chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: Inadaiwa wagombea wengi wa CHADEMA Jimbo la Serengeti wameenguliwa

    Inadaiwa wagombea wote wa CHADEMA Jimbo la Serengeti mkoani Mara wameenguliwa. Tutarajie ya mwaka 2019? Kupata habari za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA acheni kulialia ujinga ni wenu

    Wasalaam. Naliwashauri hapa hapa kabla hata zoezi la kuandikisha wapiga kura halijaanza. Niliwasihi chadema wasithubutu kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi nyingine mpaka kuwe na tume huru wakashupaza shingo na sasa mnalia kuchezewa rafu na ccm, muache kulialia mnatukera...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbowe alalamika kuhusu ubakaji wa Demokrasia kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ametumia mtandao wa X kulalamika kuhusu vitendo vya ubakaji wa Demokrasia unaoendelea kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mbowe ameandika; "Taifa linaendelea kushuhudia kwa njia mbalimbali ubakaji mkubwa wa demokrasia kwenye uchaguzi huu wa Serikali za...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka. Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika" Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: CHADEMA wadai kuna figisu majina ya wagombea kukatwa

    Wakuu, Naona tunarudi 2019 ki style, chupa imebadilishwa tu design lakini kamnyweso ni kalekale. ==== CHADEMA Wilaya ya Dodoma Mjini kimedai kubaini taarifa za wagombea wake kuenguliwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kupitia mbinu za kuwatafutia kasoro mbalimbali. Miongoni mwa mbinu...
  6. JamiiForums Tanzania Lissu kufuata njia ya Dkt. Slaa CHADEMA?

    Kuna kila dalili kwamba Lissu akaondoka Chadema Muda wowote kuanzia sasa.. Nimekuwa nikifuatilia muenendo wa muda mrefu kati ya Lissu na Chama chake ni kama wameparanganyika.. Lissu ana support ya watu wanaojiita "Sauti ya Watanzania" kundi la wanaharakati ambao wanajipambanua kwamba wapo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu na ushindi wa urais 2025 kama ilivyokuwa kwa Donald Trump 2024

    Katika mazingira ambayo kila chombo cha serikali kikisapoti chama cha Mapinduzi katika Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. 2025 itakuwa na mshangazo mkubwa sana katika taifa la Tanzania, kwani ndio mwaka ambao serikali chini ya CCM itaweza kuachia madaraka kwa kushindwa kwenye uchaguzi mkuu. Sio...
  8. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA isijifiche katika uchaguzi wa Marekani, Lissu aeleza madhaifu yao

    CHADEMA ISIJIFICHE KATIKA UCHAGUZI WA MAREKANI, LISSU AELEZA MADHAIFU YAO Uchaguzi wa Marekani kwa sehemu kubwa unahusu maslahi ya Marekani. Wamarekani hawapigi kura kwa maslahi ya taifa au watu wa taifa jingine. Kuna kamjadala kaovyo kidogo kututoa katika mstari wa kujadili mambo yetu! Trump...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Anguko la CHADEMA linapozidi Kuonekana, CCM yazidi Kuimarika kwa Wapiga Kura

    ANGUKO LA CHADEMA Linapozidi Kuonekana – CCM yazidi Kuimarika kwa Wapiga Kura. Katika mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji, na vijiji, CHADEMA imeonyesha kushindwa kusimamisha wagombea katika sehemu kubwa ya nchi. Wakati ambapo Watanzania wanahitaji viongozi wa kuwajibika, ambao...
  10. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima

    Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima. Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinakuvutia kwenye siasa za Marekani ambacho unatamani wanasiasa wa Tanzania wakiige?

