chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA anzisheni 'Namna Fulani' ya kuwatambua Wanachama waofanya vizuri katika kukichangia Chama ili kuongeza Hamasa kwa wasio Wanachama!!

    Kufanya vizuri katika kuchangia Chama , sio kwamba anayetoa Pesa nyingi. Kutoa Pesa nyingi ni jambo jema kwa kadiri ambavyo Mtu anabarikiwa !!. Tuangalie ' Consistency' ya Mwanachama katika Kutoa Mchango wake !!. Kama Chama kinaweza amua 1/Kutoa Tuzo kwa ngazi ya Wilaya au Mkoa au Taifa. Au...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA, ni nani anayewalisha akina Hilda Newton, Pambalu na Viongozi wengine waliokimbilia Kenya?

    Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza? Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni akili ya kujifariji. Ukweli ni kwamba hamkubaliki na wapiga kura

    Nashangaa kuona wafuasi wa chadema wanatumia mikutano Yao kujifariji kuwa wanakubalika🤣🤣 Hebu pokeeni ukweli huu. chadema hamtakaa mshinde uchaguzi hilo msahau hao watu siyo wapiga KURA wenu wanakuja kuwashangaa tu. wapiga KURA Wapo nyumbani siyo hao mnaotumia nguvu kubwa kuwaita kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA shikilieni hapohapo watanzania tupo nyuma yenu

    Napenda kuwatia moyo kuwa katika mapambano haya ya kudai Haki na usawa katika nchi hii hampo peke yenu. Mwamko ni mkubwa sana huyu nyoka CCM apondwe kichwani afe. People's, people's, people's Powerrrrrrrr!!!!!!!!!¡!!!!!!!!!!!!!!!
  5. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatishia Maandamano nchi nzima kufufua mchakato wa Katiba Mpya na Lissu aachaliwe

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kimetishia kuandaa maandamano ya nchi nzima yenye lengo la kushinikiza serikali kufufua mchakato wa Katiba Mpya na kuachiliwa huru kwa Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Msafara wa CHADEMA ukiwa Kasi kuwahi mikutano ya Chama Kanda ya Nyasa

    Hawa watu baada kukosa ruzuku nani anawalipa Posho za KUACHA familia zao na kuzunguka nchi nzima Maintenance ya magari Yao nani anawalipia gharama Maana kwenye tone tone mkoa uliochangia Hela nyingi ni 3 million kama sikosei. Najua wachangiaji wengi ni watanzania maskini wanaopenda chadema Kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Siasa UNALIPa hizo Milioni 100 alizotenga Katambi wa CHADEMA kwa watakao ripoti taarifa kwake kazitoa wapi?

    Hizi ni fedha zake au za serikali? Kutoa taarifa za waarifu ni wajibu WA kila raia Ukiona. Hazitoki basi kaa kimnya yulozana
  8. JamiiForums Tanzania John Heche: Msafara wetu unafuatiliwa na vyombo vya dola, Sisi sio wahalifu, acheni

    Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akiwa Mbarali, Mbeya Juni 22, 2026 amesema "Tuko kwenye ziara. Leo ni siku ya tano. Na tangu nimeanza mikutano ya hadhara kule Machingwea, baadaye nikaenda Masasi, siku nyingine siku iliyofuata tukaenda Songea, na jana...
  9. JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini CHADEMA wameamua kujiexpose kua wao ni vibaraka?

    Sote ni mashuhuda wa namna ambavyo chadema inavyojipendekeza kwa mabwenyenye ya magharibi na kujiexpose bila kificho kwamba wao ni vibaraka na mamluki wa mabwenyenye ya magharibi. Unadhani ni kwanini wanatumia nguvu kubwa sana, na wanatamani kweli kuurejesha ukoloni Tanzania? Je, kama taifa...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanapanga kuturejesha kwa wakoloni

    Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema. Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda. Kaka...
  11. JamiiForums Tanzania Ama kweli CHADEMA "pumzi imekata"

    Picha na video ikionyesha Chadema ikikata pumzi huko Njombe
  12. JamiiForums Tanzania Je, Yericko Nyerere ni nabii? Mengi aliyotahadharisha ndo yanawakumba CHADEMA kwa sasa

