ya CHADEMA . Madhila wanayopitia.. Vita wanazopigana.. Mafanikio wanayopa .. Na namna wanavyomgaragaza adui kwenye kila kona.. Kila saa na kila wakati Karibuni wote! Friends and foes!
  13. JamiiForums Tanzania Vigogo CHADEMA wadaiwa kukiuka amri ya mahakama, wafunguliwa kesi

    : Katika hali isiyotarajiwa, viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaweza kujikuta kwenye wakati mgumu baada ya uwepo wa taarifa zinazodai kuwa wamefunguliwa kesi nyingine ya jinai kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakidaiwa kukiuka...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani kwa Lissu kusema "watakinukisha" CHADEMA tarehe 29 Oktoba ili kitoe harufu yake nzuri Watanzania wote waisikie?

    Mie nashindwa kuwaelewa watu. Wanasema eti Lissu alisema "tutakinukisha" Sasa tatizo liko wapi? Je wanajua Lissu alisema watakinukisha kitu gani? Kukinukisha kitu ni kukifanya kitoe harufu nzuri au mbaya. Sasa hawa watu wanashindwaje kuelewa kwamba Lissu alimaanisha watakinukisha Chadema ili...
  15. JamiiForums Tanzania Dar: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA wazuiliwa tena kuingia Mahakama Kuu

    Salaam, Wananchama na Viongozi wa Chadema wanaowasili katika Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es salaam, kufuatia maombi namba 28922/2025 ya Tundu Lissu akiomba kuunganishwa kwenye kesi ya msingi iliyofunguliwa na said issa Mohamed dhidi ya Bidi ya wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kesho Mahakama itaanza kusikiliza sababu za Lissu kutaka, kuunganishwa kwenye kesi mgawanyo wa mali za CHADEMA

    Mahakama kesho inatarajiwa kuanza kusikiliza hoja za Tundu Lissu kuhusu ombi lake la kuunganishwa katika kesi inayohusu mgawanyo wa mali za chama cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Soma Pia: Mapingamizi dhidi ya Tundu Lissu kuunganishwa katika Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi hali ya CHADEMA ilivyo, iko mbioni kumkumbuka Mbowe

    Njia alizokuwa akitumia Mbowe kuongoza CHADEMA zilikuwa za busara Kawaida binadamu anayetumia busara huonekana kama mjinga lakini mwisho mjinga hujulikana baada ya matokeo Kwahiyo tusubiri matokeo ndipo wabishi na werevu watajulikana
  18. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Said Mohamed: CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu imejikwamisha kisiasa, viongozi waliokuwa na ndoto na matarajio wameondoka kwenye chama

    Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed akiongea na Waandishi wa Habari, leo Machi 5 akizungumzia mazingira ya kisiasa nchini ameeleza kuwa kitendo cha CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu kimepelekea chama kujikwamisha, kwani ili chama...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ukata wa fedha na ugumu wa maisha watesa viongozi wa CHADEMA Taifa

    Hali ya maisha ya viongozi wa kuu wa chadema taifa ni mbaya, inatia huruma na kusikitisha sana. Ni kama vile wametelekezwa, wanapitia maisha magumu na ya fedhea sana kutokana na ukata wa fedha unaokikumba chama hicho kwa sasa. Ikumbukwe kwamba wengi wa viongozi wa kitaifa wa chadema hawana...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Said Mohamed: Kesi ya mgawanyo wa mali za chama niliyofungua ina baraka za viongozi wa CHADEMA Zanzibar

    Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed akiongea na Waandishi wa Habari, leo Machi 5 ameeleza kuwa kesi ya mgawanyo wa mali aliyoifungua ina baraka zote za viongozi wa CHADEMA Zanzibar, kwani anachokipigania na wao ndicho wanapitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…