chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu awataja wanaostahili kuongoza CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Bara, Tundu Lissu, ameweka wazi aina ya watu wanaostahili kuwa viongozi ndani ya chama chao. Akizungumza leo Novemba 13, 2024 mkoani Singida wakati akifungua mkutano wa viongozi wa chama wa mkoa huo katika ngazi mbalimbali, Lissu amesema "Naomba mfikirie...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa tukio la kujaribu kumteka Deo Tarimo tutaendelea kuwalaumu CHADEMA bure

    Miaka ya karibuni CHADEMA kimekuwa kikiitisha maandamano na muitikio wake umekua ni almost zero Wameibuka watu wengi wakilaumu chadema kwamba wanashindwa kuwashawishi watanzania bali ukweli umeonekana jana mubashara Imagine mtu anatekwa mchana wa saa 8 watu wako pembeni wanashangaa tu alafu...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Hujuma Uchaguzi: Mwakajoka atuhumu kuenguliwa kwa Wagombea wa CHADEMA Mikoani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa Frank George Mwakajoka, amesema wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wamekiuka kanuni za uchaguzi kwa kuwaondoa wagombea wa chama hicho bila sababu za msingi. Mwakajoka amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Naishauri CHADEMA ianzishe chombo kinachoitwa "Mabaraza ya Wazee" kwa kila ngazi nchini

    Mimi ni mfuatiliaji mkubwa wa masuala ya kisiasa hapa nchini. Nimeona zoezi la maandalizi ya uchaguzi wa viongozi Serikali za mitaa lilivyoanza na linavyoendelea. Pia nimesikiliza matamko ya viongozi wa CHADEMA kuhusu mwenendo wa zoezi hilo. Niwe muwazi, kuna mambo baadhi hayajajulikana na...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Msimamizi wa Uchaguzi akanusha wagombea CHADEMA kuwa na ulemavu

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai na Msimamizi wa Uchaguzi, Dionis Myinga amekanusha malalamiko yaliyotolewa na baadhi ya wanaotajwa kuwa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti kwa baadhi ya vijiji katika wilaya hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa wameenguliwa baada...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Hai: Wagombea CHADEMA wadai kujaziwa fomu kuwa walemavu

    Wakuu, Huu uchaguzi kiboko! ==== Baadhi ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti katika vijiji vya Uswaa, Mamba na Kiselu katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wamelalamika kuenguliwa majina yao huku baadhi yao wakidai fomu zao zimeongezewa maneno na alama, wengine fomu zikionesha kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Arumeru: Wagombea CHADEMA Mbuguni waenguliwa, huenda wakasusa!

    Wakuu, Eh kususa tena! Ujumbe wa Lissu kuhusu kujipanga upya utakuwa haujawafikia? Bado tu hawaelewi wakisusa wenzao wala? ===== Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kata ya mbuguni wilayani Arumeru kupitia mwenyekiti wake, kimelia na kuenguliwa kwa wagombea wao. PIA SOMA - LGE2024 -...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu nenda taratibu, tumia hekima na busara kumaliza tofauti zako na Freeman Mbowe. Vinginevyo mnaiua CHADEMA

    Mimi The Palm Beach si mwanachama wa CHADEMA ila ni mpenzi na mfuasi wake na nakiunga mkono kwelikweli chama hiki... Ni wazi kuwa Kuna mgogoro mkubwa kati ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake Tundu Lissu ndani ya CHADEMA Nitasikitika na kuumia sana kama chama hiki cha siasa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kumbe Viongozi wa CHADEMA mpo after vyeo vyenu na siyo hali bora ya Wananchi?

    Moja ya kauli za Lisu kwenye press yake ya leo, amesema hivi: (sitanukuu neno kwa neno, nitanukuu muktadha tu) "Hapa katikati tuliletewa lugha laini tukaingia kwenye maridhiano. Tukadanganywa danganywa kuwa wewe sijui utakuwa nani nani. Wengine waziri mkuu n.k". Kwahiyo safu ya uongozi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Lissu alizungumza RUSHWA ndani ya CHADEMA, wapo kimya, sidhani kama bado Lissu ana nguvu ndani ya chama

