chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi Jeshi la Polisi linavyoendeleza vitendo vya kukikandamiza chama Cha Chadema, ndivyo wanavyokiongezea umaarufu

    Nakumbuka Kwenye ule mwaka wa mwanzoni ya 2000, aliyekuwa IGP wa wakati ule, Omari Mahita, alijitokeza mbele ya waandishi wa habari na kudai kuwa wamekamata "container" lenye visu vya chama Cha CUF, ambavyo vimepakwa rangi za bendera ya Chama Chao, ambazo alidai kuwa chama hicho Cha CUF...
  2. JamiiForums Tanzania Ni lini CHADEMA wataacha kutegemea hisia na huruma za wananchi kushinda uchaguzi badala ya hoja, mipango na mikakati ya maendeleo kwa Watanzania

    Ni muda mrefu sasa tangu chama hiki cha kisiasa kimekua ni taasisi iliyokosa uelekeo na kupoteza malengo na misingi ya kuanzishwa kwake, na kuamua sasa kutegemea sana propaganda za hisia kali zenye kutia huruma kwa wananchi ili kuleta taharuki, kuwavutia na kuwahadaa wananchi kanakwamba chadema...
  3. JamiiForums Tanzania Siri za Wazi: CHADEMA sio perfect kama vile CCM isivyo perfect

    Salaam! Nafurahi kuwaona tena wengi wenu mkiendelea kujadili na kuchambua mambo mengi – hasa siasa. Naendelea kuipongeza JF kwa kuendelea kuwa Jukwaa bora na huru kwa mambo ya kisiasa katika nchi yetu, licha ya changamoto nyingi ambazo imepitia. UTANGULIZI Kwanza kabisa nitambue uwepo wa...
  4. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo na CHADEMA kukutana kujadili hali ya Siasa nchini

    Makatibu Wakuu wa vyama vya Upinzani Tanzania (ACT Wazalendo na CHADEMA wanapanga kukutana na kujadili hali ya kisiasa nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ado Shaibu, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ameandika kupitia X (Twitter) "|Nimezungumza kwa simu na @jjmnyika, Katibu Mkuu wa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu strikes again- Yatupilia mbali kesi ya watu 120 wanaopinga kuhamishwa kupisha hifadhi Mbeya- wakitetewa na Mwabukusi

    Mwabukusi apigwa na kitu kizito! Mwendo ule ule! kama wa Dyansobera! Mwenye kujua kimombo asome mwenyewe Kesi imetupiliwa mbali kwa vile eneo bishaniwe halikuwekwa bayana kuweza kulitambua ukubwa wake MY POINT IS: Bila kificho, High court ni kituko , takataka tupu! NI SERVANT OF THE EXECUTIVE...
  6. JamiiForums Tanzania Badala ya Polisi kuwanasa na kuwakamata wapanga uhalifu, inawapa tahadhari. CHADEMA yajibu

    Polisi wamekuja na mkakati mpya wa ajabu na wa kujivua nguo kuonesha kushindwa kwao kufanya jukumu lao la kikatiba na kisheria la KULINDA USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO. Sasa wanatafuta namna ya kutoka ktk aibu na fedheha waliyojibebesha wao wenyewe kwa kukubali kurubuniwa kwa kununuliwa na...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kulifungulia Jeshi la Polisi kesi ya madai kwa kuchafuliwa

    Wanasheria wa CHADEMA wafungue kesi ya madai (defamation case) mahakamani. 1. Wahoji huo mkutano uliofanyika kwa njia ya mtandao (zoom) ulifanyika lini. 2. Polisi waonyeshe video clip ya mkutano huo. 3. Ni viongozi gani wa CHADEMA walihusika. 4. Hao Vijana 20 wanaoandaliwa kuvamia vituo vya...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA yakanusha madai ya kupanga njama kufanya matendo ya uhalifu

    Polisi wametoa taarifa leo walizoita za uhakika kwamba wamepata taarifa Viongozi wa CHADEMA wamefanya kikao kwa njia ya zoom na kuhamasisha Wafuasi wetu kwenda Ofisi mbalimbali za Serikali na kuhamasisha Vijana kwenda Vituo vya Polisi na wakasema atakayekwenda kwenye Vituo vya Polisi...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Onyo la Polisi ni mkakati wa makusudi wa Polisi kutafuta kisingizio cha kukamata na kutesa Wanachadema

    Baada ya onyo la Polisi dhidi ya Wanachama wa CHADEMA waliodaiwa kuwa na mipango ya kuvamia vituo vya Polisi, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amesema hatua hiyo ni shambulio jingine la kizushi na chuki dhidi ya CHADEMA na viongozi wake na kuwa ni mkakati wa makusudi wa Polisi wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nimepitia Hotuba zote za mchungaji Msigwa kuhusu CHADEMA na kama anayosema ni kweli lazima Polisi wataifuatilia kwa makini!