    Hili jasusi la bamia ni nabii? Ninashangazwa karibu kila kitu alichotahadharisha kuhusu CHADEMA ndo kinatokea kwa wakati huu. CHADEMA wakampigie magoti ili awavushe. Jamaa ana kipawa kikubwa cha kiroho. Nitakumbushia machache aliyotahadharisha. Yeriko alikitahadharisha chama chake cha zamani...
  13. JamiiForums Tanzania Toka kuanzishwa kwake Chadema haijawahi kuwa na Ushawishi Tanzania Zanzibar

    Ni vyama viwili tu vya upinzani ndio vimeweza kupenya kwenye ngome ngumu ya Tanzania visiwani yaani CUF na ACT wazalendo. Hii inamaanisha ili wapinzani kushika dola wanapaswa kuungana dhidi ya CCM. Mwaka 2015 walijaribu wakisaidiwa na EL lakini kwa kuwa muungano wao haukuwa na baraka za wananchi...
  14. JamiiForums Tanzania CCM washangilia baada ya kuvunja kizimba cha CHADEMA

    Hizi ndo akili za CCM. Yaanni wenzao wanafanya mikutano, CCM wanamalizia hasira za kukataliwa kwenye vizimba. CCM wana roho ya Uharibifu. CCM imeshashindwa siasa, imebaki kuwa kikundi cha Maovu
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanapigania katiba mpya kwa lengo moja tu. Wanadhani katiba mpya ndiyo itawapa nafasi ya kushika Dola

    Ukiona jambo lolote linapiganiwa na viongozi wa CHADEMA ujue linawagusa. Hebu tuangalie mfano huu. Kuna askari usu wa wizara ya maliasili na utalii, Askari wa TFS, TAWA, NGORONGORO, TANAPA . Kwa vitendo vya ukatili vya askari hawa wa maliasili ni hatari zaidi ya polisi. They kill randomly...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya kuona fedha uchochezi zinaenda kukata Chadema inarudia kwenye hoja za "Deep Green"

    Mara zote tuliwaasa kusimama na maslahi ya watu yaani kuzisemea shida za watu na kuja na sera mbadala kwa ajili ya watanzania. Chadema ilihama kutoka kuwa chama cha upinzani kwa maslahi ya watanzania ....chama ambacho kilikuwa kinaibua ufisadi na kuleta hoja kinzani zilizoifanya ccm kujipanga...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chadema kutenga chama na maandamano ya tarehe 7/7 kama walivyofanya tarehe 29 ni akili KUBWA sana maana yake wamewaachia wananchi waamue

    Kwa hili nawapongeza viongozi wa Chadema wametumia akili kubwa Maana yake kama Mnyika atakuwa kwenye maandamano hatachululiwa kama chadema Bali kama raia na mwananchi wa kawaida Kwa hiyo wananchi ndio watakaoamua mustakabali wa mambo Yao Hata Tundu lisu kuwa Gerezani ni salama zaidi kuliko...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wanachana 4 wa Chadema wahukumiwa kifungo miezi 4 au kulipa faini ya 300,000

    TAARIFA KWA UMMA.‼️ 19 Juni 2026, Mahakama ya Mwanzo Kizumbi, imewahukumu wanachama (4) wa CHADEMA Kata ya Lyabukaende kifungo cha miezi minne gerezani au faini ya Tsh 300,000 kila mmoja. Waliohukumiwa kwa kile kinachoitwa “kufanya fujo” katika mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Julius S...
  19. O

    JamiiForums Tanzania CHADEMA pumzi imekata!

    CHADEMA pumzi imekata! Kwa sasa viongozi wa CHADEMA wameamua kwenda na upepo uliopo wa kisiasa nchini. Wamebaki kuwa motivational speakers kwenye majukwaa na kutupiana maneno tu na baadhi ya makada wa CCM bila hatua zozote za maana. Sasa wananchi wanaonekana kuchanganyikiwa na hawaelewi hawa...
  20. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Viongozi wa Chadema walio baki nje hawafikii hata nusu ya Lissu

    I’m sorry ila acha niseme tu ila ni hivi, kama viongozi wengine wa Chadema wangekuwa mwenyekiti wao haki tungekuwa tumepiga hatua flani kwenye movement. Lissu ni zaidi ya mwaka sasa anapitia mateso yasioelezeka na kagoma kuwauza Watanzania ili apate freedom. Ila hawa viongozi wenzake walio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…