    Dkt. Wilbroad Slaa, Mwanachama na kiongozi mstaafu wa CHADEMA amedai kuna hali ya sintofahamu ndani ya chama chake cha zamani. Ameamua kusema kuwa CHADEMA inatamka mambo makubwa, lakini vitendo vyao vinaonyesha picha tofauti kabisa. Ameeleza wazi jinsi anavyokerwa na ukimya wa CHADEMA juu ya...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 RC Singida aagiza wafuasi 13 wa CHADEMA akiwemo Diwani wakamatwe

    Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki kwa tuhuma za kumshambulia Mtendaji wa Kata ya Ntewa A, Ramadhani Nyengo. Akizungumza na waandishi wa...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Lissu: CHADEMA tunahitaji kurudi nyuma na kujipanga upya, kwenda mbele kwenye mazingira haya ni kujihahakishia anguko

    Wakuu, Wakati akijibu swali la mwandishi kwenye mkutano wake na waandishi Singida; (Uchaguzi umekwisha wanatakiwa wajipange upya, je, wanaimba mwimbo mmoja) Tundu Lissu amesema; ====== "Mimi napenda kuamini tunaimba wimbo mmoja, kama hatuimbi wimbo mmoja basi tutakuwa na hali mbaya sana...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Askofu Mwanamapinduzi: Uonevu wa 2019 na 2020 tuliomba Mungu akaingilia kati, yaliyotokea yakiendelea wakati huu tutamuomba Mungu aingilie

    Wakuu, Kumekucha...kumekucha huko, mpaka tumalize uchaguzi huu tutaona mengi. ===== "Magufuli aliruhusu mambo yanayotokea 2019 na 2020, tulinyamaza watu (wengine) wakashangilia, Mungu aliingilia kati. Kupata nyuzi kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu: Uchaguzi huu umeisha na sasa tujipange upya na turudi kwenye hoja za msingi ikiwemo Katiba Mpya na Mfumo huru wa uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu amesema katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu 2024 umekishwa kikubwaa watapigania wagombea waliobaki tu lakini huu kifupi umekwisha. Aidha amesema sasa na wanapaswa kujipanga upya na kurudi na hoja za msingi kama Katiba mpya, Mfumo uhuru...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kilimanjaro: Mgombea wa CCM akana kumuwekea pingamizi mgombea wa CHADEMA, msimamizi wa uchaguzi anaduwaa

    Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X "Kata ya Marangu Mashariki Kijiji cha Lyasongoro Msimamizi wa uchaguzi amewawekea wagombea wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADEMA) mapingamizi na kuonyesha kua mapingamizi hayo yameandikwa na wagombea wa CCM. Baada ya wagombea...
  16. JamiiForums Tanzania Mmawia kada wa CHADEMA yu wapi?

    Kama anavyo onekana kwenye picha kada maarufu wa chama cha maendeleo ufipa Chadema Mmawia
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi serikali za mitaa: Mamia ya wagombea wa upinzani waenguliwa, waapa 'kutosusia shamba'

    Mamia ya wagombea wa vyama vya upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa ujao wameenguliwa kushiriki uchaguzi huo. Chama cha ACT Wazalendo kimeripoti takribani asilimia 60 ya wagombea wake wameenguliwa kushiriki uchaguzi kwa sababu walizozitaja kukosa msingi wa kisheria na kanuni. Kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tumechoka kusikia kelele za CHADEMA

    CHADEMA hebu jitathminini. Kama mmeshindwa kulinda haki yenu, kaeni kimya, acha CCM wasonge mbele. Kila kona ni malalamiko ya kuenguliwa kwa Wagombea wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Unakuta wana CHADEMA mtaa mzima wamekusanyika wanalia kama watoto wadogo eti wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro...
  19. JamiiForums Tanzania Singida: Tundu Lissu aongea na Waandishi wa Habari wa Ndani na wa Kimataifa

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ataongea na Waandishi wa Habari huko Singida, Mkutano uliopangwa kufanyika kwenye Ukumbi wa Kanisa Katoliki. Inatarajiwa Mtikisiko Mkubwa sana kutokea Nchini Tanzania. Taarifa ya Chama chake iliyosambazwa kote Duniani Hii hapa
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 Geita Mjini: CHADEMA walalamikia kuenguliwa kwa wagombea Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Mambo ni moto kila sehemu, ni mwendo wa kuengua tu na kubakisha wa kupita bila kutoa jasho. ===== Viongozi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Geita Mjini mkoani Geita, wamelalamikia kuenguliwa kwa majina ya wagombea wao wa nafasi za Uenyekiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…