    Mchungaji Msigwa alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA kwa Miaka zaidi ya 10 hivyo ni Wazi anajua Uovu mwingi wa Chama hicho na mapolisi na Wananchi watamuamini tu. Komredi Makalla alitumia akili kubwa kumvuna mchungaji Msigwa Kutoka CHADEMA kwa wakati sahihi kabisa kwa sababu ataeleza Siri...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi: Tumepata taarifa CHADEMA wanapanga Maandamano na Kuvamia Vituo vya Polisi Dar kwa wakati mmoja

    TAARIFA KWA UMMA Agosti 28, 2024 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitoa maamuzi yakekuhusiana na_ shauri lililowasilishwa mbele yake ambapo miongoni mwamaamuzi iliyotoa ni pamoja na kutoa amri kwa Jeshi la Polisi kufanya upelelezi kujua mahali walipo Viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika kapwaya sana Ukatibu Mkuu CHADEMA, nashauri aachie ngazi mara moja kwa heshima, itamsaidia zaidi kisiasa baadae

    Nafasi ya uwakilishi, mathalani udiwani n.k inamfaa zaidi kuliko pale alipo sasa, halafu mbaya zaidi kuna uwezekano mkubwa akatoswa baada ya uchaguzi ndani ya chadema kumalizika baadae mwaka huu. Kuliko kusubiri fedheha hiyo itakayo muathiri kisiasa, Busara imuelekeze kuachia ngazi kulinda...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa Halima Mdee, kurudi CHADEMA ni kujidanganya

    Ukiangalia account zote za wapinzani utakuta picha ya Free nani, Free nani, kwa Mdee yeye kwake picha za simba na Yanga. Naamini 100% mdee hata akisamehewa basi ni kujidanganya, moyo haupo kabisa upizani. bora tu uwende CCM ukamlizie siasa zako, maana CCM tupo wengi kwenye foleni tunataka nafasi
  14. JamiiForums Tanzania Madai ya Upendeleo na Rushwa Katika Uchaguzi wa CHADEMA Jimbo la Hai

    Katika hali inayoibua maswali mengi kuhusu uwazi na haki ndani ya chama cha CHADEMA, mtoto wa Freeman Mbowe, kiongozi wa chama hicho, ameonekana kupendelewa katika uchaguzi wa ndani wa Jimbo la Hai. Taarifa zinadai kwamba viongozi wa juu wa jimbo hilo walihusika moja kwa moja katika kuhakikisha...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: CCM kukataliwa mkutano wao Ngorongoro ni Maigizo

    “Kwenye suala la Ngorongoro, ilitakiwa twende huko kesho Ijumaa kwenye Mkutano, tuliomba mikutano mitatu, Makalla (Mwenezi wa CCM Taifa) alivyoona akatoa ratiba ya mkutano, nikamwambia Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini kuwa Makalla ameitoa hiyo ratiba makusudi, hawa wana mpango wa kutunyima...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema azungumzia matukio ya utekaji na Wamaasai kuondolewa Ngorongoro; Atamani Simba na Yanga zisingekuwepo

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless amesema "ameona juzi kuna mbunge ndani ya Bunge ametaka Bunge lijadili masuala ya watu kupotea na kutekwa, spika anazuia mjadala wa watu kutekwa, lile halina uhalisia wa bunge. Huwezi kuwa na bunge ambalo...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA

    Kauli ya Tundu Lissu kwamba "CHADEMA sio baba yake wala mama yake, hivyo ikitokea kuhama anaweza kuhama tu," inatoa ishara ya kuwa uhusiano wake na chama sio wa kihisia, bali ni wa kimaslahi na maamuzi yake yanaweza kubadilika kwa urahisi. Hii inaweza kuwaudhi wanachama wa CHADEMA ambao wanaona...
  18. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lisu: Hata nikitaka kuanzisha Chama kipya Jaji Mutungi hatakisajili kwa sababu anafahamu mimi ni mpinzani wa kweli!

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lisu amesema hata kama angekuwa na Nia ya kuanzisha Chama kipya Cha Siasa kamwe Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi hatakisajili kwa sababu anafahamu yeye ni mpinzani wa kweli. Lisu amesema kwa asilimia Kubwa Siasa za Tanganyika Hazina uhalisia...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Wanaosema msitoke CHADEMA kwakuwa kuna future ni uongo mtupu, wao wenyewe hawana hiyo future

    Oh Msigwa kuhamia ccm kajimaliza kisiasa, nonsense kabisa! Yaani siasa nchi hii lazima ufanyie CHADEMA, wewe ambaye hujaisha kisiasa unafanya nini! Kisiasa ukoje! Oh vijana msitoke CHADEMA mna future nzuri, uongo tu. Hao wanaowambia mnafuture wao wenyewe hawana future! Pia soma==>> Mchungaji...
  20. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa aendelea Kuwavurumishia Makombora Mazito CHADEMA

    Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa peter Msigwa ameendelea kuvurumisha Makombora Mazito mazito kwa CHADEMA,ambayo yameonekana kuteketeza na kusambaratisha kabisa kambi zoote za CHADEMA na kuwafanya askari wake kuishi kwa kutanga Tanga muda wote. Mtumishi huyo wa Mungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…