chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CHADEMA huwa unadharaulika au unaogopwa?

    Mara kwa Mara umeandikiwa barua na Msajili ujieleze kutokana na baadhi ya matamko yako kwa niaba ya chama. Umekuwa ukijibu barua zao,je mrejesho huwa unakuwa nini baada ya kujieleza. Uliwafahamisha Tume ya uchaguzi kutojihusisha na chaguzi zozote na ukawakumbusha kuhusu kujibiwa barua inayohusu...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanavyochangishana kununua chakula mahakamani kesi kina Mbowe

    Wafuasi wa CHADEMA wanaofika katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kufuatilia kesi ya Mwenyekiti wao Freeman Mbowe na wenzake watatu wamebuni utaratibu wa kuandaa na kupata mlo wakiwa mahakamani hapo. Mbowe na wenzake wanakabiliwa na mashtaka sita ya uhujumu uchumi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Vyama pinzani mkibarikiwa kutwaa ushindi uchaguzi mkuu mtatufanyia lipi Wananchi zaidi ya CCM?

    CCM wameshamaliza kila kitu na nchi inazidi kupaa katika ramani ya Dunia kwani chini ya CCM sasa Tanzania inavuma kama upepo wa kusi. Enyi msiosikia ambao mnatamani kukamata Uongozi wa Nchi hii mna lipi jipya la kuwashawishi wananchi ambalo CCM hawajalipitia,hawajalifanya lipi kubwa haswa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tangu vuguvugu la Mzee Lowassa hatuoni wala kusikia tena wimbi la wanaccm kuhamia CHADEMA. Tatizo nini?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kabla ya uchaguzi wa 2015 ilikuwa kawaida sana kwa CHADEMA kupokea mamia ya wanaccm waliokuwa wakieleza wazi kuwa aidha wameichoka CCM au wamevutiwa na CHADEMA. Hali hiyo kwa sasa haipo kabisa badala yake kila mara tunatangaziwa wanachama wa CHADEMA...
  5. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaamini ikipatikana Katiba mpya CCM itaondolewa madarakani kidemokrasia kitu ambacho siyo kweli

    Katiba ina mambo mengi na swala la Tume ya uchaguzi na taratibu zake ni sehemu kipande tu cha katiba. Chadema wanapigania Katiba mpya kwa maslahi ya kimadaraka zaidi na siyo maendeleo ya jamii, ndio maana kilio chao kikuu kimekuwa ni Tume huru ya uchaguzi. Niwakumbushe tu Chadema kuwa Katiba...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi kesi ndogo ndani ya kesi kubwa ya Ugaidi kuhusu nyaraka mawakili wa CHADEMA kwanini wanazing'ang'ania wakati wanajua hawawezi kuzishinda?

    Kwanza nimeona kabisa Mara tatu mfululizo akinakibatala wanadondokea pia kwenye maamuzi hayo. Kuna mazingira ambayo lazma wayasome. Kwenye mapingamizi yao ikitokea upungufu ata punje lazma wapigwe chini. Lakini jamuhuri makosa yao huweza tu kuchukuliwa NI ya kawaida kabisa. Kesi ya kwanza...
  7. JamiiForums Tanzania FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

    ||FY2021|22 Rais Samia kutoa Jumla ya Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma yaliyoaachwa na mtangulizi wale, === Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya ameendelea kulipa madeni mbalimbali kwa makampuni binafsi au taasisi. Kwakuanzia tu mwaka huu pekee Rais Samia analipa madeni yenye thamani ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoto ya CHADEMA ya muda mrefu ya kushika dola wananchi wameinyonga mpaka kufa (Part 1)

    Amani iwe nanyi wana JF, Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kijenotyipia ( ki-mtazamo wa ndani ) kimeshakufa kibudu ila kifenotyipia ( ki-mtazamo wa nje ) bado kinaishi hali hii ilishawahi kuvikumba vyama vya National Convention for Constitutional Reform ( NCCR -Mageuzi ) baada...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sasa CHADEMA kwenda mbali zaidi na kuanza kujipanga kususia muhimili mwingine ambao ni Mahakama

