chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

    Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho...
  2. JamiiForums Tanzania Kutokufanikiwa kwa maandamano ya CHADEMA: Uhalisia wa maandamano yasiyo na nguvu kwa maslahi ya wananchi

    Maandamano yaliyofanyika jana, yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yameonyesha wazi changamoto kubwa ambazo chama hicho kinakabiliana nazo katika kuhamasisha wananchi na kuonekana kama nguvu halisi ya upinzani. Hii ni mara nyingine ambapo CHADEMA imeshindwa kufanikisha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chadema haina wanamikakati wabobezi na ispojirekebisha itaendelea kusinyaa

    Ni dhahiri ya kwamba chama cha makamnda kimeshindwa kabisa kuwa na mikakati yenye kuvitia watanzania wa rika mbali mbali . Kushindwa kuwa na mikatati thabiti kunasababishwa na yafuatayo: 1:Viongozi waandamizi wa hiki chama hawana elimu dunia inayoelewaka na nitor mifano michache,Sugu...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwandishi wa EATV asimulia alivyokamatwa na polisi wakati wa maandamano "Nilizuiwa kuongea na simu"

    Wanabodi, Mwandishi wa EATV ambaye jana alikamatwa kwenye maandamano ya CHADEMA siku ya jana, amezungumza kwenye kipindi cha The Drive ambapo alisehoji kuhusu kukamatwa kwake na jinsi ambavyo baadhi ya askari wa jeshi la polisi lilimkataza kupiga simu kuwataarifu watu wake kuwa amekamatwa...
  5. JamiiForums Tanzania Benson Kigaila, Wenje, John Heche, Halima Mdee na Salumu Mwalimu jipangenin a mjiandae vizuri kushika hatamu za uongozi wa juu CHADEMA. Hawa wamefeli

    Ni wazi chairman na msaidizi wake Taifa hawana tena mawazo mapya wala fikra mbdala kuiongoza chadema ikapiga hatua au kufanikisha chochote kisiasa. Taasisi imekuwa haina mipango mikakati endelevu, sera mbdala, dira wala uelekeo muafaka unao eleweka na wenye kuleta matumaini au ahueni ya kufika...
  6. JamiiForums Tanzania Hongereni Chadema kwa kufanikisha maandamano, ninaomba mpokee ushauri wangu

    Kupitia maandamano, kwamba tumejifunza hatuna jeshi la polisi lenye uwezo wa kudhibiti watu 5Mil tu walioamua kutafuta haki yao. Ili kufanikisha maandamano ya watu mil 5 tu , ni lazima Chadema mtengeneze main Objective ambayo ndio tatizo kuu la Tanzania na hiyo Objective itamgusa kila...
  7. JamiiForums Tanzania Godbless Lema asimulia jinsi alivyokamatwa Jumapili na kuandikiwa kosa la kuandamana kwenye ndege

    Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyokamatwa. Anadai alikamatwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1. Alipoulizwa sababu ya kukamatwa akajibiwa kwamba ameandamana ndani ya Ndege. ====== Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi mbona mnatoa maswali magumu sana mnapokuwa active suala linalohusu CHADEMA

    Wakuu, Najiuliza mbona polisi wapo active sana linapokuja suala la CHADEMA au suala linalohusu CHADEMA, ila kuhusu utekaji unaoendelea na watu kupotea na mbaya zaidi kuchafuliwa jina lao na taasisi kwa ujumla maana watekaji wanajitambulisha kama polisi hapo wameweka flight mode kabsa. Kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA ni karata muhimu kwa Rais Samia na CCM

    Ni wazi kuwa Chadema ilijaribu kucheza karata zake kisiasa kadri ilivyowezekana ili kujirudisha kwenye ramani ya siasa Tanzania. Uchaguzi uliopita uliiacha chadema kwenye anguko kubwa yaani kutokuwepo kwenye eneo muhimu la kimaamuzi kupitia uchaguzi. Naamini baada ya kuliona hili viongozi wa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa Awatupia CHADEMA Vijembe vya Moto

