chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Simiyu: CHADEMA yapata pigo Wanachama 60 wahamia CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Itilima, Katibu na wanachama wao wahamia CCM. Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, Ndugu Terry Kilugala, na Katibu wake wa Wilaya ya Itilima, Ndugu Gershom Migasa Mipawa, pamoja na wanachama wao zaidi ya 60, wamehamia...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika aeleza mikakati ya CHADEMA kukabiliana na Orodha Haramu ya Wapiga Kura Wasiokuwa Halali

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa chama hicho kimejipanga vema kukabiliana na kile alichokieleza kama dhamira ovu ya kuhamisha orodha haramu ya wapiga kura wasiokuwa halisi. Mnyika amedai kuwa mbinu hii inatekelezwa kupitia mtandao wa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi CHADEMA kanda ya Magharibi warushiana maneno ovyo mbele ya wanachama

    Kitendo cha viongozi wa Chadema kurushiana maneno mbele ya wanachama wenu kimenishangaza sana, wakati umma ukiangalia Chadema kama chama ambacho kitaleta mabadiriko ya uongozi wanagombana hadharani bila aigu tena katika nyakati hihi za kuhamasisha Mwananchi wakajiandikishe katika taftari la...
  4. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CHADEMA anazungumza na waandishi wa Habari

    Muda huu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, John Mnyika anazungumza na Waandishi wa habari katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho, Mikocheni https://www.youtube.com/live/IzvkWYUP3hA
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: CCM yapigwa Changa la Macho, Vijana 100 waliodaiwa kuhamia wakitoka CHADEMA, hawakuwahi kuwa CHADEMA

    Tunapoandika humu kwamba hela za ccm zinaliwa kibwege, muwe mnaelewa. Kuna kiongozi wao mmoja kakusanya Wahuni na kuwaita wanaCHADEMA ili ajipigie hela za bure, katika aliowakusanya hakuna hata mmoja aliyewahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, achilia mbali kuwa mfuasi tu. Ushahidi wa Hoja hii ni...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Boni Yai: Niliingizwa kwenye difenda nikiwa na ‘boksa’ tu

    Muda mfupi baada ya kuchiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Mwanasiasa na Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) amesea wakati anakamatwa na Askari wa Polisi kulikuwa na purukushani kubwa kiasi cha yeye kuchaniwa nguo zake akibaki na ‘boksa’ tu. Anasema...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA hii ni dhaifu, haiwezi kushindana na CCM

    Maelezo ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, kuhusu ukosefu wa fedha za kujigharamia wenyewe kumeibua wasiwasi mkubwa kutokana na changamoto zinazo kikabili chama hicho cha siasa kwasasa. Chadema inakabiliwa na ukata mkali hivyo kushindwa kujipanga kifedha kwa ajili ya shughuli zake za...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Simiyu: Mch. Msigwa adai CHADEMA hawana uhalali wa kumkosoa Rais Samia

    Mchungaji Peter Msigwa ametema cheche katika mkutano uliofanyika Simiyu, akitoa kauli kali dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amesema kuwa CHADEMA hakina uhalali wa kukikosoa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani chama hicho kimekosa uhai na timu yake imeonekana kuchoka. Msigwa...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amepelekwa Afrika kusini kwa ajili ya matibabu

    Wakuu salaam, Naomba msaada juu ya uhalisia wa taarifa hii inayosambaa mtandaoni kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe ni mahututi na amepelekwa Afrika kusini kwa ajili ya matibabu.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana ndani ya CHADEMA ambayo itakiangamiza na kukiteketeza kisipoomba radhi na kutubu hadharani

    Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa haieleweki ni nani alishauri ,kuwashauri na kuwapa mawazo ya kishetani BAWACHA kuchoma vitenge hadharani.kitendo walichofanya BAWACHA na kuungwa mkono na chama kizima pasipo kukemewa wala kuonywa na kujitenga na kitendo kile cha kishetani ni laana kubwa sana...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

    Tafadhali usije kupitwa na Taarifa hii, kwamba Shehe Msomi Ally Kadogoo leo amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, baada ya kujizolea 66% ya kura zote. Uchaguzi huu ulifanyika Kibaha Mkoa wa Pwani
  12. L

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Wanawake wa CHADEMA kuchoma Kanga ni Kitendo cha Kishamba Sana