    Wakati CHADEMA kikiwa kime susa mara kadhaa katika muhimili wa Bunge sasa kimeamua kwenda kuonyesha umaahili huo katika muhimili wa pili ambao ni mahakama. Tabia hii au sera hii kwa chama hicho kikubwa cha upinzani huko bungeni ilikuwa kususa na kuweka plasta midomoni. Sera hii ambayo labda...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA yathibitisha kutoshiriki uchaguzi mdogo Ngorongoro, hadi Tume Huru ya Uchaguzi itakapopatikana

    Taarifa kwa Umma Katibu Mkuu John Mnyika ameiandikia barua Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuitaarifu rasmi kuwa Chadema hakitashiriki uchaguzi wa marudio wa ubunge kwenye Jimbo la Ngorongoro na kata saba na badala yake amesisitiza kutaka iundwe Tume Huru ya Uchaguzi itakayohakikisha chaguzi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Mbowe na viongozi wa CHADEMA msiposikiliza ushauri wa Godbless Lema anaeshauri muondoe mawakili mahakamani, mtakuja kujiulaumu sana

    Siku chache zilizopita, nilileta mada hapa niki-suggest Mbowe aacha kujitetea mbele ya hizi mahakama zetu kutokana na mwenendo mzima wa hii kesi. Leo hii kupitia You tube, nimemsikia Godbless Lema akimshauri Mbowe aondoe mawakili na akae kimya mahakamani ili wafanye kile wanachokita. Lema pia...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ni nini hiki wanachokifanya Vijana wa CHADEMA?

    Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo? mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi, tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo kwa hali hii mimi...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA na ACT Wazalendo ni wanafiki sana tunahitaji chama kipya cha siasa

    Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi. Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu. CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tumpe zawadi iliyo bora Freeman Mbowe

    Kwanza hongereni sana wale majasiri wote wa CHADEMA wanaofanya kazi takatifu ya kuwapa elimu wananchi juu ya haki yao ya kuwa na katiba bora itakayolenga kulinda haki zao. Mheshimiwa Mbowe, yupo ndani kwa sababu ya kuongoza mapambano ya kupata katiba mpya. Waliomkamata Mbowe na kumfungia huko...
  15. JamiiForums Tanzania John Heche aongoza Usajili wa CHADEMA Digital Bulyankhulu

    Ndio kama tulivyosema toka awali kwamba hakuna kijiji kitakachoachwa, sisi na Wananchi wao na Polisi.
  16. JamiiForums Tanzania Kyela: Wazee waanza kujisajili CHADEMA Digital kwa kishindo

    Hali hii imeanza kuleta mashaka ndani ya chama cha zamani baada ya mtaji wake wa miaka mingi ambao ni wazee kuanza kumeguka kwa kasi . Shida kubwa inayoikumba ccm Kyela ni sera yake mbovu ya kurudisha vyama vya Ushirika vinavyowakopa wakulima mazao yao ikiwemo cocoa , badala ya makampuni...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Sera ya Bima ya Afya kwa Wote ni ya CCM au CHADEMA?

    Kuna baadhi ya makamanda wameniambia sera ya Bima ya Afya kwa Wote ni ya Chadema na kwamba Hayati Magufuli aliikopa kutoka Ufipa akaitia kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM. Mimi naamini hii ni sera ya CCM na imekuwepo tangia mzee Wassira akiwa ndiye mratibu wa ilani ya chama. Wanaojua zaidi...
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi 18 wa CHADEMA walioshitakiwa kwa kesi ya Mauaji Tunduma waachiwa huru

    Tumesema mara nyingi humu JF na kwingineko kuhusu unyama unaofanywa na serikali ya Tanzania kwa kulitumia Jeshi la Polisi kuwanyanyasa viongozi na wanachama wa Chadema , kwa kuwabambikia kesi za uongo ili kuiokoa ccm , lakini tukaishia kubezwa , kutukanwa na kusimangwa . Leo Viongozi 18 wa...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Semina za CHADEMA Digital zaendelea huko Solwa, Shinyanga

    Wakuu kwanza tunaomba radhi sana kwa kuwachosha na hizi habari zetu za Chadema Digital, tunaomba tuvumiliane kidogo. Hapa ni kijiji cha Mwantini kwenye Jimbo la Solwa huko Shinyanga ambako semina za Chadema Digital zinaendelea.
  20. JamiiForums Tanzania Chama kipya cha Siasa kinachoitwa "Umoja Party" kuanzishwa

    Chama Kipya Kinakuja, Kinaitwa Umoja Party...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…