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo Mtumishi wa Mungu peter Msigwa alivyowatupia vijembe CHADEMA Watu wanapenda kujiita makamanda hapa kwa mitandao (keyboar heros) wamemuacha mwamba anaandamana pekee yake hata watu hamsini hawakufika magomeni. Wapi mwita , Cathetine, maranja,Lutembeka...
  11. JamiiForums Tanzania Hasara iliyopata mamlaka kwa hofu ya kufikirika..! Faida waliyopata washika dau wa falsafa ya kula kwa urefu wa kamba!

    Kama ikitokea mamlaka huru ikapiga hesabu ya pesa, nyenzo na muda vilivyotumika kuzuia maandamano ya maombolezo ya CHADEMA ya leo tar 23.09.2024 basi kuna watu wanaweza kuwajibishwa pakubwa sana..! Fursa fursana .. Kufa kufaana...! Kwa kauli ile ya kula kwa urefu wa kamba ..maandamano haya...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa CHADEMA Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa

    Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua. Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote. Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana Viongozi wa CHADEMA wanaenda kukamatwa na kutoachiliwa mpaka Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uishe

    Taarifa niliyopenyezewa na mtu mwema inasema kuwa, kuna amri kuwakamata viongozi wote wa juu wa CHADEMA pamoja na Dkt Slaa imetoka juu. Kuna uwezekano mkubwa wakapewa kesi itakayowatuliza ndani muda mrefu ili wasikiongoze chama kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

    Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA mkajipange vizuri, vinginevyo hiki kilichofeli pakubwa leo kitajirudia tu tena

    Kujipiga kifua kote kule, press conference kila siku, kila mara, mmefikia wapi mpaka sasa, na matokeo ya hayo yote ni nini na kiko wapi sasa? Mnapuuza ushauri wa kitaalamu na mipango mikakati ya wabobezi katika siasa, mnaendekeza hisia, mihemko na kutegemea huruma za wanainchi kama dira na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya leo ya CHADEMA yamedhihirisha unafiki wa Watanzania hasa vijana tofauti na Wakenya

    Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road) Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio...
  17. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnaweza kufutiwa kesi na kuitwa Ikulu lengo wasinyimwe misaada na mikopo. Ikitokea, wekeni mashariti ndio muitike wito wa aina hiyo.

    Wakiongozwa na Marekani, wafahili wanaweza kukata ama kupunguza mikopo na misaada kwa Tanzania kutokana na ujinga unaoendelea hivi sasa.Hivyo, ili kuwaridhisha wafadhili, hayo makesi ya mchongo yatafutwa na mnaweza kuitwa Ikulu. Pia, katika kujisafisha, Mama atatamani sana apige picha na...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya viongozi wa CHADEMA kukamatwa, je tutegemee tamko kutoka ubalozi wa Marekani?

    Wanabodi, Nadhani wote tuliona kuwa ubalozi wa Marekani ulitoa tamko kuhusu utekaji na kuuwawa kwa aliyekuwa kada wa CHADEMA Ali Mohamed Kibao. Siku ya leo viongozi wa CHADEMA ikiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu walikamatwa na Jeshi La Polisi pindi wakiwa mbioni kuongoza maandamano hayo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini makada hawa wa CHADEMA hatujawaona kwenye maandamano? Shida iko wapi? Au wameogopa?

    Bila kupoteza muda naomba niendee moja kwa moja kwenye mada. Kuna makada na viongozi wa CHADEMA ambao tulitegemea moja kwa moja wangekuwa mstari wa mbele kwenye maandamano haya lakini ni hawajaonekana kabisa. Yuko wapi Martin Maranja Masese wa Twitter? Yuko wapi Sugu? Yuko wapi John Mnyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…