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makala.Amesema ya kuwa kitendo walichokifanya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kuchoma Kanga ni Kitendo cha Kishamba sana alichokishuhudia . Gwiji na nguli huyo wa mahesabu na uhasibu na...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Ado Shaibu: ACT Wazalendo, CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani tuungane kuing'oa CCM madarakani

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu ametoa rai kwa CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani nchini kuungana kupigania mazingira ya kidemokrasia ikiwemo Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi, mageuzi ya Jeshi la Polisi na uhuru wa vyama vya siasa kufanya shughuli zake, ambapo amesema kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Zanzibar kujiunga OIC ni lazima, si la Mzee wa CHADEMA tu. Dr. Salmin Amour alipokuwa Rais alishalipitisha na kugonga Mhuri. Muda utaongea

    Salaam Wakuu, Naona kuna watu wanataka kupotosha kuhusu swala la kujiunga OIC kwamba ni la leo. Yule Mzee wa CHADEMA kakumbushia tu Wazanzibari ajenda yao ya Miaka mingi. Swala la OIC ni Ajenda ya Siri ya kila Mzanzibar. Asikudanganye mtu. Mwaka 1992, Dk Salmin akiwa na miaka miwili...
  15. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Keissy asema atagombea Ubunge mwakani kwa sababu Mbunge wa CHADEMA hakuna alichofanya

    Ndugu zangu Watanzania, Mbunge wa Zamani Wa Nkasi kaskazini Ally Keissy aliyekuwa na kila aina ya vituko na Mbwembwe ndani ya Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,amesema ya kuwa anajipanga tena kugombea ubunge hapo Mwakani na kwamba hajaondoa dhamira hiyo. Amesema mbunge aliyepo kwa sasa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mzee wa CHADEMA Zanzibar aliyezungumzia udini alikuwa anapeleka ujumbe gani?

    MZEE Hashim Mzee wa CHADEMA matamshi yake kuhusu viongozi waislamu hususan Rais, Mawaziri waislamu aliowataja Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Kilimo, Tamisemi, Maji, Mifugo na Uvuvi, Viwanda na Biashara, Walemavu na Vijana, Muungano na Mazingira ilikuwa inapeleka ujumbe gani?
  17. JamiiForums Tanzania Yule mzee wa IOC kuna kitu muhimu alìongea ambacho hata Chadema walitakiwa kusupport

    Naam ndg zangu katika Imaaan. Japo kuwa alionekana kama mtu wa ajabu lakini gwiji ĺile la siasa za Chadema alisema masaa machache tu baada ya Zanzibar kusaini mktaba wa kujiunga na IOC ,waarabu wataanza kumwaga matrilioni ya shilingi tayari kuanza ujenzi mpya wa bandari kubwa duniani ambayo...
  18. JamiiForums Tanzania Nashauri makamu mwenyekiti CHADEMA apumzike tu siasa, yanini kujilazimisha na haiwezekani kamanda?

    Anatia huruma sana for sure. Ni ngumu kwake, lakini anajaribu kua jasiri kuonyesha ni rahisi kwa namna ambayo haimpi ahuweni wala faida ya kisiasa, nadhani anajiumiza zaidi na kujiongezea udhaifu. Succession plan ichukue mkondo na nafasi yake kuimarisha ustawi wa Chadema ijayo sasa. Upo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika?

    Umepita ukimya mrefu kidogo kwa huyu katibu mkuu wa CHADEMA ambapo mara ya mwisho ililipotiwa amekimbilia kanisani kwa ibadala maalumu ya mfungo kuliombea taifa. Baada ya hapo hatujaarifiwa nini kimeendelea baina yake na jeshi la polisi ambalo lilikuwa likimrafuta mpaka kupiga kambi kanisani...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA mko wapi? CCM wanapita mashuleni na kuandikisha watoto wa shule za msingi na sekondari wote kama wanachama wao kwa mfumo wa kidigitali

    CHADEMA na ACT WAZALENDO mko wapi nyie? Msije mkasema hatukuwaambia... Watoto wangu wawili (kidato cha 1 & 2) wanaosoma shule moja ya kutwa hapa Shinyanga Manispaa wamefika nyumbani jana na kuniambia kuwa CCM walifika shuleni na pikipiki zao za kijani na kumtumia mwalimu mkuu wao awalazimishe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…