chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema wameamua kujifunga goli wao wenyewe

    Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi. Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Afande Sele awachana CHADEMA

    Sikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA hapa; "Nyie wapumbavu lazima muongeleswe kipumbavu, machadema nyie ni mapumbavu kabisa kabisa bora vyama vingine vijipange vitaitwa upinzani sio nyinyi wapumbavu. Nyinyi wapumbavu ndio tulikuwa tunaongea pamoja tukiwa CHADEMA, tunajenga CHADEMA mimi...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti CHADEMA ni paka na panya

    Vita ya urais kati ya Lissu na Mbowe yaipasua CHADEMA. Mgogoro mkubwa wa madaraka waibuka kuwania ugombea urais 2025 Lissu akianika chama chake hadharani, asema CHADEMA imekithiri rushwa. Ashutumu uongozi wa chama kumnyima pesa za maandamano na mikutano ya hadhara ======== Mei 3, 2024 Na...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu kufanya mapinduzi CHADEMA kuwavuta Mwabukusi, Dkt Slaa na Mpina

    Pafukapo moshi ujue kuna moto, Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti. Kikao chao cha siri inasemakana ameona Mbowe ni kikwazo chama kukamata dola hata kama sio kukamata ila chama...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chaguzi za CHADEMA zaingiliwa na rushwa kama za CCM

    Sasa wananchi tukimbilie chama gani? https://twitter.com/Tanzaniawall/status/1786251731120058804?s=19
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Sijui ilikuwaje CHADEMA tukamualika Rais Samia, ila mbeleni tutaelezana

    Akiwa mkoani Iringa katika mkutano wa hadhara Lissu amesema hajui ilikuwaje CHADEMA ikamualika mama kwenye mkutano wa CHADEMA maana huwa hawaji wenyewe ni mpaka waalikwe. Aidha Lissu amewatahadharisha wanaCHADEMA kuwa makini maana kwenye uchaguzi wa ndani ya Chama kuna hela nyingi inatumika...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA mnawafia, mnawatetea watu walio kufa, tufufuke watanganyika tupaze sauti, tuandamane serikali ijue kuwa sisi ndio wenye nchi

    Kazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui. Nyerere alimwaga sumu sana kwa hawa watanzania, sasa ni kama maiti/mizoga isiyokuwa na uhai wa kutambua kuwa wana haki ya kuihoji...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mdomo wa Lissu haujawahi kuwa na adabu wala hekima

    Ndugu zangu Watanzania, Huwa nashangaa sana ni vipi Lissu ni kiongozi ndani ya CHADEMA, ni vipi watu wenye akili timamu na wanaojitambua wanaweza kumpatia Lissu uongozi wa juu wa chama, nafasi inayohitaji mtu mwenye hekima, busara, staha na nidhamu ya kiuongozi? Ni vipi chama kikuu cha...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Rushwa na uchaguzi wa CHADEMA

    Nimemsikiliza Lissu akikemea Rushwa ya uchaguzi wa ndani Chadema akiwa Iringa na kisha akatoa tahadhari ya pesa iliyopenyezwa kutoka nje ya mfumo, je hili limekaaje,hebu tutafakari pamoja alikusudia nini?
  10. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hizi pesa zinazotumika kuchafua chaguzi za CHADEMA, zimeingia kupitia "Mlangoni" au " Dirishani"

    Salaam, Shalom!! Amesikika Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akitahadharisha wanachama wa CHADEMA kuwa makini sababu tayari Kuna pesa zimeingia kuchafua chaguzi ndani ya chama. Amedai pesa za kuandaa mikutano ndani ya chama imekuwa ikipatikana Kwa taabu, lakini Cha kushangaza, katika...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

    Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani? Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na mamake zitatuangamiza. Chagueni viongozi ambao hawatatuangamiza. Kuweni macho na hizo pesa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kutokana na Vita vya Gaza: Uchaguzi utakuwa mgumu kwa wapinzani 2025, CHADEMA ijpange

    Tumezoea mataifa makubwa kama MAREKANI inapokaribia uchaguzi wakati wa Uchaguzi kuingilia kati na kutoa statement mbali mbali na kwa kiasi inasaidia watawala kupunguza kasi dhidi ya upinzani. lakini kutokana na ukandamizaji wanafunzi huko amerika na Polisi kutumia nguvu nyingi kinyume ca...
  13. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kukosa neno, utawala wa Sheria Migomo Marekani; ni Pigo kwa Chama, na pia kwa Ukombozi!

    1. Kwamba kinachoendelea Marekani ni jitihada za Serikali ya huko kupinga haki ya watu kujieleza?! 2. Kutokuheshimiwa huku kwa wazi kwa misingi ya kawaida kabisa ya utawala wa sheria, ni wa kulaaniwa vilivyo na kila mtu na hasa mtanzania aliye mzalendo. 3. Kwamba CHADEMA chama tegemeo kwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema na CCM msituhamishie kwenye Muungano Tunahitaji Tume huru ya Uchaguzi

    Hayo malumbano yamekaa kimarekani mmetutoa Ukrane mkatupeleka gaza na sasa mnatuelkeza Iran. Muungano uwepo usiwepo tunahitaji tume huru ya Uchaguzi,mmetutoa kwenye Katiba mkatupeleka kwenye bandari sasa dira inaonyesha mnatupekecha kwenye Muungano. Uchaguzi umebakia miezi tu ,hatuoni fununu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 2025 patachimbika kwa moto huu, CHADEMA muwe na mipango hii ya kuingia Ikulu

    Naona moto wa Chadema (Tundu Lissu) umewaka Tanzania nzima. Naona huu moto ni kama ule wa vijana wa Senegal Marais wa sasa (Rais na makamo wake) walivyo uwasha moto mpaka wakaingia ikulu ya Senegal. Cha kufanya CHADEMA ni kutokulaza damu kuanzia sasa hivi mpaka uchaguzi mkuu 2025. 1. Maandamano...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Maandamano CHADEMA: Moshi kwafukuta, CHADEMA yazizima, kweli watu wamechoshwa na CCM na serikali yake

    CHADEMA wamefanikiwa sana hapa Moshi kusimamisha mji mzima, ni matarumbeta, makelele, hamasa kila kona ya mji. Watu wamesimamisha shughuli zote na kuunga mkono juhudi za CHAMA. Asante sana wana Moshi mmeonesha njia!
  17. JamiiForums Tanzania Morogoro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA yanayoongozwa na Tundu Lissu

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi. Mapema asubuhi wananchi walipoanza kukusanyika. Usiondoke JF kwa vile kuna mengi...
  18. JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri Maandamano ya CHADEMA yanafuatiliwa na kila Mtanzania

    Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya kuhusu maandamano hayo, huku wengine wakiyaita matembezi ya mshikamano, Jogging, matembezi ya...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari. Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere aonyesha uzalendo kwa kupongeza mambo makubwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya 6

    Kina Erythrocyte na Mdude wana jambo la kujifunza. Yericko kaandika hivi huko Facebook; Kuna juhudi flani za kiuchumi katika ukanda zinazofanywa na Tanzania zinanifanya nipongeze mfumo kwa kiasi chake, katika hili nasema hongera sana Tanzania! Sasa tupambane miundombinu kama SGR ifike Kongo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…