chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA kanda ya serengeti akieleza mwanzo mwisho walipopelekwa porini kupigwa

    Lucas Ngoto Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Serengeti ni miongoni mwa walikamatwa nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam wakati akitaka kuhudhuria mahakamani hapo kwa ajili ya kusikiliza kesi zilizokuwa zinamhusu Mwenyekiti wa chama hicho...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA Serengeti: Kwanini pale wanapotesea watu, tulipoenda kupigwa ni eneo la jeshi? wanapata wapi kibali cha kwenda kupiga watu?

    "Mimi nina maswali ya kujiuliza na naomba watanzania wote tujiulize maswali haya, kwanini pale wanapotesea watu, tulipoenda kupigwa ni eneo la jeshi? Kama hao watu wanaotupiga ni askari wa kawaida wanapata wapi kibali cha kwenda eneo la jeshi na kwenda kupiga watu, kwanini? Soma Pia: John Heche...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA Serengeti: Tuliambiwa omba Mungu, jikabidhi kwa Mungu, tukaanza kupigwa kipigo cha Mbwa koko, kama vile hawapigi binadamu

    "Tulipofika kwenye vichaka wakamshusha dada Pendo wakaanza kumpiga, kuna askari mmoja alikuwa na nyota kama mbili akaanza kumpiga Pendo kama anaua nyoka na wengine wote tukaambiwa shuka kwenye gari vua viatu ficha uso, na kama unaweza kuomba Mungu omba Mungu, jikabidhi kwa Mungu, tukavua viatu...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Golugwa: Hilda Newton bado hajapatikana, Tunachofahamu alichukuliwa na polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema mpaka kufikia hivi sasa hakina taarifa za alipo mjumbe wa Baraza Kuu la chama hicho Hilda Newton baada ya kukamatwa siku ya jana akiwa eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar Es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari leo April 25...
  5. JamiiForums Tanzania Wosia wa Babu kwa wanaCHADEMA katika Kipindi Hichi Kigumu: Mwenye Kusikia Asikie Lakini anayehitajika ni aliyeelewa

    Kama unashika bunduki na mimi nashika bunduki, tunaweza kuzungumzia sheria. Kama unashika kisu na mimi nashika kisu, tunaweza kuzungumzia kanuni. Kama wote tumekuja mikono mitupu, tunaweza kuzungumzia hoja. Lakini kama wewe una bunduki na mimi nina kisu, ukweli hauko tena katikati yetu—uko...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tuungane kwa pamoja kama Watanzania, bila kujali itikadi za kisiasa, rangi, au dini, na kuitaka serikali iwachilie huru Hilda Newton

    Wananchi Wenzangu wa Tanzania, Hebu tuchukue muda kuangalia hali ya dada yetu Hilda Newton na mtoto wake mdogo hapa nchini Tanzania! Hilda, mwanaharakati, na mwanachama wa CHADEMA, alikamatwa kiholela ndani ya mahakama kwa kosa la kushiriki taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kesi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Ili CHADEMA ifanikiwe malengo yake unaishauri ifanye nini?

    Kuna baadhi ya watu husema CHADEMA inakosea jinsi ya kufanya siasa zake. Jee ili ifanikiwe kisiasa, CHADEMA inatakiwa ifanyeje siasa zake?
  8. JamiiForums Tanzania Ombi langu kwa CHADEMA na vyama vingine vya upinzani

    Wakuu Kutokana na yanayoendelea napendekeza vyama vyote vya upinzani viachane na swala la uchaguzi wawaachie wenyewe wafanye kampeni kivyao,wapige kura kivyao Wanapata nguvu ya kufanya yoote haya kwa sababu wanajua mwsho wa siku kuna watu watakuja kucompete nae kwa ushahidi tuu Sasa ni busara...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sintofahamu yatawala CHADEMA: Siku ya Pili Kada Hilda Newton hajaonekana

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea kumtafuta kada wake Hilda Newton aliyepotea tangu Alhamisi, Aprili 24, 2025, mara ya mwisho akionekana katika viunga vya Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam. Kupitia mitandao ya kijamii, wanachama wa CHADEMA wameeleza wasiwasi wao, wakidai...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche ameelezea tukio la wao kukamatwa na polisi

