chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amethibitisha kuwa fedha zote zinazochangwa na wananchi pamoja na wanachama, ikiwemo mifumo ya kielektroniki na zile za "tonetone" zinazokusanywa mikutanoni, ziko salama kabla na baada ya matumizi. Mnyika aliongeza kuwa, kwa mujibu wa taratibu za kifedha za...
  2. JamiiForums Tanzania Mnyika: Msajili wa Vyama vya Siasa anatakiwa kuipatia CHADEMA malimbikizo ya ruzuku yake yote kuanzia Juni hadi Oktoba 2025

  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanatoa tamko mbele ya Waandishi wa Habari, leo Julai 10, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=m-kVFwmIRKE "Ile ile kauli ya Rais ambaye sisi hatutambui uchaguzi wake ya kusema kwamba wanaharakati wanafanya ugaidi. Ni kauli hatari sana ikiachwa ilivyo na watetezi wa haki kote nchini. Na mimi nasema haya kwa sababu kutokana na taarifa za maandamano ya...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Maridhiano bila maelewano 'a forced reconciliation', ni kosa kubwa kwa CHADEMA

    Chadema wakikubali mtego wa CCM kuingia kwenye maridhiano yasiyo na tija watakuwa wamejimaliza wenyewe, madai yao yote yatafunikwa na blanketi la maridhiano. Chadema itakuwa imejiziba mdomo kwa mikono yake yenyewe kila kitu wataambiwa wasubiri matokeo ya maridhiano. Maridhiano feki hayana...
  5. JamiiForums Tanzania Heche, Mpina na wengine wanatumika kuichafua Serikali ionekane haifanyi kazi?

    - Mfanyabiashara aliyetoroka nchi, anayesifika kutapeli mabenki atajwa kuwa nyuma ya Heche, Mpina na wengine - Ni mmiliki wa kampuni ya Mafuta Steti Oil inayotuhumiwa kujihusisha na mambo mengi machafu - Yaelezwa amejiegemesha CHADEMA kuichafua serikali baada ya kukosa zabuni ya kuingiza...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA mtimueni John Heche labda mseme hakuna accountability ndani ya chama

    Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani. Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kwani ndugu zangu Ccm ni LAZIMA mridhiane na Chadema si Bora mridhiane na Chaumma iliyokuwa na mgombea wa Urais au Act

    Kama ni Ishu ya maridhiano tu ndugu zangu Ccm ridhianeni na chaumma au Act ndo iliingia kwenye uchaguzi. Chadema Haina hata diwani kwanini mnalazimishe waingie kwenye maridhiano wakati Kuna watu wako tayari kina Yeriko na Zito . Nyie si mnataka TU ionekane mmeridhiana kama kule Zanzibar ingawa...
  8. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA TUNAPIGANIA MARIDHIANO YA DOLA NA Watanzania. Tusikate tamaa. Ndoto ya haki karibu itatimia

    Tunaamini katika ndoto ya kweli. Ndoto ya haki, ukweli na usawa. Sasa Chadema tutaifanya ndoto ya watanzania iwe ya kweli. Chadema hatupo kutaka kugawana madaraka na CCM ndio tuite maridhiano. Tunaamini katika maridhiano ya kweli. Walioamini kwenye maridhiano ya kugawana ela, vyeo na...
  9. JamiiForums Tanzania Wanao hoji ufisadi wa makamu mwenyekiti wa Chadema taifa kufukuzwa

    Ni wazi sakata la rushwa na ufisadi wa mali za chama ndani ya Chadema taifa ni kaa la moto, na sasa limechukua sura mpya baada ya viongozi wa chadema ngazi mbalimbali kuanza kuonja joto ya jiwe, ikiwa ni pamoja kusimamishwa na kuvuliwa nyadhifa mbalimbali za uongozi walizonazo baada ya kuhoji...
  10. JamiiForums Tanzania Ndani ya Chadema mapandizi ya CCM bado yamo mengi sana

    Siasa ya Tanzania ni ngumu sana, CHADEMA itapitia migorgoro mengi sana KWA sbb mapandikizi ya ccm yapo mengi sana. Nani angeweza kujua kuwa mbowe ni pandikizi wa ccm zaidi ya miaka 30? Na je mbowe amecha wangapi ndani ya CHADEMA? KWA sasa mpimzani wa kweli ni Tundu Lisu: angalau na Heche...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ni Muda Muafaka kwa CHADEMA Kumsimamisha Haraka Uongozi John Heche Ili Kufanya Uchunguzi Wa Kina wa Tuhuma Zinazomkabili Ili Kurejesha Imani