    Kwa mtizamo wako, je unaona mfanano wowote kati ya hivyo vyama? Kwa mfano - kwa upande wa USA, Democratics wengi wanaishi mjini na wengi ni graduates wa vyuo. Lakini pia demo wengi ni wahamiaji na kwa upande mwingine Replicans ni wazungu, na wengi ni wa vijijini na wengi hawana degree. Haya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amosi Makalla mwenezi wangu punguza kuwataja taja CHADEMA katika Mikutano yako unawapa unnecessary mileage

    Achana nao hao wazembe nakuomba katika mikutano yako usiwe unawataja taja hao watu, unawapa mileage ambazo hawastahili, sasa hivi wanaokoteza Wagombea wanawaambia wachukue fomu, CCM ni chama kubwa sana, kukiongelea chadema nao kama unakipa promo vile, maoni yangu tu. Mimi nakereka sana kusikia...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Amos Makalla: CHADEMA hawakuwa na kura za maoni kupata wagombea uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Ndugu Amos Makalla amesema stori zote mtandaoni wakati wa kura za maoni zilikuwa zinahusu CCM kuendesha mchakato huo katika kuwapata wawakilishi wa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ameongeza kuwa kuna vyama vinajiita vya Demokrasia lakini vimeshindwa kuwapata wagombea wao kwa...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA ijifunze kwa RENAMO ya Msumbiji

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimekuwa chama kikuu Cha upinzani Tanzania kwa muda wa miaka kumi na nne Sasa. Ni muda wa chama Cha CHADEMA kujifunza kutoka kwa kilichokuwa Cha kikuu Cha upinzani Msumbiji chama Cha RENAMO. RENAMO kulikuwa ndio chama kikuu Cha upinzani kule Msumbiji. Na...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA inatakiwa kususia kazi za hawa wasanii kwa kusapoti kampeni za chama tawala

    Hata kama ni Marekani lazima CHADEMA ionyeshe kuwa haina double standard kwa kuamua kususia kazi zao. Kumekuwa na matamko kadhaa za kutaka tususie kazi za wasanii wa Tanzania wanaoisapoti CCM kwa hiyo umefika muda sahihi wa chama cha Mbowe kutoa wito kwa wafuasi wake kususia kazi za wasanii...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Zanzibar washerekea Miaka 4 ya Rais Mwinyi na kuzindua kampeni ya Kijana na Kijani Pemba

    Wakuu, CCM Zanzibar jana Nov 2, 2024 walisherekea miaka 4 ya uongozi wa Rais Mwinyi pamoja na kuzindua kampeni ya Kijana na Kijani Pemba katika Uwanja wa Gombani, kampeni ambayo inalenga kuhamasisha vijana kupitia CCM kushiriki katika uchaguzi na nafasi mbalimbali za uongozi. Kampeni hii...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ikiwa CHADEMA au chama chochote cha upinzani kitapata mtaa au kijiji kwenye uchaguzi huu nipigwe ban milele

    CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na uuaji licha ya kuwa na makachero wanaotengewa billions of Tanzania shillings kila mwaka. Badala yake...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Chadema kitashinda uchaguzi wa mitaa? Lissu anatumia muda mwingi akiponda raha Belgium, hajishughulishi na lolote

    Nadhani chama kimekata tamaa, kimegawanyika. Nadhani sasa vyama vingine vizibe ombwe hili. Wenzetu wakija kuchochea vurugu, uharibifu wa amani, wana pa kukimbilia, kwa wajomba zao Canada na Ulaya, sisi kwetu ni hapahapa, tupatunze
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Chadema, Uchaguz ni hesabu na mipango

    Tunatambua mchango wenu katika kuikosoa serikal katika vyama vya upinzan vilivyo kaza bas ni chadema vyama vongine ni wakat wa uchaguz kisha hupotea Uchaguz ni hesabu na mipango mipango huanza mapema wenzenu ccm wako busy na michakato ya kuwaandaa watu kisaikolojia juu ya wagombea wanaitisha...
  20. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mgombea Urais: Boni Yai wa CHADEMA asema " Mwaka 2025 kunaweza kutokea Surprise kubwa kuliko Mnavyotegemea"

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Boniface Jacob aka Boni Yai amesema kuliko ilivyozoeleka mgombea Wao wa Urais wa JMT 2025 atawashangaza wengi Huenda ikawa ni Surprise kubwa, amesema Kiongozi huyo wa Chadema Taarifa hii itawachanganya Makamanda wengi wanaoamini Mgombea Urais atakuwa Tundu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…