Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Wakuu,
Akiwa anahojiwa katika kipindi cha Power Breakfast Clouds Ester Bulaya amesema:
"Mimi ni CHADEMA, (kuhusu kufukuzwa) hayo ni mambo ya ndani ya chama na ndio maana sababu sisi tumesema ni wana CHADEMA tukaenda kutetea uana CHADEMA wetu, na ni njia ya kawaida.
"…Kwanza hakuna mtu yeyote...
Sijaona maono yoyote ya maana kutoka kwa Mwenyekiti mpya wa chadema ambayo yanaweza kubadili nchi zaidi ya kuwazia madaraka ya kiserikali tu.
Sijasikia mipango madhubuti kwenye sekta mbalimbali mfano kilimo,teknolojia,ajira,afya,elimu au maswala ya ulinzi na usalama.
Ni ujuha kalulu kufikiri...
https://youtu.be/ANA3rytxn0Q?si=6caBpBCIieREJQl7
➡Ukimtazama na kumsikiliza vizuri Ansbert Ngurumo ktk video hii unaweza kudhani ni mtu neutral, anayejaribu kushauri pande mbili ili kurekebisha mambo yao. Lakini ukweli ni kuwa, anajaribu kutumia ujuzi na usomi wake wa kihabari kupunguza makali...
Wakati wa Mbowe vijana wengi walivuma, hoja zao kuipinga CCM katika mitandao ya kijamii ikiwavutia wengi sana hata wanaCCM wenyewe.
Wakisimama juu ya majukwaa vijana wengi wakivutiwa.
Hivi sasa CHADEMA wanaosikilikana
1. Heche
2. Lissu
3. Lema
4. Amani
Kijana pekee anaesikilikana ni...
NI IJUMAA YA TAREHE 28.02.2025
Pamoja na mambo mengine maombi hayo yatahusu Uchaguzi Mkuu Ujao ambapo kwa maelezo ya mmoja wa Mitume watakao kuwepo Apostle Boniface Mwamposa amesema Taifa la Tanzania linaenda kurudishwa kwenye ramani yake ambapo Sasa kutakuwa na Uchaguzi Huru na Haki...
Kutwa naona makanisani. Sijawahi kuwaona wakishiriki uwanja wa taifa ktk mashindano au sherehe za waislam. Sio lissu, sio Heche tofauti na ccm, act na chauma
Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana CHADEMA Dua Lyamzito amesema uwepo wa Chama cha Mapinduzi madarakani unaendelea kuwafanya wantanzania kuwa maskini hali yakuwa wao(CCM) wanakua na maisha mazuri.
Akizungumza akiwa Kibanga, Muleba mkoani Kagera Dua amesema “kwetu Karambi nikienda miaka mitano...
Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.
Naomba mwaka huu...
Ndugu zangu Watanzania,
Siweki neno wala kuongeza neno bali nawawekea barua ya Mwana CHADEMA kama ilivyo.👎
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA EX MAYOR WA UBUNGO NA MWENYEKITI WA CHADEMA KANDA YA PWANI .
Salaam na heshima kwako mheshimiwa Boniface Jacobo Mayor mstaafu na Mwenyekiti wa Kanda ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Unaweza kusema ya kuwa Mheshimiwa Boniface Jacob ameamua kujiweka pembeni ya ulingo na masuala mazima ya siasa za CHADEMA na kuamua kujikita kwenye shughuli zake binafsi za kijasiriamali.
Ambapo Mheshimiwa Jacob ambaye ni Mayor wa zamani wa Ubungo ameonekana akiwa...
"Kama Mbwai na Iwe Mbwai." Ndiyo kauli anayoitumia Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) taifa, Shaban Itutu akielezea msimamo wa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Itutu ametoa kauli hiyo, baada ya Mwenyekiti wa Chama cha...
Salaam na heshima kwako mheshimiwa Boniface Jacobo Mayor mstaafu na Mwenyekiti wa Kanda ya pwani chama Cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.
Kiongozi kabla ya kusema niliyowiwa kuyasema naomba kutambua unao washauri wengi sana wenye vyeo na nafasi kubwa kuliko Mimi ila naomba unipe dakika...
Muasisi wa Chadema mh Mtei ameupongeza Uongozi mpya wa Chadema Chini ya Tundu Lisu na John Heche
Mtei amesema hayo Wakati wa mazungumzo yake na makamu Mwenyekiti wa Chadema mh John Heche na Viongozi Wengine
Mzee Mtei amesisitiza hii ndio Chadema iliyo moyoni mwake na ana Imani kubwa na Tundu...
"Sisi tumekwenda kwenye uchaguzi tumewaonesha maana ya uchaguzi wa kidemokrasia, free, fair, transparent election ambayo haijawahi kutokea Afrika hawawezi hata na dola yao kuthubutu kufanya vile. We uliona wapi mtu anasimamia uchaguzi anaochaguli1wa ?" - John Heche, Makamu mwenyekiti Chadema...
Je,
huwa wanajua na wanafahamu kabisa kwamba hawaaminiki, hawaelewekagi wala hawakubaliki mbele ya wananchi?
Nini kifanyike kuondoa unyonge huo wa wanachama wa chadema hasa wakiwa mitaani bila viongozi wao?
Na kipi hupelekea vijana hao kupata mihemko na makasiriko ya kiwango cha kurusha ngumi...
Wanachopitia Chadema ni muhimu kwa taifa nzima
1. Kutaa kununuliwa kwa pesa kupitishwa kwa baadhi ya viongozi na wame wa Covid 19
2. Kuanza kutafuta utaratibu wa kujiendesha bila kutegemea serikali
3. Kufikiria sheria na taasisi na sio chaguzi pekee. No reform no election hata kama uchaguzi huu...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Bara John Heche amesema chama hicho kina kila hoja za kushindana na chama cha mapinduzi na watazitumia pindi wakianza kufanya ziara na kuzungumza na wananchi.
Heche amesema hayo leo akiwa jijini Arusha na kueleza kuwa miongoni mwa hoja...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche amewataka wanachama wa chama hicho kutokuingia kwenye kile alichokiita mtego wa kukipasua chama.
Soma: John Mnyika adai kuna hujuma za kuyumbisha harakati za 'No Reforms No Election' kufuatia pingamizi la uteuzi...
Wakuu hii taarifa nimekutana nayo Facebook je, ni ya kweli?
𝐁𝐎𝐍𝐈 𝐘𝐀𝐈 𝐊𝐔𝐉𝐈𝐔𝐙𝐔𝐋𝐔 𝐍𝐀𝐅𝐀𝐒𝐈 𝐘𝐀 𝐔𝐄𝐍𝐘𝐄𝐊𝐈𝐓𝐈 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 𝐊𝐀𝐍𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐏𝐖𝐀𝐍𝐈
Habari za ndani kabisa ya CHADEMA zinasema bundi ameendelea kulia; safari hii Boni Yai akitajwa kuwa mbioni kujiuzulu kutoka nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho Kanda ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.