    Makamu mwenyeki CHADEMA Bara Heche, ataongea na Wanahabari leo. Pia ataelezeza kinagaubaga kilichotokea na kinachoendea na kitakachoendelea. Nitakuwepo mbele kabisa. https://www.youtube.com/watch?v=R7XKhHM8iJg Makamu Mwenyekiti, CHADEMA, JOHN HECHE John Heche ameeleza kuwa hawatokubali...
  11. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi: Tuliimarisha na kuweka ulinzi mkali Kisutu kutokana na matishio ya kiusalama na vitendo vya uhalifu

    Kuhusu suala la usalama Mahakama ya Kisutu kwa ujumla usalama uliimarishwa kwa kiwango cha juu kufuatia taarifa mbalimbali za matishio zilizokuwa zikipatikana kuhusiana na suala la kesi inayomkabili Tundu Lissu tarehe 24/04/2025. Kazi ya kuzuia vitendo vya kihalifu inaendelea kwani hilo ndio...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa tukio la jana la Mahakama ya Kisutu, bado uongozi wa chadema haujawaelewa G55 kwamba ni vigumu kuzuia uchaguzi kwa maandamano?

    Wahenga wanasema, shetani akitaka kukusababishia majanga, kwanza lazima akupe kiburi cha kukataa kila ushauri. Kama unaumwa, kwa makusudi unakataa kwenda hospitali, kama mto umejaa maji, unaambiwa usivuke, kwa kiburi unavuka. Kama ilikuwa ni ku-test theory, jana chadema wameona. Wana chadema...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tusikate tamaa, ukombozi wa Nchi ni Process

    Kamwe, kamwe, kamwe tusikate tamaa. Ukombozi huwa haupatikani kwa njia ya mkato tu. Wakati mwingine ni process ndefu yenye milima na mabonde. Lililotokea leo kwenye kesi ya Tundu Lissu lisitukatishe tamaa, inawezekana ni hatua mojawapo ya kuelekea kwenye ukombozi kamili. Niwaombe sana wale...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chadema wamefungwa, Watanzania wengi wanaojinadi wapinzani nyuma ya keyboard hawana habari,upinzani mfikirie upya, mtaumizwa sana

    Muda huu Lissu kadakwa, Heche kadakwa, Mnyika kadakwa, na viongozi wengine wengi wa Chadema. Lakini watanzania wanaojitamba ni wapinzani huko vijiweni na mitandaoni hawana habari, maisha yanaendelea kama kawaida Talk of the town muda huu ni kuhusu nusu fainali ya Simba, Mwijaku, Harusi ya Jux...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Updates: Makamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar awa Mahututi, Juhudi za kumhamishia Muhimbili au Nairobi zinaendelea

    Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Kanda ya Pwani hii hapa. "Katika kundi la watu 13 waliochukuliwa Kisutu kwenda kupigwa maporini Ununio wa kwanza ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar ambaye amepigwa sasa hivi ni mahututi sasa hivi yupo hospitali ya Mwananyamala wanamfanyia rufaa ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Pole wanaCHADEMA waliotumia gharama nauli, malazi nk wa ndani nje ya nchi kuhudhuria kesi ya Lissu Kisutu

    Pole wanaCHADEMA waliotumia gharama zao nauli ,malazi muda nk wa ndani na nje ya nchi kuhudhuria kesi hewa ya Lisu ,mahakama ya Kisutu ambayo haikuwepo wangewekeza kwenye biashara wangekuwa mbali kimaisha Wasirudie tena huo ujinga Wanwache apambane na hali yake
  17. JamiiForums Tanzania Wanasema CCM ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA?

    Wanasema Ccm ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA.? Hapa lipo swali la kujiuliza Sana. Ina maana sisiemu nguvu ya kimtandao kwanini hawana . Ikiwa wanachama wa sisiemu labda hawana smartphone au hawana bundle au hawajui kusoma na kuandika.
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa CHADEMA

    Napenda kutoa ushauri huu kwa wafuasi wa CHADEMA na wanao kiunga mkono kwa namna moja ama nyingine. Toka uongozi mpya uingie madaraka katika chama hicho yaani mwenyekiti wake Tundu Lissu na makamu wake John Heche kumekuwa na kashi kashi nyingi za hapa na pale. Kwa asilimia kubwa ya wananchi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania wamewapuuza Chadema

    Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA: Hadi sasa, hatujui walipo Heche na Mnyika

    Mkurugenzi wa mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa hadi sasa hawafahamu ni wapo alipo John Mnyika na John Heche. Ameandika; "Mpaka sasa, hatujui aliko Katibu Mkuu wetu John Mnyika na John Heche Makamu Mwenyekiti ! Walitekwa waziwazi na maofisa wa maeneo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…