chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. E

    JamiiForums Tanzania Mizizioloji? Pamoja na mvua kubwa kila kona ya Nchi watu wanajitokeza kwa wingi kwenye maandamono ya Chadema

    Mvua zinatandika kila kona ya nchi na huu ni msimu wa kilimo...Chadema wameitisha Maandamano watu wananyookea maandamano kama nzige ni Miziziolojoji? Huku Manyara leo mashamba yako likizo wakulima wamemfuata Lissu Chadema punguzeni spidi watu wakonsetreti kwenye Kilimo Muungano hoyee
  2. JamiiForums Tanzania Kwa hali inavyoonyesha CHADEMA kwa sasa

    Bila kuungana na vyama vingine dhidi ya CCM madhubuti sana kwa sasa, watapata aibu kubwa sana kwa kushindwa kwa fedheha sana, kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024, kakini pia watashindwa vibaya mno uchaguzi mkuu2025. Kama hiyo haitoshi, ubinafsi, kutokuaminiana, uchu na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnavyokumbatia watu wanaotukana mtandaoni inawafanya muonekane chama cha kihuni

    Kuna watu kama Kigogo, Mange, Sukununu n.k ni watu ambao walivuma wakiitukana viongozi mtandaoni na kupata umaarufu kwa nyakati tofauti, na viongozi na wanachama wa CHADEMA wamekuwa wakidandia upepo wao japo baadae watu hawa wanakuja kuwageuka na kuwatukana na kudhalilisha viongozi wa CHADEMA...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko

    Taarifa hii ya Kibinadamu imetolewa na Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini Aman Golugwa , na kwamba Chama hicho kitaendelea na Ratiba ya Maandamano kwenye Maeneo mengine. Tundu Lissu ndiye aliyepangwa na Chama hicho kuzindua Wiki ya Maandamano Karatu. Pia soma: Chalamila: Sina taarifa za...
  5. JamiiForums Tanzania USHAURI: CHADEMA Mkitaka Kuinuka Tena Kwenye Siasa Mpeni Huyu "Sheikh Ally Mohamedi Kadogoo" UKatibu Muenezi wa Chama Mtafika Mbali na Mtaheshimika

    Sikuwahi kufatilia Mikutano ya CHADEMA kwa Uangalifu kwa sababu Najua Mikutano yao Mingi Huwa ni Malalamiko na kashfa na hasa wengi Kushindwa kujibu hoja na Asilimia Kubwa kuwa waropokaji.. Japo Kuna watu makini Ndani ya Vijana hao wa chama Siwezi kukataa kuna watu au Vijana makini na Wanahoja...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Polisi watia fora maandamano CHADEMA: Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui!

    Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui! Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa na mkoa wa Kagera wakiongozwa na askari polisi katika maandamano ya amani katika Kata ya Kashai, Hamgembe, Bilele Rwamishenye, Manispaa ya Bukoba.
  7. JamiiForums Tanzania Maandamano ya Chadema yaanza kuiunguza CCM, Viongozi wake waweweseka

    Tlulionya Mapema sana kwamba haya maandamano ya Chadema yataleta madhara makubwa sana lakini tukapuuzwa . Ikiwa ndio kwanza yameanza leo , Tayari viongozi wa ccm washaanza kutoa machozi ya damu . Hebu mwangalieni Pedeshee Amos Makalla akilalamika huko Mbinga.
  8. JamiiForums Tanzania Kagera : Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema

    Leo ikiwa ni siku ya Kwanza ya Maandamano ya Amani , ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania , yaliyoandaliwa na Chadema , na ambayo yanatarajiwa kufanyika kote Duniani , Tumejipanga kuunganisha na matukio yote kutoka kote duniani . Usiondoke JF kwa Taarifa za...
  9. JamiiForums Tanzania Wenje na Chief wanaongelea makubaliano chadema na polisi juu ya maandamano yao

    Katika mahojiano yaliyofanywa kati ya kituo kimoja cha TV mtandao na kiongozi wa Chadema kanda ya ziwa Ezekiel Wenje na chief kalumuna wa chadema kagera ni kywa wamekubalina na polisi juu ya kulinda maandamano yao ya april 22 mjini bukoba na kuwa njia walizoruhusiwa kupita ni kutoka kashai...
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa abainisha kuwa hakuna mpango wa kugombea uongozi ngazi ya taifa

    17 April 2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa mchungaji Peter Msigwa abainisha kuwa hakuna mpango wa kugombea uongozi ngazi ya taifa.... Mch. Msigwa asisitiza viongozi wa CHADEMA Taifa wasichafuliwe kuwa wana wagombea wa kanda na mikoa mfukoni, bali wagombea ngazi za kanda na mkoa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA kufanyika Oktoba 2024

    Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Uchaguzi wa viongozi wa ngazi ya Kitaifa wa Chadema utafanyika mwezi wa 10, 2024, hii ni baada ya kumalizika kwa Chaguzi zingine zote za Chama hicho katika ngazi zote za chini. Taarifa hii nzuri imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho Benson Kigaila...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe awashukuru Wajumbe kwa kumuamini miaka mitano tena

    Njombe, Tanzania CHADEMA MKOA WA NJOMBE WAMALIZA UCHAGUZI Mwenyekiti wa CHADEMA aliyechaguliwa tena kwa miaka mingine 5 kamanda Rose Mayemba awashukuru kwa kumuamini na kumchagua tena kuwa mwenyekiti wa mkoa. Miaka mitano iliyopita CHADEMA iliweza kusimama imara wakati mgumu wa mikutano na...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Upinzani hasa CHADEMA toeni neno kuhusiana na matamshi ya huyu kijana wa UVCCM Bokoba, haya siyo ya kudharau

    Amesema watawapoteza wanaomtukana Samia. Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini! Hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi. Na as long as wana vyombo vya ukandamizaji msidharau kauli hizi.
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Uchaguzi wa Kanda za CHADEMA una msisimko mkubwa kiasi hiki?

    Niko kwenye Chama hiki kwa miaka yote na nashuhudia Chaguzi nyingi sana za ndani, lakini kiukweli sijawahi kuona Uchaguzi wa ndani ya Chama hiki ulio na msisimko kama uchaguzi wa mwaka huu, na hasa kwenye ngazi ya Kanda. Naomba sana Busara itawale ili Chama kisipasuke Angalia mambo haya.
  15. JamiiForums Tanzania Je, Mwanaharakati huru Musiba ni role model wa vijana wa CHADEMA?

    Sio masikhara kuhusu hili swali. Inawezekana mwanaharakati huru Cprin Musiba ni mtu anayehusudiwa (role model) na vijana wa chama cha Mbowe (CCM B). Kwanini natamka hivi? Kwanza ikumbukwe mwanaharakati huru alikuwa akitukana yeyote aliyehisi ni kikwazo kwenye utawala wa awamu ya 5. Tumeona...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtifuano wa Uchaguzi wa CHADEMA kwenye Kanda usipime. Hakuna mwenye uhakika wa kushinda

    Hii ndio Taarifa ya sasa inayozunguka kila mahali. === Pazia la uchukuaji na urejeshaji fomu za kusaka uongozi katika kanda nne za kiuongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), linafunguliwa rasmi leo Ijumaa Aprili 12 hadi 22, saa 10 alasiri. Nafasi zinazowaniwa ni mwenyekiti na...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna tume ya kukabiliana na maafa, matokeo yake hakuna uwajibikaji. Waziri Mkuu Simamia sheria ya maafa uunde timu husika mapema

    Vijana wa chadema walipokwenda Rufiji Mkuu wa wilaya alijibu kimzaa kwamba tatizo siyo kubwa. Waliposema wataanza kurusha picha za hali ilivyo serikali imeshtuka imepeleka mawazri na watendaji wengine wengi. Serikali inachokosa ni TUME YA KUKABILIANA NA MAJANGA; Duniani kote walipofanikiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ninafurahishwa sana na vita ya wenyewe kwa wenyewe mtandaoni baina ya makada wa CHADEMA. CCM itatawala kwa miaka mingi sana

    Ni jambo ambalo limenifanya nifurahie sana hii sikukuu ya Eid. Huko X (Twitter) kuna vita kali baina ya makada wa chama cha Mbowe. It's Fredy Justine against Ntobi & Martin Maranja. Vita ni kali sana. Ntobi na MMM wanaporomosha matusi mazito kwa kada mwenzao Fred ambapo Fred nae hajakaa kinyonge...
  19. JamiiForums Tanzania Tuhuma za wanaharakati wa CHADEMA kupewa pesa na viongozi wa CCM zinaenda kukizamisha chama, Martin Maranja atajwa

    Nanukuu alichoandika mjumbe wa bavicha, kamanda Faustine "….. waraka wa Wazi kwa Martin Maranja Masese, MMM na Watu wote. Mwenyekiti wetu wa Chadema Taifa (my role model) alipo ona opportunity ndogo ya kuketi na kuzungumza na Samia namna bora ya kuleta mabadiliko ya kimfumo na upatikanaji wa...
  20. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya apongezwa

    Wadau mbalimbali kote Duniani Wamempongeza Mwenyekiti mpya wa Chadema Mkoa wa Mbeya . Baadhi hawa hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…