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa sasa wana CHADEMA wamepoteza kabisa Imani na Heche , Hakuna anayemuamini,Hakuna anayemuelewa wala kujua anachokifanya ndani ya chama chenye Maslahi kwa chama. Kila Mmoja ndani ya CHADEMA amepoteza kabisa imani na Heche na kakikundi kake. Wana CHADEMA wanaona Heche...
  12. JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese , wewe ni kirusi tu CHADEMA, kwahiyo hapa unajaribu kusema Mpango wenu 'Mkutano Mkuu ndio utawatoa Lissu na Heche "

    Haka kajamaaa, kametwit Jana ukiwa una ujinga KICHWAN , unaweza kadhania kwamba kenyewe kanawapenda akina Lissu na Heche na kwamba hamna wa kuwatoa. Tundu A.M Lissu na John Heche walichaguliwa na Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Hakuna kiumbe yeyote anayeweza kuwaondoa zaidi ya Mkutano Mkuu wa chama...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya makapi kutoka CCM kurudi Chadema, tayari Mipasuko ndani ya Chadema imeanza, kina Msigwa wachunguzwe!

    Waliondoka kipindi Cha Mbowe na kuhamia CCM na ama vyama vingine, hawakutakuwa kurudi tena Chadema Angu waruhusiwe kurudi Chadema, sikuwahi kuwaamini tena Tutajuwaje kina Msigwa kama ndio wametumwa kuja kutengeneza haya yaliyopo sasa ndani ya Chadema? Chadema ni chama Imara sana, wananchi...
  14. JamiiForums Tanzania Aisha Madoga: Nimeshajuta sana kuhama CHADEMA, niliishi nikiamini na kuapa kwamba nisingeweza kuondoka CHADEMA

    Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Aisha Madoga, amesema anajutia uamuzi wake wa kuondoka CHADEMA, akieleza kuwa chama hicho kilichangia kwa kiasi kikubwa kujenga safari yake ya kisiasa. Akizungumza na Jambo TV jijini Dodoma, Madoga ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa...
  15. JamiiForums Tanzania Katibu wa Chadema Morogoro asimamishwa uongozi

    Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Kanda ya Kati Inadaiwa Katibu huyo huku akijua utaratibu wa CHAMA chake ameamua kuvunja Sheria makusudi na kujiropokea uongo Natoa Onyo kwa Mamluki wengine waliohongwa Kwamba, wakiendelea n.a. Usaliti wao tutaendelea kuwafyeka kwenye CHAMA bila huruma yoyote...
  16. JamiiForums Tanzania Msikilize Mange Kimambi anavyochochea vita na uhasama miongoni mwa viongozi wa Chadema taifa na kuporomosha matusi

    Je, hapa mange kimambi anachochea au anasuluhisha vita moto moto inayoendelea ndani ya uongozi wa Chadema taifa kwasasa? :1Head: Suala la Maridhiano na CCM Mange Kimambi anadai kuwa amepata taarifa kutoka kwa watu wa ndani ya Chadema kuwa kuna viongozi wameshafika bei na CCM ili kufanya...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaita Press Conference kesho Julai 10, 2026

    Kesho Ijumaa tarehe 10/7 saa tano asubuhi Katibu Mkuu wa Chadema Mhe John Mnyika atazungumza na Watanzania kupitia vyomba vya habari Makao Makuu ya chama Mikocheni. Wote mnakaribishwa.
  18. JamiiForums Tanzania Ni mpumbavu pekee anayedhania kwamba ukiua Chadema umeua Upinzani

    Anayedhania kwamba anaweza ukiua chadema basi umeua upinzani huyu ni mpumbavu, ni lofa hajitambui. Huyu anaeweza kuiua chadema labda kuzania anaweza kupumua kwasababu chadema haitakuepo huyu ni lofa, ni mpumbavu...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Kilichomkuta Salum Mwalimu CHAUMMA kumkuta na John Heche CHADEMA?

    Kwasababu ni wazi, kwamba sababu wanazotuhumiwa nazo zina fanana, ni zile zile tu za matumizi mabaya ya fedha za chama, matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama kwa matanuzi, maslahi na manufaa binafsi na familia zao. Je, tutegemee wimbi...
  20. JamiiForums Tanzania Hizi tetesi kuwa wajumbe wa Kamati kuu Chadema wamehongwa ili kukisariti chama na kumeuka Heche na Lissu zina ukweli?

    Tetesi zimezagaa mitaani kuwa wapo wajumbe wa kamati kuu ya Cdm wamekula mlungula ili kumsaliti Lissu na Heche. Hii yote wanatala Chadema imeguke na msimamo wa Lissu na Heche uyeyuke Kama.ni kweli hatufiki mbali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…